Hybrid cars

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
3,175
8,187
Nawasalimu wote jukwaani
Kutokana na kuzidi kupaa kwa bei za mafuta napenda kujua zaidi kuhusu hizi hybrid cars. Ufanisi wake, uimara wake, consumption ya mafuta[nimesikia ni ndogo] na mengine mengi na je magari hAya ni rafiki kwa mazingira ya nchi yetu

Mnaofahamu au kuwai kutumia gari hizi naomba mtujuze

Pia kuna hizi gari zinzotumia gas hebu pia tujuzeni

Ahsante
 
Mkuu hizo gari ziko powa sana lkn changamoto kubwa sana ni spea haswaa kama itaharibika kwenye mfumo wa hybrid..

Shida kubwa sana ni suala la kucharge bongo hakuna charge za hybrid.kama ambavyo mafuta kwenye gari yanaisha basi pindi inapotokea high voltag bettery ikaenda down basi hapo ndio shida inaanza..inatakiwa kuzicharge na ubaya gari haina starter zaidi ya motor kwaajili ya kuiwasha na motor hiyo inatumia high voltag hivyo gari ikiwa down basi gari haiwezi kuwaka..

Mm nishapambana nazo kama gari mbili zikawaka kwa kutengeneza charge ya kucharge bettery moja moja mpaka zinajaa zote..maana gari inawashwa na umeme ukubwa sana zaidi ya umeme wa nyumba..

Shida kubwa ni vipi utachaji??. Hatuna chaji bongo kwa wenzetu petrol station kuna cable za kuchajia..
 
Ukiamua kutengeneza charging system nyumbani kwako?
 
Kwani HYBRID ni ya umeme moja kwa moja mkuu?
 
Nawasalimu wote jukwaani
Kutokana na kuzidi kupaa kwa bei za mafuta napenda kujua zaidi kuhusu hizi hybrid cars. Ufanisi wake, uimara wake, consumption ya mafuta[nimesikia ni ndogo] na mengine mengi na je magari hAya ni rafiki kwa mazingira ya nchi yetu

Mnaofahamu au kuwai kutumia gari hizi naomba mtujuze

Pia kuna hizi gari zinzotumia gas hebu pia tujuzeni

Ahsante
Nilileta uzi hapa wa EV vehicles, nadhani suluhisho sahihi ni kuhamia kwenye aina hizo za magari! China ni gari za USD 5000 kama million 11.5 hivi za kitanzania unajipatia kigari cha umeme full unajichajia nyumbani kwako tu! Kwa mizunguko ya town kinafaa charge moja inatembea zaidi ya kilomita 100!
 
magari haya yapo sema mafundi na wataalamu wengi wapo bize kutafuta mkate.
hybrid ni mfumo ambao unatumia nafasi kubwa teknolojia kubwa ukilinganisha teknolojia ya injini wa kawaida.
gari hizo zipo na teknolojia yake imegawanyika kwa sehemu nyingi.
1.umeme mkubwa kushinda mafuta
zipo gari zinazo tumia hii ambazo zina jarabu kwa kasi ambazo injini ni v.v.t.i.ukikutana na yenyewe kama yenyewe mfano gari za tesla hazi tumii mafuta kabisa.lakini je vituo vya umeme wa kasi kujaza.
hybrid zipo gari ambazo mafuta ni kama msukumo wenye asilimia kidogo sana na ukiangalia mtandao tafuta gari kama mada unayo taka,zipo.
2.teknolojia kubwa inayo tumia mafuta nankazi kubwa.
kwa hizi gari naona china inapiga hatua sana ila sija jua kutokana sio mtaalamu wa mafuta na vifaa vyake
 
Mkuu kwani hizi hybrid zinatumia umeme pekee? Vipi hazina mfumo wa kujicharge zenyewe?
Mkuu hizo gari ziko powa sana lkn changamoto kubwa sana ni spea haswaa kama itaharibika kwenye mfumo wa hybrid..

Shida kubwa sana ni suala la kucharge bongo hakuna charge za hybrid.kama ambavyo mafuta kwenye gari yanaisha basi pindi inapotokea high voltag bettery ikaenda down basi hapo ndio shida inaanza..inatakiwa kuzicharge na ubaya gari haina starter zaidi ya motor kwaajili ya kuiwasha na motor hiyo inatumia high voltag hivyo gari ikiwa down basi gari haiwezi kuwaka..

Mm nishapambana nazo kama gari mbili zikawaka kwa kutengeneza charge ya kucharge bettery moja moja mpaka zinajaa zote..maana gari inawashwa na umeme ukubwa sana zaidi ya umeme wa nyumba..

