Walitaka "kumshughulikia" Mchungaji aliyekuwa akikwamisha kazi zao, lakini wakaishia kukutana na nguvu za Mungu na hatimaye kiongozi wao kudondoka na ungo.
"Atheist" atalichukuliaje tukio hilo?
Mungu Yupo, na watu wanaomwamini si wa kuchezewa na wachawi.
Video hiyo hapo.
Sheria inasemaje...
Huyu jamaa ni mtu wa dua na maombi lakini anasema hakuna Mungu. Ninaamini alipitia changamoto za kimaisha hadi akamchukia Mungu lakini deep down anafahamu uwepo wake.
Scars
Tulidhani ujio wa verified USER ID ya TANESCO italeta neema kwetu, kumbe ni bora isingeanzishwa.
Tulijua TANESCO wangekuwa wakitujulisha mambo mbalimbali ili tujiandae lakini wapi.
Leo tumeshindwa kununua umeme wa Luku, TANESCO wako kimya, wangeweza kabisa kutujulisha mapema kwamba tununue...
Watu waliozaliwa tarehe zifuatazo ndiyo mara nyingi wanakuwa atheist
Waliozaliwa kati ya
1. Januari 20 mpaka February 18
2. May 21 mpaka juni 20
3. August 23 mpaka September 22
4. December 22 mpaka January 19
Hawa mara nyingi huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists)
Kama wewe ni...
Nikipita mitandaoni nimekutana na video ya kiongozi wa CHADEMA anaitwa ndugu Daniel Ngogo Naftali akitoa press statement kuhusiana na masuala ya Tegeta Escrow na ufisadi uliofanyika kimfumo.
https://www.youtube.com/live/M1HNMuJN6mU?si=RKFzHIKMCwmmn5Gq
Hoja zake ni nzito sana lakini...
Nini kifanyike?
Kiukweli idadi ya wenye nyumba maskini ni kubwa mno jijini Dar na miji mingine nchini kwetu. Je, ni mitazamo mibovu ya wananchi wengi kuhusu kumiliki nyumba? Yaani kwa haraka haraka kuna wapangaji wengi wana maisha mazuri kuliko wapangishaji. Maeneo ya uswahilini ni kawaida...
UWEPO
MWENYE ENZI MUNGU akaiumba DUNIA. Hakika katika Dunia MWENYE ENZI MUNGU akawaweka VIUMBE wengi sana na akampa mamlaka makubwa ya UFAHAMU kiumbe Mmoja tu BINADAMU.
Binadamu wamepita wengi sana huko nyuma na leo hii UPO WEWE na ndo maana hukuwepo mwaka 500 upo SASA hivi 2023.
Sasa...
Viongozi wa CCM na serikali hakuna Sehemu wanaosikika wakipiga kelele kupata madhara ya kiuchumi kwa upungufu wa umeme nchini.
Hakuna hata mmoja aliyesikika au simama kutoa mawazo mbadala juu ya nini kifanyike.
Ukimya huu unamaanisha kwamba hakuna adhari wanazoona au wameamua kwa pamoja wakae...
Wakuu,
Waziri Nape alitoa kauli hivi karibuni akisema watu waliokuwa kwenye mitandao ya kijamii wanapiga kelele tu na kwamba wapiga kura na wale wanaojielewa wanafanya mambo mengiine mtandaoni lakini sio kutumia mitandao ya kijamii.
Haya ni baadhi ya matukio ambayo mitandao ya kijamii...
Umoja wa Afrika umekuwa mwanachama rasmi wa kundi la G20, baada ya kilio chake cha muda mrefu cha kutaka kuwa na sauti kwenye majukwaa ya kisiasa na uchumi ya kimataifa. Tangu kundi hilo lilipoanzishwa mwaka 1999, likiwa na nchi wanachama 19 + Umoja wa Ulaya, wakati wote mambo yanayohusu mambo...
they have been discussion of aliens in Mexico congress under oath and here are the details and the Anatomy of the aliens as well as the dna analysis . They are over 1000 years old
Here is dr salce in Swahili
sehemu yake ya anatomia ilizungumzwa kibinafsi na Dk. Jose Salce Benitez ambaye...
Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali.
Hii...
Salam wakuu,
Wengi wanajua kuwa leo Mahakamani hapo Mbeya kulipaswa kusomwa hukumu ya kesi inayovuta masikio na hisia za watu wengi, ambayo imetunguliwa na mawakili wa nne wakujitegemea dhidi ya Jamhuri (AG) na Bunge pia kupitia Katibu wa Bunge.
Historia ya kuibuka kwa shauri hili...
Inaelekea mama alienda kwa mishe zake binafsi.
---
Baada ya kuwapo kwa taarifa ya Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu kwenda nchini Kenya hivi karibuni kwa ajili ya kusuluhisha mgogoro unaoendellea, Msemaji wa Serikali ameibuka na kukana suala hilo. Soma: Raila Odinga: Rais Samia alikuja...
TMA imesema hadi sasa imefikia asilimia 90 ya kuwepo kwa El Nino hasa kipindi cha mvua za msimu wa vuli zinazotarajiwa kunyesha Oktoba hadi Desemba mwaka huu katika maeneo mbalimbali nchini.
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya HewaTanzania (TMA) imesema El Nino inatarajiwa kuwepo katika kipindi...
Wakuu kwema?
Mada inajieleza kabisa hapo. Leo ni tuwape Mods wa JF pamoja na Muanzilishi wa JF, kioo cha wengi Bwana Maxence Melo maua yao. Sema jinsi Mods na Melo wanavyosaida siku yako iwe nzuri kila unapoingia JF. Ulifanyiwa kitu gani kikakupendeza mpaka ukatamani uwatoe hata ka ofa ka...
Kila mtu anapo lala usingizi kuna kitu hutokea kinaitwa rapid eye movement (REM) macho kuzunguka kwa haraka.
Hutokea baada ya saa 1 hadi masaa 2 katika usingizi.
Ndipo utaanza kupata ndoto au maono ambayo ni kama jambo halisi nala kawaida.
Wengi wenu manapokua kwenye ndoto, ndoto hizo huja na...
Tanzania ni nchi pekee ambayo kwa sasa imekaa eneo la kimkakati ambalo lisipolindwa vyema ipo hatari mataifa ya magharibi yakapenya na kutuondolea kabisa amani iliyopo kwenye ukanda wa bahari na Afrika Mashariki.
Tunapowaza kuhusu DP world kuja kiuchumi lazima pia tuangalie kiusalama. Tumeona...
Watumiaji wa bangi nchini Tanzania wameibuka na mbinu mpya ya kuchanganya kilevi hicho na vyakula mbalimbali kama vile majani ya chai, keki, biskuti, juisi pamoja na asali.
Kutokana na hilo serikali kupitia kwa Waziri wa nchi ofisi ya Waziri mkuu Jenista Mhagama akiwasilisha taarifa ya hali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.