uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege wa KIA Sasa Kusimamiwa na TAA baada ya KADCO Kumaliza Muda wake

    UWANJA WA NDEGE WA KIA SASA KUSIMAMIWA NA TAA BAADA YA KADCO KUMALIZA MUDA WAKE Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa leo tarehe 11 Novemba, 2023 ameshuhudia na kusimamia Makabidhiano ya Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) uliokuwa chini ya KADCO ambao sasa utakuwa chini ya TAA...
  2. JamiiForums Tanzania Tukumbuke pia Simba waliwahi kuchangishwa fedha za kujenga uwanja.

    Labda nianze kwa kuuliza waliofika Bunju siku za karibuni vipi ule uwanja wa Simba umefika hatua gani ? nimependa kuuliza kwani ni uwanja ambao mashabiki walichangishwa fedha zao hivyo wana haki ya kufahamu kinachoendelea. Kwa mtu anayefikiri vizuri hapa tiyari utajua kosa la Simba lipo wapi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa tusikilizwe kuhusu uwanja wa ndege. Haivumiliki tena

    Leo nimemsikiliza Musukuma akizungumzia kuchelewesha kuhusu jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza na miundo mbinu yake kuufanya uwe wa kimataifa. Hali hii kwa sasa inatoa picha kama alivyosema Msukuma dharau kwa kanda ya ziwa haijalishi Makonda ni Mwenezi au Dotto ni Naibu Waziri Mkuu,kisiasa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ijue KADCO, kampuni hewa iliyokuwa ikiendesha uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport

    ๐—ฅ๐—˜๐—ฉ๐—˜๐—”๐—Ÿ๐—˜๐——: ๐—›๐—ผ๐˜„ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ด๐—ป๐—ฒ๐—ฑ ๐—ฎ ๐—ฐ๐—ฟ๐—ฎ๐˜‡๐˜† ๐—ฑ๐—ฒ๐—ฎ๐—น ๐˜„๐—ถ๐˜๐—ต ๐—ฎ ๐—บ๐˜†๐˜€๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐˜† ๐—ฐ๐—ผ๐—บ๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐˜† ๐˜๐—ผ ๐—ผ๐—ฝ๐—ฒ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ฒ ๐˜๐—ต๐—ฒ ๐—ฐ๐—ผ๐˜‚๐—ป๐˜๐—ฟ๐˜†'๐˜€ ๐—บ๐—ฎ๐—ถ๐—ป ๐˜๐—ผ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ๐˜€๐˜ ๐—ฎ๐—ถ๐—ฟ๐—ฝ๐—ผ๐—ฟ๐˜ The government announced today that Kilimanjaro International Airport (KIA) will finally be handed over to the state-run Tanzania Airports Authority (TAA) tomorrow, but the real...
  5. JamiiForums Tanzania Yafichuka: Jinsi Tanzania ilivyotia saini mkataba kichaa na kampuni ya siri kuendesha uwanja mkuu wa watalii nchini (KIA)

    Serikali imetangaza leo kuwa hatimaye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) utakabidhiwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) inayomilikiwa na Serikali (TAA) kesho, lakini walengwa halisi wa KADCO, kampuni iliyoendesha uwanja huo kwa miaka 25 na kukusanya mabilioni ya...
  6. JamiiForums Tanzania Naanza kuamini tetesi uwanja uliofanyiwa marekebisho umewakataa simba kiroho, ndumba kuu za simba zilifukuliwa na kuchomwa, tutaona mengi sana

    Na hakuna asiejua kwamba hizi timu mbili zote simba na yanga zina kamati maalum za wataalam wa mambo ya kiroho ila simba huwa inafanya wazi. Tetesi zilizopo ni kwamba katika marekebisho ya uwanja, Yanga walitumia mwanya huu kupenyeza wataalam kubaini na kuziondoa ndumba za Simba, magreda...
  7. JamiiForums Tanzania 5-1 uwanja wa nyumbani ni fedheha au dharau

    Kilichotokea Taifa leo, iwe ni funzo kwa vilabu vyetu vyote nchini, kwamaba mafanikio ya timu ya mpira wa miguu ni uwekezaji sahihi kwa wachezaji na miundombinu rafiki kwa wachezaji, na umahiri wa mipango, mafunzo, uhusianao mwema na mbinu za mwalimu wa soka kwa timu husika. Viongozi wa vilabu...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Nancy Nyalusi ahoji uhalali wa KADCO kuendelea kusimamaia shughuli za Uwanja wa Ndege wa KIA

    MHE. NANCY NYALUSI AHOJI KADCO INASIMAMIA SHUGHULI ZA UWANJA WA NDEGE WA KIA KWA MKATABA UPI? "Nampongeza sana CAG kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kuweza kubaini madudu. Ucheleweshaji wa Malipo kwa wakandarasi umesababisha riba ya Shilingi Bilioni 68.77 kwa Serikali kwa taasisi 12. Hapo...
  9. JamiiForums Tanzania Uwanja mchafu unasimamiwa na wachafu