Shida kubwa ni vipi utachaji??. Hatuna chaji bongo kwa wenzetu petrol station kuna cable za kuchajia..
 
Mkuu hizo gari ziko powa sana lkn changamoto kubwa sana ni spea haswaa kama itaharibika kwenye mfumo wa hybrid..

Shida kubwa sana ni suala la kucharge bongo hakuna charge za hybrid.kama ambavyo mafuta kwenye gari yanaisha basi pindi inapotokea high voltag bettery ikaenda down basi hapo ndio shida inaanza..inatakiwa kuzicharge na ubaya gari haina starter zaidi ya motor kwaajili ya kuiwasha na motor hiyo inatumia high voltag hivyo gari ikiwa down basi gari haiwezi kuwaka..

Mm nishapambana nazo kama gari mbili zikawaka kwa kutengeneza charge ya kucharge bettery moja moja mpaka zinajaa zote..maana gari inawashwa na umeme ukubwa sana zaidi ya umeme wa nyumba..

Shida kubwa ni vipi utachaji??. Hatuna chaji bongo kwa wenzetu petrol station kuna cable za kuchajia..
hybrid huwa zinajichaji zenyewe ni tofauti na EV so ikiwa down ita sense then engine itawaka hata ukiwa na speed ndogo
 
Nilileta uzi hapa wa EV vehicles, nadhani suluhisho sahihi ni kuhamia kwenye aina hizo za magari! China ni gari za USD 5000 kama million 11.5 hivi za kitanzania unajipatia kigari cha umeme full unajichajia nyumbani kwako tu! Kwa mizunguko ya town kinafaa charge moja inatembea zaidi ya kilomita 100!
Kilomita 100 mbona ndogo sana? Au labda mizunguko michache.
 
Nilileta uzi hapa wa EV vehicles, nadhani suluhisho sahihi ni kuhamia kwenye aina hizo za magari! China ni gari za USD 5000 kama million 11.5 hivi za kitanzania unajipatia kigari cha umeme full unajichajia nyumbani kwako tu! Kwa mizunguko ya town kinafaa charge moja inatembea zaidi ya kilomita 100!

EV haziwezi kuwa mbadala Wa hybrid as EV zina kuwa na range flan kulingana na chaji yake ILa hybrid mafuta yako tu yakiisha unaongeza safari inaendelea no need of wasting time uchaj battery ...itajichaji wakati unatembea au uko kwenye jam then battery haina chaji basi engine itakuwa on ikiendelea zungusha generator ifue umeme ukachaji betri

NB hizo gari za China za umeme full haziwezi kuwa chaguo la kwanza kwa mtu ambae ndo ananunua gari kwa mara ya kwnza cz anakuwa na limited range due to battery size then wabongo kama kawaida yetu tunataka gari hill hilo tuendee had vijijin kwetu miezi kama hii ..utawezaje kwenda sehemu ka mwsho km 100 had uchaji tena kijae then utachajia Wap kama ni pori ... mi naona bora ist kuliko gari mpya kwa tsh 11m tena la umeme utajauza mil 1.5
 
Ndio maana nikasema kwa mizunguko ya town! Elewa post mkuu, huwezi maliza km 100 kwa mtu wa kawaida anaeenda job, sokoni kisha home kwa wastani! Ishu ya kusafiria mtu anayelalamikia mafuta kwenye gari ya safari namuona mzinguaji!
 
Mkuu hizo gari ziko powa sana lkn changamoto kubwa sana ni spea haswaa kama itaharibika kwenye mfumo wa hybrid..

Shida kubwa sana ni suala la kucharge bongo hakuna charge za hybrid.kama ambavyo mafuta kwenye gari yanaisha basi pindi inapotokea high voltag bettery ikaenda down basi hapo ndio shida inaanza..inatakiwa kuzicharge na ubaya gari haina starter zaidi ya motor kwaajili ya kuiwasha na motor hiyo inatumia high voltag hivyo gari ikiwa down basi gari haiwezi kuwaka..

Mm nishapambana nazo kama gari mbili zikawaka kwa kutengeneza charge ya kucharge bettery moja moja mpaka zinajaa zote..maana gari inawashwa na umeme ukubwa sana zaidi ya umeme wa nyumba..

Shida kubwa ni vipi utachaji??. Hatuna chaji bongo kwa wenzetu petrol station kuna cable za kuchajia..
Si ukiuziwa wanakupa charge pia kma cm
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom