Kama umekua katika familia ya Kiafrika hasa ya kitanzania kupigwa pale unapofanya kosa kumekuwa ni Jambo la kawaida. Mzazi anaweza kutumia fimbo, mikanda, au kukurushia kikombe, sufuria au chochote kilichokuwa karibu yake. Lakini je tulishachukua muda na kujiuliza hivi hivi viboko tunavyowachapa...