    Ukiangalia mechi inayochezwa pale katika uwanja wa UHURU - Dar es Salaam, basi maeneo ya majukwaa YANATIA KINYAAA. ULE ukoko unapaswa kuondolewa kwa kuwa sisi tunatabia za uchafu, basi yale maeneo yapakwe rangi NYEUSI ili ionekane ni rangi siyo uchafu. Kwakweli tuache uvivu TUJIPENDE.
  10. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege Songwe Kujengewa Chumba Maalum cha Baridi (Cold Room) Kuhifadhi Mazao

    Uongozi wa Uwanja wa Ndege Songwe umeagizwa kujenga chumba maalumu cha baridi (cold room) kwa ajili ya kuhifadhia mazao na vitu vingine vinavyoharibika ili kuwanufaisha wasafirishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo mazao kwenda mikoa na nchi mbalimbali. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa...
  11. JamiiForums Tanzania Singida: Rais samia azungumza na wananchi kuhusu uchumi, elimu na afya - uwanja wa Police square

    Video: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi katka mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Police Square Wilayani Manyoni mkoani Singida.leo tarehe 15 Oktoba, 2023 https://youtu.be/JIEFboO2SNY
  12. JamiiForums Tanzania Msijifanye hamjui kuwa Simba SC nayo imechangia kwa 25% Uboreshwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Taarifa ikufikie hapo ulipo kuwa Klabu ya Simba nayo imechangia katika Uboreshwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa kununua Fenicha zote ambazo 'Wanaowekwa' na Ihefu FC kila mara katika Ligi Kuu ya NBC wataanza kuzikuta nao wakianza kuutumia huo Uwanja kuanzia tarehe 20 Oktoba, 2023 utakapokuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro: Ukarabati Uwanja wa Mkapa Wafikia 95%

    Ukarabati wa Awamu ya Kwanza unaoendelea katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam umefikia asilimia 95 na asilimia tano zilizobaki zinatarajiwa kukamilika ndani ya siku tano kuanzia leo. Akikagua ukarabati huo leo Oktoba 9, 2023, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas...
  14. JamiiForums Tanzania Ipo haja ya serekali yetu kuanzisha chombo cha kifedha kwa ajili ya wanyonge.

    Ipo haja ya serekali kuanzisha chombo rafiki cha kifedha kama ilivyokuwa pride, (kimfumo) ili kiweze kusaidia kukopesha wananchi wanyonge mikopo chini ya million 10, Pia ipo haja ya fedha zote zile za wanyonge zitokazo katika halmashauri zetu zikawa zinapelekwa kwenye chombo hicho ili kuepusha...
  15. JamiiForums Tanzania Nikumbusheni link ya uzi unaoelezea ndege ilodondoka uwanja wa taifa wakifanya maonesho

    Habari wakuu, Kuna uzi kila niki-earch siuoni, ulilezea miaka ya 70 na 80 kulkikuwa na ndege ya kijeshi ikifanya mazoezi uwanja wa taifa Dar. Ikamshinda rubani na kuelekea kuanguka. Rubani kwa kuona umati wa watu uliopo wangekufa wengi, akajitahidi kwenda kuidondosha nje ya uwanja, akafa yeye...
  16. F

    JamiiForums Tanzania The Hexagon Arusha Stadium, uwanja wa kisasa kabisa wa mpira wa miguu kujengwa Olmoton Arusha

    Mwananchi Communications Limited Serikali ya Tanzania imejipanga kwelikweli katika kubeba jukumu la uenyeji wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 itakayoshirikiana na nchi za Kenya na Uganda. Mara baada ya nchi kutambua kuwa inataka uenyeji wa fainali hizo zitakazokuwa za 36...
  17. JamiiForums Tanzania Beki wa Man United, Lisandro Martinez anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili au mitatu

    Lisandro Martinez anasumbuliwa na majeraha ya mfupa wa mguu ambayo yaliwahi kumweka nje ya uwanja muda mrefu, hivyo kuna uwezekano wa Manchester United kutomtumia kwa muda wa miezi miwili au mitatu ijayo. Aidha, beki mwingine wa timu hiyo, Sergio Reguilon naye imebainika ana majeraha hivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Piga kelele uwanja uliokusudiwa Dodoma ujengwe

    Ujio wa AFCON nchini ni fursa kwa mji wa Dodoma, Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania, lakini hauna uwanja wa michezo wa serikali baada ya uliokuwepo kuporwa na CCM kama ilivyotokea kwenye miji mingine. CCM inataka kutumia pesa za umma kuuendeleza uwanja wake (haramu) wa Arusha badala ya kuzitumia...
  19. JamiiForums Tanzania Makaburi kuhamishwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege JNIA

    Dar es Salaam. Makaburi zaidi ya 600 yaliyopo katika kata ya Kipunguni yanatarajiwa kuhamishwa ili kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA). Mchakato wa kuhamisha makaburi hayo unafuatia mpango wa ulipaji fidia kwa wakazi 1,865 wa eneo hilo wanaotakiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Uwanja wa uhuru

    Uhuru stadium mbona kama uko vile vile yaani wameususia kama CCM Kirumba?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