Mbona Professor Jay hakupewa Uwaziri?

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Jun 20, 2022
1,215
2,993
Hizi nafasi za Uwaziri zinatolewa kwa upendeleo au ukipata kama zali? Mbunge wa zamani Jimbo la Mikumi na Msanii mkongwe wa Hip-Hop Joseph Haule (professor Jay), alihudumia Bunge kwa miaka mitano ila hakupewa hata Uwaziri.

Kama sifa walizotumia kumpa Uwaziri Mwana FA mbona Professor Jay alikuwa nazo?

download.jpeg
 
Hizi nafasi za uwaziri zinatolewa kwa upendeleo au ukipata Kama zari.
mbunge wa zamani Jimbo la mikumi na msanii mkongwe wa hip-hop Joseph h(professor Jay)

Alihudumia bunge kwa miaka mitano Ila hakupewa ata uwaziri Kama sifa walizotumia kumpa uwaziri mwana fa mbona professor Jay alikuwa nazo.View attachment 2559874
Sera wanazozisimamia haziendani, hivyo chama tawala hakiwezi kuwa na wabunge wa upinzani kwenye Serikali yao kwa nafasi ya uwaziri.
 
Hizi nafasi za uwaziri zinatolewa kwa upendeleo au ukipata Kama zari.
mbunge wa zamani Jimbo la mikumi na msanii mkongwe wa hip-hop Joseph h(professor Jay)

Alihudumia bunge kwa miaka mitano Ila hakupewa ata uwaziri Kama sifa walizotumia kumpa uwaziri mwana fa mbona professor Jay alikuwa nazo.View attachment 2559874
Vigezo vya Mteuzi unavijua?
Au kwa sababu wote ni Wasanii, unafikiri ndio kigezo cha kuwa Waziri/Naibu Waziri?
 
Hizi nafasi za uwaziri zinatolewa kwa upendeleo au ukipata Kama zari.
mbunge wa zamani Jimbo la mikumi na msanii mkongwe wa hip-hop Joseph h(professor Jay)

Alihudumia bunge kwa miaka mitano Ila hakupewa ata uwaziri Kama sifa walizotumia kumpa uwaziri mwana fa mbona professor Jay alikuwa nazo.View attachment 2559874
Jay hakuwa na watu kama Salaah nyuma yake
 
Hizi nafasi za uwaziri zinatolewa kwa upendeleo au ukipata Kama zari.
mbunge wa zamani Jimbo la mikumi na msanii mkongwe wa hip-hop Joseph h(professor Jay)

Alihudumia bunge kwa miaka mitano Ila hakupewa ata uwaziri Kama sifa walizotumia kumpa uwaziri mwana fa mbona professor Jay alikuwa nazo.View attachment 2559874
Hakuunga juhudi mkono kama angeunga hata angetaka kuwa spika enzi hizo angeinjoi
 
Hakuna serikali yenye macho kengeza. J alikuwa upinzani so Ccm(siwapendi) lakini hawawezi kumuweka mpinzani kwenye serikali yao hivyo hivyo chadema wangefanya kama wangekuwa madarakani
 
Yule ni kada wa CHADEMA, unamlinganisha na mwana CCM Mwana FA?. Hata sugu angekuwa mwanachama wa CCM angeishapata uteuzi kule. CHADEMA haiko madarakani kutawala dola ndio maana mastaa walioko huko hawapati teuzi katika uongozi wa nchi
 
Hizi nafasi za Uwaziri zinatolewa kwa upendeleo au ukipata kama zali? Mbunge wa zamani Jimbo la Mikumi na Msanii mkongwe wa Hip-Hop Joseph Haule (professor Jay), alihudumia Bunge kwa miaka mitano ila hakupewa hata Uwaziri.

Kama sifa walizotumia kumpa Uwaziri Mwana FA mbona Professor Jay alikuwa nazo?

View attachment 2559874
Mbona swali jepesi?? Mawaziri wanatoka kwenye chama kinachoongoza dola
 
Back
Top Bottom