Kiukweli Chadema wana mchango wa kutosha katika serikali yetu na hasa katika level ya uwaziri.
Mawaziri wafuatao wamewahi kutumika pale Ufipa katika level tofauti za uongozi kwa nyakati tofauti tofauti.
1. Prof Kitila Mkumbo
2. Mh Pauline Gekui
3. Mh Patrobas Katambi
4. Dr Godwin Mollel
5...
Baada ya wanachi wa Tanzania kuchagua maendeleo ya kijani nchi nzima, kwa kuwapigia kura za kutosha wagombea wa CCM na kuufutilia mbali upinzani wa kupinga maendeleo ya nchi yetu. Wakati napitia matokea ya sehemu mbalimbali nikapata fikra pevu za kuangalia namna baraza la mawaziri litakavyokuwa...
Tunapoenda kuunda Timu ya Serikali yenye muelekeo wa uhuru kamili na kujitegemea tunatakiwa kuwaogopa sana wabunge wasanii wenye mbinu za kujipitisha,kujionesha na kufanya vibweka ili waonekane.
Wito ni kwa all government organs and machineries kuhakikisha anayepenya kwenye uwaziri au unaibu...
Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
"Ninawashukuru watumishi wa sekta ya Afya na Maendeleo ya jamii wa ngazi zote kwa ushirikiano mzuri walionipatia katika kutekeleza majukumu Nawashukuru kwa imani na upendo wao mkubwa kwangu.Siku zote wamekuwa wakiniamini na kuniheshimu licha ya kuwa sio mwanataaluma wa Afya."
"Kwa unyenyekevu...
Ama kweli Rias Magufuli ana kiburi.
Haiingii akilini anakuja na mipango ambayo kwa namna moja ama nyingine, kwa kiongozi wa nchi ni mipango ya upande mmoja. Alishindwa kuweka mzani wa alipotoka na vitu vyake vs watu aliowaongoza ili ajue afanye nini. Kushindwa kufanya hivyo ni tafsiri kuwa...
Wana JF
Mipango mikakati ya viongozi wakuu wakionyesha kuwa Makonda kawahi sana na ana tamaa ya vyeo vya juu wakati angali kijanam na wengine wakasema kuwa watoto wa miaka fulani wana tamaa mbaya, kumbe hiyo ni danganya toto ya kutufanya vipofu kuwa yametimia mwana wa mfalme kabigwa chini. Toka...
Habari kutoka ndani ya chama jimbo la Kibamba zinasema mbunge wa sasa wa Kibamba Mheshimiwa John John Mnyika ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA mpaka muda wa kuchukua fomu unaisha alikuwa hajachukua fomu ya kutetea kiti hicho.
Kama hizi habari ni za kweli je ni nini sababu? Ametosheka au...
Siasa siasani.
Siri sirini.
Siasa ni sayansi ..siasa ni sanaa.
Kuna baadhi ya mawaziri huko nyuma hatukuwaza hata siku moja kuwa watakuwa wanasiasa ...wengi katika baraza la Magufuli hawakuwahi kuwa wanasiasa hata kwa Bahati mbaya..
Mfano
1. Mama Joyce Ndalichako hajawahi kuwa mwanasiasa...
Dah.....bunge linogile.
Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.
Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu...
Mimi ni mwananchi wa kawaida sana kwa kweli ninamuombea Mhe. L. Mpina arudi mjengoni na kumuomba Rais Magufuli amteue tena kuwa Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya uvuvi.
Mhe. Mpina amefanya makubwa katika kipindi chake cha uwaziri. Pamoja na wengi kumlaumu kule mwanzo lakini sasa hivi watu wa...
Hili ni angalizo tu kwa wanaopewa dhamana ya kuwa mawaziri au manaibu uwaziri kuwa mnapoaminiwa na Mheshimiwa Rais kupewa nafasi ya kuhudumia wananchi kamwe msiweke maslahi yenu mbele bali muweke maslahi ya Taifa Mbele na kamwe matendo yenu yasitake kuharibu Image ya mheshimiwa Rais.
Wapo...
Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri.
Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu...
Juzi baada ya Rais John Magufuli kutangaza mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri ambayo yalimtupa nje aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Mwigulu Nchemba kila mmoja alisema yake, lakini jana, mkuu huyo wa nchi aliweka kila kitu hadharani kwa kutaja sababu 13 za kuchukua hatua hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.