uzalendo

Chama Cha Uzalendo (English: The Patriotic Party) is a Kenyan political Party that was one of several affiliates of Mwai Kibaki's Party of National Unity in the 2007 general election. It is currently headed by veteran politician and former Nakuru North Constituency Member of Parliament Koigi Wamwere and had two elected Members of Parliament in Central Imenti's Gitobu Imanyara and Wavinya Ndeti in kenya's 10th Parliament.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uzalendo: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ala chakula cha gerezani kuonesha mfano

    Video hii hapa
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uzalendo: BAWACHA yaahirisha Kongamano lililopangwa kufanyika Iringa kuadhimisha siku ya Wanawake dunia ili kuzuia maambukizi ya Corona

  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uzalendo: Video ikionesha wananchi wakisafisha barabara baada ya lori kumwaga mafuta huko Singida

    Hii hapa
  4. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa, Vijana waaswa kwenda kujifunza Maadili na Uzalendo katika Chuo cha Uongozi cha Mwl. Nyerere

    Wajumbe wa Baraza la wadhamini la Chama Cha Mapinduzi ,(CCM) limewataka viongozi wa vyama vya upinzani nchini kujiunga na Chuo cha uongozi na Itikadi cha Mwalimu Nyerere ,kilichopo Kwamfipa,Kibaha,mkoani Pwani, ili kujiongezea uwezo na kujifunza maadili na uzalendo wa nchi yao. Walizungumza...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Historia itakuza uzalendo au tujikite kupata katiba yakusimamia haki?

    Tunakwenda kutafuta uzalendo kwenye historia Leo hii karne ya 21, karne ambayo watu awataki kupoteza muda kusoma vitu visivyo na tija maishani Bali wanawaza kuwaza namna yakufanya ubunifu katika kila ngazi ya maisha. Je, uzalendo wetu umepotea kwa sababu watu awajui historia au kwa sababu mfumo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sikuabliani na Magufuli kuhusu somo la Historia. Kama ni Uzalendo, watoto watajifunza kwenye somo la URAIA

    Lengo kubwa la somo la historia ni kumfanya mwanadamu ajifunze yaliyopita ulimwenguni kote (siyo Tanzania tu) na hivyo kumwepusha kurudia makosa ya huko nyuma. Na wala siyo kufundisha uzalendo. BTW, nani kamdanganya JPM kuwa uzalendo unafundishwa darasani? Uzalendo maana yake ni upendo wa raia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
  8. Hisha Sorel

    JamiiForums Tanzania CCM inahitaji kujenga au kuimarisha "Youth Nationalist Wing", hii ndio sababu?

    Falsafa wanzilishi ya Tanzania, Ujamaa, ilielewa uhusiano kati ya rangi ya ngozi, ukoloni, na ukandamizaji. Hivyo ilikuwa na lengo la kuondoa dhana ya kudharilishwaji wa ngozi Nyeusi kwa kutokomeza sababu zinazochangia kupitia programu tofauti, mojawapo ikiwa elimu ya uzalendo . Lengo kubwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mapokezi Ya FC Platinum: Hatimaye 'Wananchi' Waonyesha Uzalendo...!!!

    Nimekuwa shuhuda siku ya leo majira ya alasiri wakati timu ya Platinum kutoka Zimbabwe ikipokelewa uwanja wa ndege JNIA.Ukweli zile mbwembwe na amsha amsha kutoka kwa wenzetu 'Wananchi' kwenye mapokezi hasa za timu za nje zinapokuja kupambana na 'mnyama' sikuziona.Jambo hili haliwezi kupita hivi...
  10. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania kigezo cha uzalendo kitumike kutatua swala la ajira

    Habari waheshimiwa! Kuna kauli moja au msemo mmoja wa waswahili unasema mla nawe ndio mfa nawe. Nawaomba waheshimiwa kwa nafasi zao walizoteuliwa na kuchaguliwa wasije kuwasahau vijana waliopigwa na mvua na jua na kukesha mpaka kunakucha kuakikisha ushindi unapatikana huwe wa goli la kichwa au...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DC Arusha, Kenani Kihongosi: Tutafundishana uzalendo mpaka tutaelewana vizuri

    Alisikika Mkuu wa wilaya ya Arusha mjini, Ndg. Kenani Kihongosi akisema, "Tutafundishana uzalendo mpaka tutaelewana vizuri" huku akiwatandika viboko wahujumu wa mali za serikali. Mimi naungana nae na nadiriki kusema tunahitaji viongozi kama hawa wazalendo na wakali kwa watu wote ambao ni...
  12. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Kacha za kimasai za bendera ya Kenya zinavaliwa kuliko za Tanzania. Hii ni kukosa uzalendo au?

