Nimesikitika kusikia Simba watautumia uwanja wa uhuru kama uwanja wa nyumbani. Simba mnatakiwa kujiongeza uwanja ule una pitch ndogo sana haufai na utasababisha mpoteze baadhi ya mechi.
Tafuteni uwanja hata mikoani, kama Mandela Stadium rukwa na shinyanga au Kirumba Mwanza hapo uhuru...
Mainjinia waliochora na kuujenga uwanja wa Ben Mkapa walijenga uwanja huo kwa uwezo wa kuchukua uwezo siyo tu wa idadi ya mashabiki wanaotajwa wa 60,000 lakini pia makadirio ya uzito fulani.
Ni kawaida kwenye mechi kubwa, mfano kama shughuli ya jana ya Simba Day kwa watu kuingizwa kuzidi idadi...
Simba wakubali siasa ipo kazini; kabla ya kumwalika Mhe. Rais katika event hii lazima wapo wanasiasa kutoka kwenye mashinda walihusika kukubali kuvaa jezi nakwenda uwanjani.
Walioingia uwanjani siyo wana Simba bali ni wanasiasa na watumishi wa umma. Haiwezekani kabla hata watu awajajua tiketi...
PHOTO: RUSSIAN AIRPORT OF VNUKOVO
The Russian airport of Vnukovo was closed for takeoff and landing on the afternoon of 6 August, allegedly due to "dangerous targets" in the sky.
Source: Russian state-owned news agency TASS; Mash Telegram channel; Moscow Mayor Sergei Sobyanin, on Telegram...
Ni jambo zuri sana sisi wapenzi wa Simba kwenda wengi kwenye tamasha letu la Simba day. Ukweli kuujaza uwanja kuliko Yanga walivyofanya ni njia nyingine sahihi ya kutibu sonona iliyotokana na timu yetu kufanya vibaya ndani ya uwanja dhidi ya Yanga kwa misimu 2 mfululizo.
Kujaza huku kwa uwanja...
Rais Samia anaenda katika Tamasha la Timu ambayo imefanya yafuatayo....
1. Imeitangaza nchi hasa Mlima Kilimanjaro
2. Imefanikiwa Kimataifa hasa CAFCL na siyo kwa Watoto na Wasiojua kule CAFCC
3. Inashiriki Michuano mikubwa na mipya Barani Afrika ya Africa Super Cup
4. Imeweka Kambi yake ya...
Yaani Timu iliyobeba Ubingwa na kufika Fainali ya CAFCC katika Siku yao ya Wananchi pamoja na baadae Kuruhusu Fungulia Ng'ang'a ( Mbwa ) Uwanja wa Mkapa haukujaa na hata kule Shamba la Bibi ( Uhuru Stadium ) haukujaa.
Halafu leo anatokea Pimbi Mmoja ( tena ametumika sana Kutuumiza Simba SC )...
Timu ya Wakaguzi ya utayari wa nchi za Kenya Uganda na Tanzania kuhusu utayari wao wa kuwa wenyeji AFCON 2027, leo hii Julai 31, 2023 wapo Zanzibar ambapo wamekagua Uwanja wa Amaan, hospitali ya Mnazi Moja, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume pamoja na viwanja vingine vya mazoezi...
Habari za mipango ya kufanyiwa ukarabati uwanja wa Benjamin Mkapa zimeanza kutolewa zaidi ya miezi 3 iliyopita. Najua serikali ina taratibu zake kuanzia kutafuta pesa hadi wazabuni wa kufanya kazi husika, ila naona kuna hali fulani ya kujikongoja na kujivuta kwenye suala hili. Zamani kabisa...
Yaani Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bwana Said Yakubu ni kweli hujui kwanini Taa hizo Nusu ndiyo huwashwa kama ulivyotanabaisha katika Mkutano wako na Waandishi wa Habari leo?
Sasa Mimi GENTAMYCINE kabla sijakupa Jibu kwanini Taa ziko 248 kwa Ujumla wake pale Benjamin Mkapa...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya [emoji1241] imetoa Tsh 30 𝘽𝙄𝙇𝙇𝙄𝙊𝙉 kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa.
Amesema maboresho hayo yatafanyika katika maeneo ya kuchezea, vyumba vya wachezaji na kutoa viti vyote vya uwanja huo.
Uwanja...
Ni mara ha pili jana ndani ya mwaka huu gazeti la mwananchi linalefa habari ileile kuhusu uwanja wa ndege wa Chato kutokuwa na ndege hata moja inayotua!
Story ni ileile na wanakazia ata ukienda kufanya booking hukuti ndege!
Tangazo la ATCL siku 5 zilizopita hili hapa kutoka account yao ya...
Wizara ya michezo kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi wa michezo imesema huenda club ya Simba ikazuiwa kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa kusherehekea kilele cha wiki ya Simba kwa sababu ya matengenezo yatakayoanza mapema wiki ijayo.
Matengenezo hayo ni maandalizi michuano ya Super League...
Hata kampuni moja ya ndege iliyokuwa inakwenda Chato, mara moja kwa wiki, sasa imesimamisha safari zake.
Ofisa Uhusiano wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Sarah Reuben akijibu swali la Mwananchi “kwa nini safari za Chato zimefutwa,” anasema “hazijafutwa” isipokuwa kuna mabadiliko katika...
Kwa hii Mbinu Jezi #6 FC nawasifu hakika Marketing mnaijua kuifanya vyema.
Mlianza kwa Kumvalisha Jezi yenu mpya ya 'Magemu Magemu' ili Kuwaaminisha Mashabiki.
Wafuatiliaji wa mambo tunajua kuwa tayari ni DONE DEAL Uarabuni ila mmeuchuna Kutangaza na mkalianzisha la Chama ili Kufunika bado...
Mshindi huyo wa Tuzo ya Grammy amefanikiwa kuweka rekodi hiyo kwa kuuza Tiketi zote 41,000 za onesho lake katika Uwanja wa Citi Field ulioko jijini New York, Marekani .
Show hiyo ilihudhuriwa pia na Mastaa wakubwa kutoka Marekani wakiwemo Busta Rhymes, SZA, Jorja Smith na rapa Santan Dave...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, amekabidhiwa kipande cha sehemu ya ujenzi wa uwanja wa mashujaa, katika Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma mapema Julai 2, 2023.
Ujenzi huo unaotekelezwa na kampuni ya SUMA...
Makombora Ya Ulinzi Wa Anga Yanayorushwa kwa Mabega ya Ukraine "Manpads" Yaipuki Mifumo Ya Urusi"S-300/S-400" Kwenye Uwanja Wa Vita.Yadungua ndege , helicopters na makombora mengi zaidi.
https://eurasiantimes.com/new-ukraines-cheap-missile-outperforms-worlds-best-s-400/?amp
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.