video

  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Furaha yatawala ujio wa wimbo mpya wa Harmonize na Rayvanny

    Mashabiki wa kiwanda cha BongoFleva wameshuhudia upendo uliotamalaki kati ya msanii Harmonize na Rayvanny, ambao wanatarajia kutoa wimbo wao mpya (Walioshirikiana) baada ya kuwa na ugomvi kwa muda mrefu. Harmonize ameweka video kwenye mtandao wake wa IG akiwa na msanii mwenzie Rayvanny...
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Ingekuwa wewe ungefanya nini?

    Mke anampiga Kibao Mama yako mzazi, halafu unaingilia nawewe unapigwa kibao pia. Ungechukua uamuzi gani? 📹 HabariMtandaoni
  3. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kutwa kunipiga picha na kunipost mtandaoni nimejaribu kumkanya wap muda mwingine anachukua video mi bila kujua Nakuta tu mtandaoni??

    Wakuu habari Kichwa cha habar cha husika
  4. 100 others

    JamiiForums Tanzania Video: Waziri wa Michezo akionyesha Vijana Namna ya kusakata kabumbu

    Ndio inapaswa iwe hivi, waziri wa kilimo ajue kupiga jembe haswa tena la mkono. Waziri wa TEHAMA ajue masuala ya IT na wizara zingine zote wawe wanafanyiwa majaribio na kupewa mitihani kabla hawajaingia kwenye wizara husika. Minister Of Sports Uganda.
  5. Majighu2015

    JamiiForums Tanzania Tovuti za Maudhui ya Ngono kufunguliwa baada ya kuzuiwa kwa muda mrefu ni kete ya kisiasa kuelekea Uchaguzi 2025?

    Wadau site za porn zimefunguliwa tena baada ya muda mrefu kufungiwa. Hii ni move ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu au tatizo ni nini. Kimaadili naonaa lilikuwa jambo zuri kuzifungua, najua watu walikua wana-access kupitia vpn lakini angalau kwa kiasi kikubwa ilisaidia watoto wetu kutozifikia...
  6. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Video; Wanafunzi wakifanya mitihani wakiwa wameketi chini nje kwenye vumbi

  7. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Video: ANC kumpigia Julius Malema Magoti kwa ajili ya Serikali ya umoja

    With 99.03% of votes counted, ANC is at 40.3%. It has lost parliamental majority. ANC wanaona aibu kuwafuata DA (wazungu) kuwaomba kufanya coalition. Ni kama wanarudisha kwa mkoloni kuwa mambo yamewashinda. Aibu! Wanaukakasi kumwendea MK , owner ni JZ, waliye mpeleka jela. Na juzi kumpa hukumu...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Mpenzi pokea zawadi

    Watakuwa kabila gani hawa?
  9. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Video: Maiti yapambana na wanakijiji ikiwa ndani ya Jeneza ikigoma kuzikwa

    Nimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo karibu na nyumba yake. Cha ajabu hata kuingia ndani imegoma. Imevunja nyumba. Inafurahisha sana
  10. tamsana

    JamiiForums Tanzania Video: Sikiliza jinsi Shirika la Afya la Dunia (WHO) linavyojipanga kukabili population Afrika

    Salam wana jukwaa. Kwenye video ni Dr. Wahome kutoka Kenya mbele ya Mhe. Museven, Rais wa Uganda akimwelezea jinsi WHO inavyojipanga kupitisha sheria au protocol ambayo itaipa nguvu katika kufanya maamuzi kuhusu masuala mbalimbali ya afya. Swali la kujiuliza ni je, wataalam wetu wamejipanga vipi...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video ikimuonesha mwanaume akiwa mtupu akikimbia baada ya kukutwa na mke wa mtu

    Kuna video inasambaa twiter na Instagram ikimuonesha mwanaume akiruka dirisha na kukimbia huku akiwa mtu kabisa bila nguo, watu hao wamekuwa wakishare video hiyo na kuweka ujumbe wa MKE WA MTU SUMU wakimaanisha mtu huyo alikuwa na mke wa mtu kisha akafumaniwa ndio anakimbia. Je, ni kweli mtu...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Angalia Mwizi Bonge anavyoiba

  13. Kamakabuzi

    JamiiForums Tanzania Video clip ya Lema anamaanisha nini?

    Kuna video clip hii hapa chini imekuwa posted na Lema kwenye mtandao wa X, nimeshindwa kuielewa vizuri. Mwenye ufafanuzi anisaidie - asanteni https://x.com/godbless_lema/status/1794461864656597292?cxt=HBwW2MS73d7jmucxAAAA&cn=ZmxleGlibGVfcmVjcw%3D%3D&refsrc=email
  14. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Video: Huduma kwa wateja Taasisi za Umma mbovu. Nimepiga simu Nest (PPRA) nusu saa hakuna anayepokea. Siasa zisiue huduma kwa jamii

  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Video: wakatoliki kesho msisahau matoleo maalum

    Kristu ni tumaini letu Tumsifu yesu kristu Milele Amina Kesho ni Jumapili nyingine nawakumbusha waumini kuja Na matolea maalumu. Pamoja na sadaka ya kuwategemeza maketesta wetu na walei. Tumsifu yesu kristu.
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nini dhumuni la video na picha za utupu?

    Achilia mbali kwajili ya kuuza upate pesa au hata kama huzitumii, lengo na madhumuni ya kurecord video na picha za utupu na kuzihifadhi kwenye simu au laptop yako nini hasa? Ili iweje unazitunza? Nini hasa kinachochea ujichanue kwa hiyari yako au uchanuliwe na mwenzi wako sehemu za siro zikae...
  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu, Hamas waonyesha video yupo hai

    Wanaukumbi. Serikali ya Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mkewe Sara, walifanya ziara ya rambirambi kwa familia ya Kanali Asaf Hamami, kamanda wa Brigedi ya Kusini huko Gaza, iliyoanguka...
  18. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Video: Kwa Hali Hii Viongozi Mnapata Wapi Ujasiri wa Kutuhimiza Tulipe Kodi?

    Tazama mwenyewe hali ilivyo kwenye Usafiri wa Mabasi yaendayo kasi, jijini Dar es Salaam alimaarufu "mwendokasi"
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Video: Vyoo vya Saudi Arabia vina Camera ukijisaidia kuna watu wanakuangalia

    Hii imenishtua sana. Huyu Mtanzania aliyekuwa anajichukulia sheria Mkononi ametuaibisha sana. Alishindwa kuvumilia mpaka arudi kwao? Nawaza lengo la kuweka camera vyooni ni nini?
  20. B

    JamiiForums Tanzania Video: Mafuriko Manyara, kuaribu vyanzo vya utalii, maji ya funika hoteli ya moja bilionea huyu. Royal tour kupata changamoto

    ROYAL TOUR KUONGEZA IDADI YA WATALII KUPATA CHANGAMOTO https://m.youtube.com/watch?v=Bl1CZq_Uwr4 Mr Chambulo mwenye uzoefu wa industry ya utalii na mwenyekiti wa mawakala wa utalii wa muda mrefu katika mazungumzo exclusive pia anatuonesha mazingira ya maeneo ya utalii. --- Mafuriko...
Back
Top Bottom