video

  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Video: Waziri wa Afya wa Sweden aanguka live akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari

    Hii kitu nimewaza kama ingekuwa bongo nadhani leo kuna baa zingeuza sana pombe maana watu wangefanya sherehe Sasa hapa nimeshindwa kuelewa shida ni nini? Au alikuwa ana changamoto gani ya afya Kuna mbaba mmoja badala ya kumsaidia mgonjwa kawahi kamera yake kupiga picha
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kilosa - Morogoro: Wana-CCM wadaiwa kupata ajali wakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa Samia Suluhu

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi kutoka Mvumi takriban 40 wamepata ajali wakiwa wamepakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa mgombea Urais kupitia chama hicho, Samia Suluhu Hassan. Kumeibuka malalamiko kuwa mamlaka zimeficha taarifa hiyo ya ajali, huku majeruhi wakidaiwa kutelekezwa...
  3. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Video: Gari lapata ajali likiwa kwenye msafara wa kiongozi

    Kuna video moja a Ambulance ikiwa imezuiwa isiingilie msafara imetrend sana mtandaoni. Ile ambulance 🚑 kila mtu anasema lake, mwingine ina mgonjwa na mwingine haina mgonjwa. Ila mwishoni tukaona inaondoka kama imefukuzwa ma king'ora juu. Ni juzi tu hapo, wkt mgombea urais kwa tiketi ya ccm...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Video : Walimu wengi wa Madrasa hatupendi Ugali, Ni Dhiki tu ukiona tunakula. Si twapenda Wabwabwa

    Safi sana. Na mwalimu naye apewe. Anasema yeye ni wa ubwabwa ugali hapana. Labda ndizi hizo aweza kula ugali hapana. Tupate Habari Kamili.
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Ngumi kwenye karamu, kila mtu na wake, ndio maana wanaume tunakufa haraka

    Maustadh na mikanzu yao wanatembezana ngumi balaa
  6. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Wazanzibar walivyoandamana kudai Muungano uvunjwe

    Joto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao. maelezo yapo kwenye video hapa chini
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Video : Tukisheherekea Maulid hapa Morocco

    Karibuni sana . Ni mwendo wa kuburudika na kuburudisha.
  8. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Rais Ruto alisema atakuwa mstari wa mbele kubadilisha ukomo wa muhula

  9. S

    JamiiForums Tanzania David Kafulila kuongea leo, Sept Mosi kwenye Dk 45 za ITV

    TANGAZO Usikose kutazama mjadala maalum utakaorushwa moja kwa moja kupitia kituo cha televisheni ITV leo saa 3:00 usiku kwenye kipindi cha DKT 45. Mjadala huu utakuwa na mgeni rasmi Bw. David Kafulila mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini PPPC, ambapo pamoja na mambo mengine, ataeleza kwa kina...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Audio: Magufuli akiviagiza Vyombo vya ulinzi kumchukulia hatua aliyelipwa mabilion ya pesa kuhusu sare za polisi

    GT Nikikaa nafikiria ulegelege wa vyombo vya ulinzi na usalama awamu hii mwili huwa unakufa ngazi kabisa. Jamani au na Wao wamejiunga na MACCM Kuiba rasilimali za nchi hii. Hapa Hayati Magufuli aliagiza Angela kizigha achukuliwe hatua lakini why siyo sasa na amerudishwa tena ooh nooo my country..
  11. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Video :WanaCCM wakipelekwa kwenye mkutano wa CCM

    Hivi Hawa wanaosombwa namna hii kupelekwa kwenye mikutano ya CCM , akili zao Huwa zinafanya kazi kama akili za sisi binadamu wa kawaida kweli?? Hii nchi bado wajinga na mbumbumbu ni wengi sanaa..kukomboa hili TAIFA ni kazi itakayokamilika miaka 47 ijayo
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: MAGAIDI WA KIHOUTHI WAKIWAFUKUZA WANAFUNZI WA KIKE KUTOKA SHULENI KWA MAANA CHINI YA SHARIA HAIPASWI BINTI AENDE SHULE

  13. veyra

    JamiiForums Tanzania Ndani ya hisia kali, machozi yakimtoka Zari wakati mume wake akipigwa kwenye ulingo wa ndondi

    Zarithebosslady machozi na presha vyote kwa wakati mmoja wakati mume wake SHAKIBU alikuwa akipokea makonde kutoka kwa rickman hapo jana. Unamshahuri nini Zari. *** Mwanamama mfanyabiashara mrembo, Zari Hassan maarufu ZariTheBossLady alionekana kutetemeka sana baada ya mumewe, Shakib Cham...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Dulla Makabila aimba matusi kwenye mkutano wa CCM

  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Baada ya hotuba ya Polepole, ghafla video hii ya Magufuli inatrend...

    Baad ya hotuba ya Humphrey Polepole usiku wa Jana, video hii ya John Pombe Magufuli imetrend Sana..
  16. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Aliyoyasema Lissu kwenye interview hii na Stanslaus Lambert ndio kinachomtokea Mpina na wapinzani muda huu

    Wakuu, Nimekutana na interview hii ya Lissu ambayo alifanya na mtangazaji Stanslaus Lambert muda mfupi baada ya kushinda Uenyekiti CHADEMA Hapa Lissu alisema haogopi watu kuhama CHADEMA kwenda vyama vingine kugombea Ubunge kwani hata huko wanapoenda hawatachaguliwa. Anasema hapa, mamlaka za...
  17. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Mnaokesha kuangalia video mnemba za Polepole, mmeamkaje kwa ile nyomi ya uzinduzi wa kampeni za CCM

    Wazee wa video mnemba za polepole vipi afya zenu Leo mmeamkaje, jipimeni kisukari wakuu huu moto wa CCM mwaka huu ni mkali sana, nadhani mnaona wenyewe Sasa nchi nzima ni CCM. Huwa tunawaonya kukesha mnaangalia video pori za polepole hamskiii lakini nadhani Sasa mmeelewa kuwa polepole ni...
  18. K

    JamiiForums Tanzania App gani yenye uwezo wa kutengeneza maneno yaani transcripts kutokea kwenye video zilizo kwa lugha ya kiswahili?

    Wana JF habari Ni software gani au application gani ambayo naweza upload video au audio kwenye hiyo software halafu yenyewe ikanipa text yaani transcript yaani maneno yaliyosemwa kwenye hiyo video au audio. Hapa nazungumzia video/audio zenye matamshi ya kiswahili na zenye urefu wa masaa mawili...
  19. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Godbless Lema, anaiunga mkono CCM uchaguzi mkuu

  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwenye Video Clip ya RC mpya wa Arusha Kihongosi akichana / akiimba Remix ya Wimbo wa PAWA wa Mbosso aiweke hapa tafadhali

    Wiki mbili zilizopita alinichapia Wapuzi Fimbo kwa kutokuwa Wazalendo wiki kanionyesha kuwa Jamaa ana Kipaji sana tu.
Back
Top Bottom