uwaziri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa umejiandaa baada ya uwaziri kuisha? Wenzio wawili wana kinga ya kutoshitakiwa

    Nakukumbusha kaka yangu, mtanzania mwenzangu Bwana Makame Mbarawa kuna mawaziri wa zamani Bw. Yona na Bw. Mramba waliishia jela kisha wakaenda kufagia vyoo hospital za umma baada ya uwaziri wao. Hili sakata la uwekezaji wa bandari za Tanganyika unaweza kuja kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya...
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo amepewa Uwaziri ili kukamilisha mpango wa bandari kwa DP World?

    Tuliwahi kuandika hapa JF kuwa hakuna uteuzi au utenguaji unaofanyika kwa bahati mbaya au nzuri, kila uteuzi na utenguaji wa rais hapa Tanzania ni mpango kamili na mkakati mahususi wa muda mfupi, kati au umrefu. Pia soma > Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania KWELI Cleopa Msuya ameshawahi kushikilia cheo cha Uwaziri Mkuu na Umakamu wa Rais kwa wakati mmoja

    Salaam Wakuu, Leo mtandaoni nimeona dokezo likidai Cleopa Msuya katika historia ya Utawala wa Nchi yetu amewahi kushikilia vyeo vya Waziri Mkuu na Makamu wa Rais kwa wakati mmoja. Kuna ukweli hapa? Picha: Cleopa Msuya
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Watanzania masikini wanavyohangaika kupata chakula Rais Samia mfute kazi ya uwaziri Hussein Bashe

    Sasa hivi ni kipindi cha mavuno hasa ya mpunga lakini chakula kipo bei ya juu. Huyu waziri mwenye dhamana ya chakula amefeli Mahindi yanauzwa vijijini debe elfu ishirini. Waziri makini lazima angekuwa makini kulinda walaji wa ndani. Hata nchi kama Usa haiwezi kuexport chakula hovyo bila kuwa...
  5. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

    Hisia zangu zinazonionesha kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa anapwaya sana katika timu ya Mama Samia hazijaja bure, bali nimekuwa nikimtazama na kumfatilia sana utendaji wake katika hii miaka miwili akiwa chini ya Mama Samia, kwa kumliganisha na hapo alipokuwa chini ya mwendazake. Hata hivi sasa...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mwana FA umekubali Kuvaa Jezi ya Yanga SC ili Mstaafu Mshawishi mwana Yanga SC akulinde kwa Mama usitumbuliwe Uwaziri?

    Kuna Mtu anakujua ndani nje aliwahi kuniambia kuwa Sifa yako Kuu ni kuwa Mnafiki na mwepesi Kununuliwa na Kusaliti nikawa namkatalia ila kwa Upuuzi ulioufanya leo kwa Kuvalia Jezi ya Yanga SC huku ukijijua Wewe ni mwana Simba SC lia lia nimemuamini huyo Mtu. Poleni ila leo nina Furaha isiyoelezeka.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hivi hatuwezi kufanya kama Nigeria, Rais kuweza kujiteua nafasi ya Uwaziri?

    Rais Buhari alipoingia madarakani alifanya baadhi ya maboresho kwenye uongozi na moja ya mabadiliko aliyofanya ni kujiteua kama waziri wa nishati wa Taifa hilo lenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika. Lengo kubwa ni kuhakikisha usimamizi unakuwa mkubwa katika sekta hiyo kubwa kwenye uchumi wa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais kupata majina ya watu wanaofaa kupewa uwaziri, anatusikiliza

    Mhe. Rais anatamamani Sana kupata watu wakumsaidia kwenye uwaziri; lakini may be Hana majina mengi ya watu wanaofaa na hivyo kulazimika kutumia majina yale yale. Great thinkers tunaweza kutumia fursa hii kumsaidia baadhi ya majini anayoweza kuyatupia macho aboreshe Baraza la Mawaziri Uzi huu...
  9. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Mbona Professor Jay hakupewa Uwaziri?

