Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno...
https://youtu.be/a3x3e1QFasQ?si=WxGatqMY68D7RZ8v
Hili ni swali la Ansbert Gurumo kupitia Youtube Channel yake (SK Media Online TV)
Na huyu hapa 👇🏻👇🏻ni mmoja wa watazamaji wake waliotoa maoni yake akijitambulusha kuwa yeye alikuwa msimamizi wa kituo cha kupigia kura huko Shintanga, Manispaa ya...
Najaribu tu kuwazà, Kwa Hawa Vijana wenye Mzuka, wanaofurahia kuzika mwenzao, hawatishiki Tena na Kifo.
Ongezea Silaha za Akina Abdul wanazonunua kwa Magendo .
Daah wasengee wa CCM wameamua kulipasua Taifa Kwa Gharama ya Damu !!.
https://www.facebook.com/share/v/17qxXJt2YN/
kuna video nyingi sana, huo mfano mmoja.
Msikilizeni huyu dada, anaelezea kwa kirefu kiasi gani maandamano yalivyoandaliwa na baadhi ya diaspora wa Tanganyika ili kuiangamiza Tanzania, kisha lawama yote amepewa samia na kmkm, na watu kuwa na visasi...
"Nimetumiwa mamia ya video, nimeongea na watu wengi wakiwemo waandishi wa habari, baada ya wiki kadhaa tutatoa ripoti ya uchaguzi wa TZ." - Larry Madowo
Wakuu nimekutana na andiko hili...
Ni nani aliwapa ujasiri wa kuchoma mali za watu wasio na hatia?Ni nani aliwapa moyo mgumu kiasi cha kufunga barabara ambazo hata mgonjwa aliyehangaika na pumzi yake ya mwisho alipitia? 🚑
Mamilioni ya jasho ya mtu mmoja yaligeuzwa majivu ndani ya dakika...
Watekaji wamekuwa wakitekeleza uhalifu kwa gari aina ya cruiser nyeupe na ndio wale wale tuliowaona kwenye video wakiuwa raia October 29
Hii inaonesha kuwa watekaji ni vyombo vinavyoaminika kama vya usalama ndio wahusika
Polisi Tanzania wameonya wananchi kuepuka kusambaza picha mtandaoni ambazo “zinaweza kusababisha taharuki” kufuatia kurejeshwa kwa huduma ya intaneti baada ya maandamano yaliyoibuka kutokana na uchaguzi.
Baada ya internet kurudi, video na picha zilizosambaa kwenye mitandao ya Kijamii zinaonesha...
Baada ya kuwa mafichoni, hatimae karejea kwa kificho ili akabithiwe cheti cha ushindi aliopora kwa mtutu wa bunduki. Habari mbalimbali zinatabaruku kuwa ataapishwa haraka haraka then arudi mafichoni mpaka hali ya sintofahamu itakapotulia.
Je, Watanganyika tumekubaliana na huu uhaini...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo (video clip) inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikisema "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha".
Ukweli ni kwamba picha hiyo mjongeo ilikuwa ni wakati wa sherehe za jando/tohara mwezi Juni 2025...
Wapiganaji wa RSF nchini Sudan wanaendeleza mauaji ya halaiki katika mji wa Al Fasher, baada ya kudai kudhibiti ngome ya mwisho ya jeshi la Sudan katika eneo hilo la magharibi mwa nchi Oktoba 26
SF
Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
Huyu mama anayepigwa hapo inadaiwa alipanga biashara yake mahali siyo pake. Mwenye eneo alikuja, akashika biashara ya huyu Mama na akaanza kumpiga akidai alipwe fidia, mpaka msamaria mwema alipomuomba amwache tu.
Wenye kujua sheria msaidieni huyu mama jamani apate haki, kunyanyaswa hivi siyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.