Watekaji wamekuwa wakitekeleza uhalifu kwa gari aina ya cruiser nyeupe na ndio wale wale tuliowaona kwenye video wakiuwa raia October 29
Hii inaonesha kuwa watekaji ni vyombo vinavyoaminika kama vya usalama ndio wahusika
Polisi Tanzania wameonya wananchi kuepuka kusambaza picha mtandaoni ambazo “zinaweza kusababisha taharuki” kufuatia kurejeshwa kwa huduma ya intaneti baada ya maandamano yaliyoibuka kutokana na uchaguzi.
Baada ya internet kurudi, video na picha zilizosambaa kwenye mitandao ya Kijamii zinaonesha...
Baada ya kuwa mafichoni, hatimae karejea kwa kificho ili akabithiwe cheti cha ushindi aliopora kwa mtutu wa bunduki. Habari mbalimbali zinatabaruku kuwa ataapishwa haraka haraka then arudi mafichoni mpaka hali ya sintofahamu itakapotulia.
Je, Watanganyika tumekubaliana na huu uhaini...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo (video clip) inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikisema "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha".
Ukweli ni kwamba picha hiyo mjongeo ilikuwa ni wakati wa sherehe za jando/tohara mwezi Juni 2025...
Wapiganaji wa RSF nchini Sudan wanaendeleza mauaji ya halaiki katika mji wa Al Fasher, baada ya kudai kudhibiti ngome ya mwisho ya jeshi la Sudan katika eneo hilo la magharibi mwa nchi Oktoba 26
SF
Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
Huyu mama anayepigwa hapo inadaiwa alipanga biashara yake mahali siyo pake. Mwenye eneo alikuja, akashika biashara ya huyu Mama na akaanza kumpiga akidai alipwe fidia, mpaka msamaria mwema alipomuomba amwache tu.
Wenye kujua sheria msaidieni huyu mama jamani apate haki, kunyanyaswa hivi siyo...
Rais wa Marekani amewajibu waandamanaji wa Hakuna Wafalme Marekani kwa kuposti video akiwa ndani ya ndege akiwanyea mavi waandamanaji waliokuwa katika maandamano hayo.
Pamoja na mawimbi makali bado ccm imezidi kua imara, ccm imezidi kukubalika sana!
Tazama hapa katika video WATU WAZIMA mbali mbali wakienda kusikiliza sera za mgombea wa ccm.
Ama hakika CCM inakubalika sana.
Mbunge wa Jimbo la Kibra, Peter Ochieng Orero, aliyeteuliwa kupitia uchaguzi mkuu wa Agosti 2022, alinaswa Oktoba 9, 2025 katika kisa cha mvutano barabarani na mwandishi wa habari wa CNN kutoka Kenya, Larry Madowo
Video iliyorekodiwa na Larry inaonyesha mbunge huyo akiwa ndani ya gari aina ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.