David Kafulila kuongea leo, Sept Mosi kwenye Dk 45 za ITV

Shekaina Glory

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2025
Posts
203
Reaction score
108
TANGAZO

Usikose kutazama mjadala maalum utakaorushwa moja kwa moja kupitia kituo cha televisheni ITV leo saa 3:00 usiku kwenye kipindi cha DKT 45.

Mjadala huu utakuwa na mgeni rasmi Bw. David Kafulila mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini PPPC, ambapo pamoja na mambo mengine, ataeleza kwa kina kuhusu mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Ni nafasi ya kipekee ya kupata ufafanuzi wa moja kwa moja kuhusu maendeleo na hatua kubwa zilizopigwa nchini.

👉 Usikose – ITV saa 3 usiku!

C&P

Machawa ndio watashiriki. kafulila ni chawa mbobevu, msaliti wa mageuzi...sana sana atasifia tumbo lake ili liweze kwenda "chooni"!

SIJI KWANYE UJINGA
 
Mama kwa kweli hana aibu, yeye peke yake anapuyanga mbuga kujinadi kwa watanzani kutaka kura
 
Hii ilisharekodiwa, na alichoongea Kafulia ni uchawa tu. Hakuna jipya
 
Machawa ndio watashiriki. kafulila ni chawa mbobevu, msaliti wa mageuzi...sana sana atasifia tumbo lake ili liweze kwenda "chooni"!

SIJI KWANYE UJINGA
sasa utajengaje stori kama huna taarifa za kina?
 
Kafulila mdomo mkubwa hana chochote amewekwa mfukoni na wanamtandao
 
Back
Top Bottom