Uzi maalumu wa kusaidiana matatizo ya kiakili

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,791
3,393
Akili ni sehemu ya ubongo ambayo inashughulika na kuhifadhi,kuchakata na kuamua jambo( hali ujuzi au ufahamu wa jambo) hauwezi kuamua jambo mpaka akili ichakate/kufanya ulinganifu na kutoa maamuzi ni jambo la haraka sana kwa kiumbe ndiyo maana sometimes mtu anajutia maamuzi yake ila hauwezi kulaumu ni akili yake kwa muda ule ilifanya maamuzi kulingana na hali,mazoea au hisia fulani either furaha au huzuni.

kutokujua kitu haimaanishi kuwa huna akili ila uwezo wako ni mdogo juu ya jambo hilo hivyo kuna baadhi watakwambia huna akili upo usemi unaosema kutokujua si ujinga.

Akili ndiyo nyenzo kubwa ya binadamu ambayo inacontrol body(mwili) ni kwamba binadamu anasehemu kuu mbili muhimu mwili na akili,mwili ni mtendaji ila akili ni muanzilishi wa jambo.

Dunia kwa sasa imechafuka sana kitu ambacho kinafanya akili zetu zififanye kazi kwa ufanisi zaidi pombe,mziki,mitandao,kamari,elimu,dini,uduni wa maisha,vita N.k.

Akili ya binadamu inacontrol matendo hauwezi kuwa mwizi mpaka akili yako ikubali ushawishi wa kimazingira,mlevi na hata umalaya vyoni ni kazi ya akili,kuna watu wanatembea na kujiona wazima wa akili ila kwa bahati mbaya chizi hajioni(nyani halioni kundule) na uchizi una sampuli nyingi.

Leo nimeleta uzi spesho wenye lengo la kusaidiana kutibu akili zetu ili matendo yetu yaweze kuwa ya kiiungwana na kibinadamu..Imagine mtu ni mzima lakini anadunda mwendo wa kisela as if ni kilema huu ni ugonjwa au sometimes unamuona mtu anajibu shit kwenye uzi wa mwenzake ambaye anataka ushauri wa jambo mtu kama huyu ndiye tunamuhitaji kumshauri zaidi.


KARIBUNI
 
Leo nimeleta uzi spesho wenye lengo la kusaidiana kutibu akili zetu ili matendo yetu yaweze kuwa ya kiiungwana na kibinadamu..Imagine mtu ni mzima lakini anadunda mwendo wa kisela as if ni kilema huu ni ugonjwa au sometimes unamuona mtu anajibu shit kwenye uzi wa mwenzake ambaye anataka ushauri wa jambo mtu kama huyu ndiye tunamuhitaji kumshauri zaidi.
Dawa yake ni kuwa na pesa tuuu, hakuna dawa nyingine ya maana zaidi ya hio. niamini mimi hio ndio dawa peke yake, vipi una mwekundu hapo nikanunue umeme??
 
tatizo siyo pesa mkuu ila tatizo ni uhitaji wa jambo fulani kwa wakati fulani/sahihi
mpwa niamini mimi tafadhali, ukiw ana hela hayo yanayoitwa matatizo ya akili kwa nchi yetu hayatkuepo, yatakuepo matatizo HALISI ila haya ya sasa ni FAKE, lawama zote kwa CCM
 
Nisaidie ushauri Nina madeni sana yaani kila baada ya lisaa nawaza deni najiuliza Hivi ni kweli ni mimi nilikopa na yote imeisha Sina hata Mia
njia nzuri ya kutatua tatizo ni makubaliano/kushauriana binadamu anapenda kusikia kuliko kuona hivyo hao wanaokudai unaweza kuongea nao vizuri wakakuelewa zaidi,jitahidi usikope kama huna mipango au biashara unaukaribisha umasikini.

matatizo tunayaanzisha wenyewe kwa kufikiria vitu vilivyokuwa nje ya uwezo wetu..


ACHA TAMAAA
 
Nisaidie ushauri Nina madeni sana yaani kila baada ya lisaa nawaza deni najiuliza Hivi ni kweli ni mimi nilikopa na yote imeisha Sina hata Mia
Dawa ya moto ni moto...


Hivo fanya mpango madhubuti wa kulipa madeni uepuke stress hizo.Cha msingi ukishafanikiwa uwe na malengo (Mpango mikakati) ambayo unakuwa nayo inakuongoza kulingana na kipato chako katika maisha ya leo na pia ujishughulishe na mishe zingine upate kipato zaidi kama akiba yako unapokwama Mbeleni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom