Hayati Magufuli alimpenda sana Nape Nnauye na alikuwa mwalimu bora kwake, ipo siku Nape atamkumbuka sana Magufuli

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Nape Moses Nnauye anamchukia Magufuli kwa sababu Magufuli alikuwa anamtaka Nape aishi maisha ya uhalisia aishi maisha ya kutokula rushwa atosheke na mshahara wake

Magufuli alijua kuwa Nape ni kijana mdogo akiishi kwa kufanywa vuvuzela ataharibikiwa hapo baadaye endapo wanaombeba wakipotea lkn kama kawaida ya watoto waliolelewa kwa kubembelezwa Magufuli alionekana Mbaya sana na hatimaye Nape akatengeneza Chuki kwa Magufuli lkn wakati ni mwalimu mzuri Sana ipo siku Nape atayakumbuka maneno ya Magufuli
 
Jpm mwenye alikuwa mla rushwa wa kutupwa sem alivifunga vyombo vya habari vianaripoti tu. Unakumbuka 1.5 trilion?
Je!
Uliwekwa ushahidi wa hiyo hela au kupitia chadema na kwingineko, au stori za vijiweni kwenu mkisubiri kujaribu tena 2025?
 
Wewe basi sema ziko wapi?
Unasumbuliwa na uzushi tu. Kila anaytamka hapa 1.5 trilioni huwa ni mzushi.Let ripoti ya CAG yeyote inyoonyesha kuwa Magufuli alipoteza 1.5 trilioni, hata Assada ambaye anamchukia sana Magufuli hawajawahi kusema kuwa Magufuli alipoteza au alijinufaiasha 1.5 triliono za umma. Ripoti zote za Cag ziko hapa


Mimi nimesoma ripotie zote zile, hakuna inayoonyesha serikali kupoteza au kufanya ubadhilifu wa trilion 1.5. Kabla ya kudakia mambo, jipe muda kujitafutia ukweli kuliko kudakia maneno ya watu wengine hata wasiojua wanaongea nini,

Nimekupa link ila ukishindwa kupata PDF reports zenyewe niambie mimi ninazo zote nitakutumia.
 
Je!
Uliwekwa ushahidi wa hiyo hela au kupitia chadema na kwingineko, au stori za vijiweni kwenu mkisubiri kujaribu tena 2025?
Rais gani ambaye unafikiri success yako ni kuwaua watangulizi wako. Alimuua mkapa na next target ilikuwa jk sema jk kwa sababu ni mtoto wa mjini akakikwepa kikombe kile Mana mpaka Sasa jk angekuwa marehemu. Yule baba alikuwa katili Sana na kifo chake kila mtu kakifurahia mmi tu nilikunya cret ya bia siku hiyo
 
Hata yeye hakuweka ushahidi kukanusha alichoandika cag. Hivyo hela aliipiga. Rais ambaye alikuwa msafi Ni mmoja tu naye ni Nyerere ndo Mana hasemwi. Rais anayeongoza kusemwa vibaya ni jpm pekee
mbona mi nauponda ujamaa wa Nyerere? mbona wengine wanamponda JK na Mkapa? JPM anapondwa na mafisadi tu
 
Back
Top Bottom