video

  1. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Hii video ina ukweli?

    Baada ya Rais wa zamani na mgombea urais kwa tiketi ya Republic bwana Trump kukoswa koswa na risasi kuna video nyingine nimeiona akipigwa kofi akihutubia. Nimepita kwenye baadhi ya mitandao sijaona hilo tukio. Hili tukio ni la kweli na kama ni la kweli, lilitokea lini? Video husika Picha ya...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Video ya shambulizi makini: Israel ina target magaidi kwa kujali hata maisha ya wanyama, maafa ya raia wengi ni kutumiwa kama ngao za magaidi.

    Ni mfano wa shambulio la kupunguza casualities, wameyapa thamani maisha ya farasi kisha kuwatungua magaidi watatu kwa mpigo Wiki kadhaa zilizopita kiongozi wa Hamas alitunguliwa, casuality ya ziada ilikuwaa ni ya mlinzi wake labda walikuwa wamelala kitanda kimoja. Rais wa Iran alitunguliwa...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania Video: Marekani na IDF ilifanya operesheni iliyofeli Yemen na Wanajeshi 70 waliuawa

    Wanaukumbi, Angalia hizo video Marekani na IDF ilifanya operesheni iliyofeli katika huko Yemen na Wanajeshi wao 70 waliuawa hapo hapo. Msikilize Kanali wa Marekani Douglas Macgregor. Akieleza kilichotokea huko Yemen. Video ingine ni Maiti za Wanajeshi wa Marekani na Israel zikiwa...
  4. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Miraji Mtaturu, Mbunge wa Singida Mashariki Akataliwa kwa kuzomewa na wananchi

    Wananchi wamemkataa Mbunge wa mchongo wa Jimbo la Singida Mashariki kwa Tundu Lissu.
  5. X

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke wako ni shabiki wa timu za mpira au anacheza video games za soka kuna ujumbe wako hapa

    Ikiwa mwanamke wako anatazama mpira wa miguu na ni shabiki wa timu fulani, ujue kwamba timu yoyote anayoishabikia ni mwanaume aliitambulisha kwake. Hasa mpenzi wake anayemkubali sana wanasema a true lover. Ikiwa mwanamke wako mara aseme: "Mimi ni shabiki wa Chelsea, wakati mwingine Man U...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni matamu sana

    Hakika mapenzi matamu. Shemeji katoka - South Africa kapata chombo Tanzania
  7. Brojust

    JamiiForums Tanzania Kumbe Sauda Mwilima ndio alikuwa video vixen kwenye nilikupenda - Abby Skilz ft Dully Syke

    Salaam wana JamiiForum; Maisha yanaenda kasi sana, vijana wenzangu ambao tulikuwepo bado vijana wakati hizi nyimbo zinatoka embu leo kajiangalie tena kwenye kioo alafu linganisha matendo unayofanya na umri wako. Ni hayo tu. Link hii hapa https://youtu.be/IYdqkdh7hks?si=I367eHGJ_G3KHo7F
  8. Khamista

    JamiiForums Tanzania JE, UNAHITAJI KUZUIA VIDEOS ZA FACEBOOK KUJIPLAY AUTO? FANYA HIVI KUZUIA ZINAKULA MB ZAKO👇👇👇👇👇

    JE, UNAHITAJI KUZUIA VIDEOS ZA FACEBOOK KUJIPLAY AUTO? FANYA HIVI KUZUIA ZINAKULA MB ZAKO👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 katika facebook unapo ingia uwa kuna videos ambazo uwa zinatabia ya kuplay moja kwa moja kwa mfano matangazo ya video atakama hauhitaji kutazama yataanza kuplay moja kwa moja. Video post...
  9. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe

    Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi. Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Wamegundua Nini?. Angalia Hii Video Fupi Baada ya Trump Kutunguliwa.

    Ni igizo fulani hivi ila naendelea kufuatilia, bado sitaki kuamini.
  11. davetz 23

    JamiiForums Tanzania Napenda kupata elimu kama kuna masharti ya kurusha drone za kupiga video Tanzania

    Niliwahi kusikia kuhusu utaratibu wa kurusha drone lazima uwe na kibali.Je hata nikiwa na drone ndogo za kupiga picha na video binafsi natakiwa kuwa na kibali? Naomba elimu kidogo kama si kosa kumiliki na kurusha drone ndogo kwa matunizi binafsi
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson akutana na Rais Putin kujadiliana namna bora ya kuimarisha amani duniani

    Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Urusi, Mhe. Vladimir Putin Jijini St. Petersburg nchini Urusi leo tarehe 12 Julai, 2024 ambapo katika mazungumzo yao wamejadili kuhusu...
  13. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Video: Why Are So Many Authors Scared of AI?

    Video Summary: The author(in Video) is discussing why many authors are afraid of Artificial Intelligence (AI) and its potential impact on their work. The main reasons for this fear are: 1. Emotional response: Many authors are driven by emotions rather than logic when it comes to AI. They feel...
  14. Mr Why

    JamiiForums Tanzania King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako

    King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako
  15. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Video: What Is A Blackhole Really Made Out Of?

    Billions of subatomic particles race towards Earth, creating tiny black holes upon impact with the atmosphere, only to vanish within microseconds. To understand the composition of an actual black hole, we must delve into the heart of these cosmic enigmas, which are fundamentally regions of...
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Hautaki Shule Eeenh!

    Shuwaiin....
  17. TODAYS

    JamiiForums Tanzania TEARS VIDEO: Hii Inaweza Kukupa Taswira kwa Nini Watanzania Mnanyimwa Elimu

    Naona kabisa kwa nini Elimu inakupa nguvu na uelewa katika maisha yako. Hawa kina mama wapewe ulinzi popote walipo na natamani waje wafanye indoor conference na seminars kwa wamama wa tizii!.
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Dada muuza Ice cream

  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Furaha yatawala ujio wa wimbo mpya wa Harmonize na Rayvanny

    Mashabiki wa kiwanda cha BongoFleva wameshuhudia upendo uliotamalaki kati ya msanii Harmonize na Rayvanny, ambao wanatarajia kutoa wimbo wao mpya (Walioshirikiana) baada ya kuwa na ugomvi kwa muda mrefu. Harmonize ameweka video kwenye mtandao wake wa IG akiwa na msanii mwenzie Rayvanny...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Ingekuwa wewe ungefanya nini?

    Mke anampiga Kibao Mama yako mzazi, halafu unaingilia nawewe unapigwa kibao pia. Ungechukua uamuzi gani? 📹 HabariMtandaoni
Back
Top Bottom