uwaziri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Hamis Mwinjuma (Mwana FA) apewe Uwaziri kamili wizara ya Sanaa na michezo

    Umaarufu wake na ushiriki wake kwenye mambo ya Sanaa na michezo ni muda muafaka wa kumpa majukumu rasmi ya wizara. Uzi huu utumike kama rejea. Uzi tayari.
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Paul Kimiti aliukosa Uwaziri Mkuu kwa kutokua na kifua

    1. Mheshimiwa Paul Peter Kimiti (Mbunge Mstaafu -Sumbawanga Mjini) ni mwanasiasa mkongwe nchini, nusura aule nafasi ya Waziri Mkuu. Ila kutokana na kukosa kifua akaenda kuropoka kwa mkewe na mke nae bila kutulia akayamwaga saloon kwa mashosti zake. Mashosti wakaanza kuyasambaza kitaa. Mteuzi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Uwaziri nitaupata tu, huwa sikati tamaa

    Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt. Kigwangalla amesema ipo siku atapata tena Uwaziri, huwa hakatagi tamaa. Dkt. Kigwangalla ametoa taarifa ukurasani X.
  4. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, mpe Uwaziri Freeman Mbowe wa CHADEMA!

    Kuna philosophy nyingi sana za mtu na madaraka. Wengine wanasema ukitaka kumjua mtu na uwezo wake, mpe madaraka. Wengine wanasema ukitaka kummaliza mtu mpe pesa na madaraka. Sasa wenzetu, wananchi wenzetu toka chama pinzani, wamekuwa wakililia keki muda mrefu, napendekeza Mbowe apewe uwaziri...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Dkt. Godwin Mollel anastahili Uwaziri Kamili Sasa!

    Kama ni elimu anayo (DDS). Uzoefu wa uongozi, siasa (za upinzani na Chama chetu) kwann hapewi promotion kuwa Waziri Kamili kabla hajatemwa ubunge 2025 na Mwanri? Tatizo lipo wapi? Naibu chini ya Mawaziri watatu tofaut? Kuna nini kimejificha?
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shabiby: Mkipewa Uwaziri mnaanza kuweka mipango ya kuwa Rais

    Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema “Ubaya wenu nyie mawaziri mkishapewa Uwaziri mnajiona mnaweza kuwa Rais, naacha kazi za Uwaziri mnaanza mipango ya kuwa mtakuwaje Rais, mnasahau aliyekuteua amefanya hivyo ili ufanye kazi zake akupende, umtumikie yeye.” Amesema hayo katika mkutano na...
  7. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Hayati Magufuli alitaka kunipa uwaziri na pesa lakini nilikataa

    Katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo. Mchungaji Peter Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini na mwenyekiti wa kanda ya Nyasa na mjumbe wa kamati kuu...
  8. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tuweke siasa pembeni, usomi ungekuwa unatumiwa mfano aliyepata uwaziri wa ardhi Jerry Silaa jinsi sheria anavyoweza kuitumia kwenye utendaji

    Sijawahi kumfatilia sana waziri wa ardhi, Jerry Silaa ila nilichomkubali baada ya kuona jinsi anavyochambua sheria za ardhi na jinsi ya kutatua migogoro kisomi na kijamii zaidi. Kama viongozi wengine wangekuwa mfano wa kuonesha elimu yao na utendaji tungekuwa mbali sana.
  9. mngony

    JamiiForums Tanzania Waziri George Simbachawene atafaa Uwaziri Mkuu 2025

    Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito. Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja Bungeni kwa umakini. Nakumbuka aliwahi kuwajibika kwa kujiuzulu uwaziri kipindi cha JPM lakini...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe asema Kikwete alimwambia CCM hakina muda mrefu madarakani na kumshauri abaki upinzani. Aliahidiwa uwaziri wa fedha iwapo angejiunga CCM

    Zitto Kabwe amesema mwaka 2012 alipata changamoto chama chake cha wakati huo cha CHADEMA akidai ilikuwa juhudi ya kumzuia kuwa mwenyekiti wa chama hicho, Zitto amesema kulikuwa na makubaliano baada ya kugombea uchaguzi wa nyuma yake kwamba amuachie kijiti Freeman Mbowe na atampokea miaka mitano...
  11. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Nape anatakiwa ajiuzulu nafasi ya uwaziri wa mawasiliano kwa kushindwa kumlinda Rais dhidi ya matusi

    Rais wetu mpendwa Mama Samia anaendelea kutukanwa na kudhalilishwa mtandaoni. Waziri wa mawasiliano yupo amekaa kimya mpaka anatokea mkuu wa mkoa kukemea. Inamaana hakuna teknolojia nchi hii ya kuzuia watukanaji wa Rais either kuwakamata au kuzuia platform wanazotumia? Kama hakuna basi ata...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa kapewa onyo tu?! Maana nilitarajia aondolewe katika uwaziri!

