Video: Konda ampiga Kichwa abiria

Ukute hapo walikuwa wanagombea shilingi 100 ama 200.

Huyu anasema toa, abiria anasema sitoi

Konda anasema kama huna shuka, abiria anasema sishuki .....

Mwisho wa Siku Kila mtu anakosa Uvumilivu Kwa mwenzake hivyo kuamua ugomvi wao Kwa kupigana kama hivyo

Ndiyo maana nikashaona kuna mvutano wa namna hiyo wa kugombeana hizo 100 huwa najitolea kuwatolea ili kuepusha mivutano ya namna hii kwenye safari.

Wanasema Kunguru mwoga hukimbiza bawa lake
 
Sijui kwanini ila watu wanaopigana huwa nawaona wamepungukiwa na akili. 👎
Hakuna inatokea usiseme hivyo mimi mwenyewe nimeshawahi kupigana stendi bila kutarajia. Nilipanda gari basi nikaona haliondoki nikashuka kutafuta gari nyingine ile nimeshuka konda akanipiga kibao cha kisogoni. Kilichotokea ni hadithi mbaya
 
Very unfortunate mkuu, pole sana. Huyo konda ni mgomvi.

Mimi Naomba kuuliza, ukimaliza kupigana unakuwa unajisikije?
 
Hakuna inatokea usiseme hivyo mimi mwenyewe nimeshawahi kupigana stendi bila kutarajia. Nilipanda gari basi nikaona haliondoki nikashuka kutafuta gari nyingine ile nimeshuka konda akanipiga kibao cha kisogoni. Kilichotokea ni hadithi mbaya
Ila makonda wengine wagomvi sana, kuna siku nimepanda ilikua asubuhi mfukoni sina hela ndogo m nna 10K tu nampa konda ananigomea ananilalamikia asubuhi yote hii chenchi atatoa wapi, nikamwambia hiyo sio kazi yangu, kazi yangu ni kukulipa nauli tu.

Akaja juu kweli ananiambia itabidi niende nae hadi mwisho wa gari, nikamwambia huo ujinga asithubutu kufanya, akasema patachimbika nikamwambia sisemi tena piga kelele ukimaliza hakikisha unanishusha napopaswa kushuka, alinishusha na hela akazira.
 
Ila makonda wengine wagomvi sana, kuna siku nimepanda ilikua asubuhi mfukoni sina hela ndogo m nna 10K tu nampa konda ananigomea ananilalamikia asubuhi yote hii chenchi atatoa wapi, nikamwambia hiyo sio kazi yangu, kazi yangu ni kukulipa nauli tu. Akaja juu kweli ananiambia itabidi niende nae hadi mwisho wa gari, nikamwambia huo ujinga asithubutu kufanya, akasema patachimbika nikamwambia sisemi tena piga kelele ukimaliza hakikisha unanishusha napopaswa kushuka, alinishusha na hela akazira.
Safi sana
 
Back
Top Bottom