    Hizi nafasi za Uwaziri zinatolewa kwa upendeleo au ukipata kama zali? Mbunge wa zamani Jimbo la Mikumi na Msanii mkongwe wa Hip-Hop Joseph Haule (professor Jay), alihudumia Bunge kwa miaka mitano ila hakupewa hata Uwaziri. Kama sifa walizotumia kumpa Uwaziri Mwana FA mbona Professor Jay...
  10. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Rekodi mbalimbali za Mawaziri Wakuu wa Tanzania

    Leo tujikumbushe kwenye historia ya nchi yetu tangu tulipoungana na wenzetu wa Zanzibar mwaka 1964. 1. Ni watu wawili tu wamewahi kushika madaraka hayo zaidi ya mara moja ambao ni Edward Sokoine na Cleopa Msuya Edward Sokoine akishika madaraka hayo mwaka 1977 mpaka 1980. Kwa mara pili...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mabula hatihati kutumbuliwa Uwaziri

    Huenda uteuzi wa Waziri wa Ardhi, Angelina Mabula ukatenguliwa wakati wowote kuanzia sasa kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa mgongano wa kimaslahi kutokana na uamuzi wake wa kusitisha utoaji wa vibali vya ujenzi wa vituo vya mafuta. Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Boris Johnson arejea London, atajwa kuwania tena Uwaziri Mkuu

    Boris aliyekuwa mapumzikoni Visiwa vya Caribbean ameungwa mkono wa Wabunge wa Conservative, atahitaji kupata kura 100 za Wabunge hao ili aweze kuchuana na Rishi Sunak na Penny Mordaunt. Mchakato wa kumpata Waziri Mkuu mpya utachukua Wiki 1 huku Wagombea 3 wakitakiwa kupitia mchujo Oktoba 24...
  13. butron

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha wa Uingereza Bwana Kwasi Kwarteng amepigwa chini rasmi baada ya kuitumikia nafasi ya uwaziri kwa siku 38 tu

    Bwana Kwasi Kwarteng ameondolewa akiwa mkutanoni Washington, Marekani.
  14. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Uwaziri Mkuu waitesa CCM

    Gazeti la Raia Mwema toleo la leo Septemba 10, 2022 limeandika uwaziri mkuu waitesa CCM. Hii taarifa ina maana gani?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa dharau anasema vijana tujiajiri. Mitaji na masoko iko wapi? Yeye alipokuwa hajalamba uwaziri alithubutu kujiajiri? Patrobas Katambi anadharau sana

    Hii ni kebehi na dharau sio kwa lugha kama hii 👇
  16. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alimpenda sana Nape Nnauye na alikuwa mwalimu bora kwake, ipo siku Nape atamkumbuka sana Magufuli

    Nape Moses Nnauye anamchukia Magufuli kwa sababu Magufuli alikuwa anamtaka Nape aishi maisha ya uhalisia aishi maisha ya kutokula rushwa atosheke na mshahara wake Magufuli alijua kuwa Nape ni kijana mdogo akiishi kwa kufanywa vuvuzela ataharibikiwa hapo baadaye endapo wanaombeba wakipotea lkn...
  17. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Lukuvi na Kabudi walifutwa Uwaziri

    Kwa nini Samia hakutaka kuwa wazi tu kuwahusu hao jamaa na kuamua kutudanganya eti watapewa kazi maalum ilihali sivyo?! Ukweli humweka mtu huru na kwalo Samia ingetosha alipowateua wengine na kuwaacha kina Lukuvi na wenzake angekaa kimya na kuendelea na hamsini zake. Hilo la Lukuvi na Kabudi...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia anashaurika na msikivu awafute kazi ya uwaziri January Makamba na Nape, ni mawaziri mzigo kwa taifa

    Wananchi wa kila kada wamepiga kelele na kushauri mkuu wa nchi amfute kazi January Makamba maana tangu aingie Wizara ya Nishati kila kitu kimeenda mrama. Bwawa la Nyerere ambalo kama lingekamilika Juni 2022 lingekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na kuleta ahueni ya maisha maana gharama za...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Navyomkumbuka Edward Moringe Sokoine-alijiuuzulu Uwaziri Mkuu ili kwenda kusomea degree ya masters Yugoslavia

    Alijua wazi kabisa huwezi kufanya mambo mawili magumu kwa wakati mmoja, akaona aache cheo kikubwa kabisa cha uwaziri mkuu ili kwenda kutimiza adhima yake ya kujiendeleza kielimu huko nchini Yugolavia ya wakati ule. Wanzetu hawa utaona leo ni waziri na kesho amedoctorate sasa huwa utafiti...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Katiba na Sheria inasimamia mikataba na majadiliano yote ya kisheria ya Tanzania. Kabudi kashindwa hii kazi akiwa Waziri atawezaje nje?

    Wizara ya Katiba na sheria ni msimamizi wa majadiliano ,mikataba na maduala yote yanayohusu sheria. Kabudi alipokuwa Waziri alikuwa mshauri Mkuu wa mambo haya. Kutumbuliwa kwake means ameshindwa kutekeleza Wajibu wake. Najiuliza, kazi mpya anayoyokwenda kufanya ataifanya bila kuelekezwa au...
Back
Top Bottom