video

  1. Video: Walichofanya hawa Polisi ni Sawa au Sio Sawa?

    Angalia hapa,
  2. Twitter imegeuka kiwanda cha video za ngono (porn)

    Kama kicha cha Habari kinavyo jieleza, nina account Twitter na zamani nilikuwa napenda sana kutumia huu mtandao yaani kuliko instagram ila kwa sasa naona yamenishinda. Kwenye account yangu sija follow account yoyote yenye mambo ya ngono au porn account ila sasa naona watu wana post sana video...
  3. Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

    Naomba nikiri hoja yangu imelenga kuleta hoja vijana wajitume na sio kuwa ombaomba ilihali wana nguvu. Mwaka 2023 mwezi wa 5 nikiwa natembea maeneo ya Ubungo jirani na NBC bank alikuja kijana ambaye anaonekana kwenye video hapa na akaniambia yeye ni mwalimu amemaliza SUA na amepata kazi Songwe...
  4. Video: Mwijaku na mtoto wa Tajiri

  5. David Beckham alisema hii video ni ya kweli

    In 2011 David Beckham broke the internet after hitting three footballs into three different trash cans in a row on a beach. When he asked by reporter shortly after about whether or not it was real he said a simple answer 'of course'. He said he spent five or six hours on the beach so I had a...
  6. Video: Konda ampiga Kichwa abiria

    Inaonekana siku hizi makonda hawana mzaha kabisa na wamejizatiti kwenye Mafunzo ya martial arts na Judo 🥋
  7. Kuidai Tanganyika siyo kuuvunja Muungano. Ni mpango wa Mungu (video)

    Kihistoria nchi ya Tanganyika ilikuwepo na ndiyo ambayo tunasheherekea uhuru wake tarehe 09 Desemba kila mwaka. Kinachohuzunisha ni kwamba Tanganyika ipo kifungoni na nyapara CCM hataki kabisa kuiona ipo huru. Kila anayeidai Tanganyika anafanya jambo jema. Muungano uwepo lakini Tanganyika...
  8. Video: Angalia jinsi huyu askari alivyokosa utu

    Kuna baadhi ya maaskari ni miyeyusho, yani ameshindwa kutumia busara kuwaambia waondoke kweli? SIJUI NI NCHI GANI HII.
  9. Video: Baharia kafunga vioo

    Bila shaka huyu jamaa ni Member wa UWABATA (UMOJA WA WANAUME BAHIRI TANZANIA).
  10. Video: Wamama wa Kiafrika huwa hawapendi mzaha mzaha!

  11. Video & photo journalist, editor, tx operator, youtube & instagram moderator, straeming live on television, youtube & instagram, content creator

    Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nishafanyaga baadhi ya sehemu kama vile Africa Swahili TV, Dizzim TV and Online, Bongo5. Naomba kama Kuna mtu atahitaji mtu wa kufanyakazi kama hizo kwenye Television au Online Media hata moja wapo tuwasiliane kwa 0714525809 nina uzoefu...
  12. Video: Nimenyimwa unyumba na Mke wangu miezi 9

    Johnson Antony anasema mke wake akimkosea ananuna mpaka wiki mbili na akimgusa anamtoa mkono au anasema amechoka yani inaweza kufika mpaka miezi 9 ajapewa unyumba. Credit: WasafiTv
  13. PreGE2025 LGE2024 CHADEMA kuna ujumbe wenu hapa

    Sikiliza hadi mwisho. Mwananchi ana akili kubwa kuliko wasomi wetu wengi waliopo madarakani Tanzania inaamka.
  14. Video: The man mwaka huu jamaa ametuwakilisha vyema sana. Vijana mna la kujifunza

    Hivi ndo inapaswa kuwa.... Mtu anapotishia kujamba na wakati ana tumbo la kuharisha unamletea poti akalie. Nimependa wote wawili walichokifanya kwa uhalisia wake. Madogo acheni kuja na nyuzi za kijinga kulia lia hapa kwamba umeachwa. Kwani mama yako huyo? Kafanye mambo mengine kama mapenzi...
  15. Video: Ukipewa kitita cha dola moja utafanyia nini? Tazama majibu yake hapa

    Sina mengi ya kuzungumza zaidi ya kuwa wa kwanza kucheka 😂😂😂😂 Hawa viumbe wanaijua tu hela, japokuwa kuitafuta kwao ni mtihani Sikiliza matumizi ya dola 1
  16. Video: Kwa hizi makeups hakikisha ananawa uso kwanza

    Aisee! Kabla ya kuongea nae lolote hakikisha anatoa make-up kwanza.
  17. Video: Mtanzania aliyefungwa miaka 10 Iran kisa kafuata huko mambo ya dini

    Muhimu hii iwafikie wafia dini wa JF ambao hupenda sana kuabudu watu wa Iran na Uarabuni.... kuvaa kwako kanzu na kuotesha ndevu ili ufanane na wale haitoshi, ukiingia kwenye anga zao wanakuua, walimuua Mtanzania mmoja na kumtesa mwenzake. https://youtu.be/PC0e170GSug?si=ZHbPD25IF4W7Cz_h
  18. Video: Je, ni kwanini Nape Nnauye alitaka bwawa la Nyerere lizuiwe, ni kweli anapenda sana mazingira?

    Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli...
  19. Video: Tupende vya kwetu Aisee! SGR

  20. ViDEO: Je, Diamond na Zari wamerudiana?

    Anybody say something please. This is the best couple that ever existed in Bongo flavour industry Semaa Mondi nae vipi !! Kwani hiyo saa shing ngapi!? Au anahamisha mjadala wa Saa ya Madame President.!?🤗🤗 Nifah p'se.. say whatever..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…