[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imenikumbusha Kuna kipindi flan miaka ya 2007 kama sikosei Kuna padre moja kanisa la katesh alikua anatabia ya kuwapiga wadau makofi wakienda kitubio alaf wakakosea kusali Ile Sala ya kutubu.....nlikua nkienda kutubu nkakuta yupo huyo padre James naondoka nawaaga wadau kwamba ntakuja kutubu siku nyingine maana ilikua hata ukisitasita kidogo wakati wa kutubu unapigwa bonge la Kofi unaambiwa urudi nyuma ukapange mstari upya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.