    Huku mtaani vijana wengi sana wa kike na wa kiume naona wavaa sana kacha za bendera ya Kenya na Uganda kuliko za Tanzania. Ni huku kwetu pekee au hadi mtaani kwenu, nini maana yake? Rangi za KE na UG zinapendeza kuliko za TZ? Wamekosa uzalendo au? Hebu tupe ushuhuda mtaani kwako wapo...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Njaa ikiwa kali uzalendo unapungua

    Hadi vijijini watu hawajali tena kuhusu miundo mbinu. Wizara husika chukueni hatua kwa haraka mkichelewa mtavuna mabua.
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Swali la Uzalendo: What is The Magic of The Same Route? Precision Air Full Flight, ATCL Half Empty

    Wanabodi, Japo hoja hii inge fit best kwenye Jukwaa la Habari Mchanganyanyiko, lakini kwa vile hii ni issue ya political economy ya uchumi wa nchi, nimeshuka nayo kwenye Jukwa la Siasa. Naomba nianze na declaration ya uzalendo, mimi ni mdau mkubwa wa Shirika letu la Ndege, ATCL, hivyo...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni Uzalendo mashabiki wa Yanga kwenda kuwapokea washindani wa Simba kutoka Nigeria pale JNIA?

    Kupitia runinga ya ITV wameonekana mashabiki wa Yanga wakiwapokea timu pinzani na Simba kutoka Nigeria katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere. Nauliza tu kwenu wanasiasa kitendo hiki kilichofanywa na mashabiki wa Yanga kina chembe ya uzalendo? Maendeleo hayana vyama!
  16. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kila moja Anamshangaa Halima Mdee, si CCM au Wapinzani lakini uzalendo na harakati mnazotaka afanye hata Mitume ziliwashinda

    Kwenye vipande vya fedha na Hofu usimwamini mtu yoyote. CCM wamejua pa kushika. Biblia inasema Yesu aliteua Mitume 12 tu aliowaamini Sana miongini mwa wanafunzi wake. Walishuhudia miujiza ya kila Aina na ishara nyingi kutoka mbinguni. Kama taswira za Elia na Mussa kilimani na Petro akashauri...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Neno "Uzalendo" linatumika vibaya awamu hii, haijapata kutokea

    Inavyoonekana neno uzalendo linatumika kuwakilisha matakwa binafsi zaidi na si kama lilivyokusudiwa katika matumizi yake. Mf. Mtu kaibiwa analalamika hasikilizwi, anataka aandamane kuonyesha hisia zake, anawekwa ndani, anaenda kushtaki kwenye jumuiya za kimataifa juu ya uonevu aliofanyiwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini ACT-Wazalendo wanaishitaki Serikali ICC badala ya Mahakama ya Afrika Mashariki? Huu ni uzalendo?

    Tunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa. Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika? Je, ACT wazalendo ni wazalendo kweli? Maendeleo hayana vyama!
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa upinzani Hong Kong wajiuzulu wote kupinga sheria ya uzalendo ya China

    Wabunge wa Upinzani Hong Kong wamejiuzulu na kususia Bunge kwa kupinga msimamo wa Wabunge wa chama tawala katika kisiwa hicho kuonekana kukubaliana na sheria ya serikali ya Beijing ya Uzalendo kwa watu wa Hong Kong. Idadi ya wabunge wa upinzani Bunge la Hong Kong ni 19 katika Bunge lenye idadi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania TBC Inachangia kushusha kiwango cha uzalendo

    Imekuwa kawaida kwa TBC - ONE kufanya kazi ya "kusifu na kuabudu" mgombea fulani kati ya wengi waliopo kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi kiasi cha kukirihisha. Imekuwa ile ya Korea Kaskazini inayofanya "personality cult" kwa kumfanya kiongozi wa nchi kuwa ndiye "mungu" jambo ambalo halifai...
Back
Top Bottom