    Dah....mama anaupiga mwingi, kwa hiyo Jerry kapewa onyo tu, huyu naye ni wa kufukuza, ila bado tunasubiri muda, maana njia yake anaiwekea miba kwa juhudi kubwa sana. Anguko lake haliko mbali. Mama anatoaga second chance.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mawaziri na Manaibu Waziri wasitokane na Wabunge

    Kuna haja ya Mawaziri na Manaibu Waziri wasitokane na ubunge, mbunge anapopewa jukumu la Uwaziri au Naibu Waziri jukumu kubwa atakalolitimiza Kwa moyo mmoja ni kufuata Rais anataka Nini, hivyo inapelekea kushindwa kutimiza majukumu yake ya kibunge ipasavyo ikiwemo kutembea jimbo lake ili...
  14. Huihui2

    JamiiForums Tanzania John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

    Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe. Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

    Katika Kitabu cha kuelezea maisha yake Mstaafu Mwinyi anasema alipojiuzulu Uwaziri wa Mambo ya Ndani Waziri aliyechukua nafasi yake alimtaka ahamishe haraka mizigo yake ili yeye ahamie kwenye nyumba ya Serikali aliyokuwa anakaa Mzee Mwinyi. Mzee Mwinyi alishindwa kuhamisha vifaa vyake vya...
  16. dubu

    JamiiForums Tanzania Lowassa asingepata hata Uwaziri Mkuu Kama si Jakaya Kikwete kumbeba

    Nimeona Watu wanamlaumu Jakaya eti alimtosa Lowassa bila kujua Jakaya ndo alimpa Uwaziri Mkuu. Basi mbona hawamshukuru Jakaya Kikwete kwa kumpa Lowasa uwaziri mkuu ambao leo hii ndio uwaziri mkuu huo umemzika kwa heshima ya waziri mkuu mstaafu japo alijiuzulu kwa Kashfa? Wanamtambua Lowasa...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Simai kujiuzulu ni ushujaa mkubwa kama Nyerere alivyojiuzulu U-PM. Anastahili pongezi, lawama, shutuma, na kukaliwa vikao au apewe maua yake?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Tanzania tuko hapa tulipo kwenye lindi la umasikini uliotopea kutokana na kukosekana viongozi wa kutosha wenye boldness ya kuchukua maamuzi magumu!. Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, John Pombe Magufuli, na huyu dogo Paul Makonda, ni...
  18. R

    JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar wamemhoji Simai aliyejiuzulu Uwaziri wa Utalii Zanzibar

    Hii nchi kuna mambo ambayo ni vigumu kuelewa yanaendeshwa kwa nguvu gani. Waziri amefanya tathimini akaona viatu vimezidi kuwa vikubwa akakaa pembeni; Mamlaka ya uteuzi ikakasirika. Je, walitaka hadi wamtumbue wao? Sawa mamalka zimekasirika, hana kosa kwa mujibu wa sheria, chama kinamuita...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni kama Dotto Biteko kaanza kupewa heshima zaidi ya uwaziri mkuu kuzidi Majaliwa, hii haiwezi kuleta msuguano?

    Naona tutarudi kule kipindi cha 1995, Waziri mkuu akiwa Msuya lakini watu walimtambua zaidi Mrema aliekuwa Naibu waziri mkuu. Kwa ninachokiona kwa hali ya sasa, Dotto Biteko anaonekana ndie waziri mkuu zaidi kuzidi Majaliwa. Yaani hata ulinzi anaopewa tu sio kitoto. Ana nguvu ya kutoa kauli...
  20. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Rais, Waziri na Wabunge hawawezi kuacha hizo kazi wakafanya kama tunazofanya sisi?

    Nazungumza hili na wao wakakumabna na tunayokumbana nayo sisi, kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu. Kwa sababu, kiuhalisia:- Rais hawezi kuhisi madhara ya kupanda kwa bei ya mafuta wala Waziri au Mbunge. Hawawezi kuona machungu ya kupanda kwa bei kunakosababishwa na kodi zao Hivi ni...
Back
Top Bottom