uvccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Libya

    JamiiForums Tanzania UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi. Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyabiashara Subhash Patel (mmiliki wa Hoteli za Sea Cliff na White Sands) afariki Dunia

    Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa Mabilionea wachache nchini Tanzania na mfanyabiashara, Subhash Patel inadaiwa amefariki leo. UPDATES: MFANYABIASHARA maarufu wa Tanzania ambae ni Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group, Subhash Patel...
  3. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imetulizana, UVCCM wanahangaika kujinasibu kama ACT-Wazalendo

    Unaweza ukaishi kwa mfalme bila amani. Unaweza kuishi kwa mfalme ukawa na hofu hata ya majirani wema wanaoendelea na shughuli zao. Unaweza ukapata fursa ya kumshauri mkubwa akabaki kuwashambulia majirani wanaojiendeleza. Ndivyo walivyo vijana wa chama tawala, muda walionao wangewekeza kushauri...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Sekretarieti ya Halmashauri kuu ya Taifa na UVCCM, UWT na Wazazi | Komredi Polepole amejiuzulu

    Ni mkutano wa kutathmini yaliyojiri katika uchaguzi mkuu wa 2020 na kuweka mikakati thabiti ya maandalizi ya Uchaguzi. Katibu Mkuu, Dkt. Bashiru amesema sasa wanayo kazi moja kubwa ya kujaza nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi komredi Polepole a.K.a Mwendokasi aliyeteuliwa kuwa Mbunge...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Muhindi: Vijana hasa UVCCM chapeni kazi, kwa sasa hakuna teuzi zozote Serikalini

    Nawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za Serikali. Rais Magufuli alishasema hatafanya teuzi mpya kwa sasa isipokuwa kwa Baraza la mawaziri pekee. Zaidi ya wanaCCM 10,000 waliomba nafasi za ubunge katika...
  6. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM hakina watetezi, amebaki Polepole, Dkt. Bashir na UVCCM wachache

    Yaani napita mitaani kila kona na hata kwenye maofisini hasa ofisi za umma katika watu 10 ninaowakuta 1 au 2 ndio wanapotezea CCM.Mitandao yote ya kijamii tukianzia humu JF, FB,Tweeter,Watsaap na mitandao miingine ya kijamii ukikuta wapo members 100 Basi utakuta 5 au 10 ndio wanaokitete...
  7. J

    JamiiForums Tanzania CCM Taifa yalaani mauaji na kifo cha mwenyekiti wa UVCCM vyuo vikuu mkoani Iringa komredi Mlelwa. Rais Magufuli aagiza wauaji kusakwa

    Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa. Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria. Rip Mlelwa Maendeleo hayana vyama! Mkuu wa mkoa wa Njombe...
  8. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Seneti Vyuo Vikuu Iringa auawa na watu wasiojulikana

    Ndugu wana CCM, Ndugu yetu, kijana wetu Emmanuel Polykap Mlelwa hatunae tena. Nimepigiwa simu na baba yake mzazi, Diwani mstaafu wa kata ya Madope-Ludewa kuwa ameuwa na watu wasiojulikana eneo la Kibena. Mwili wake ulihifadhiwa hospitali ya Kibena leo ni siku ya sita ndiyo umetambuliwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: UVCCM jibuni hoja za wapinzani bila kuchelewa, ni marufuku waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kupiga kampeni

    Dr Bashiru amesema ni marufuku wagombea waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kufanya kampeni bali wabakie kwenye mikoa yao. Dkt. Bashiru amemtaja mbunge mmoja aliyepitishwa bila kupingwa Lindi lakini sasa yuko Mwanza anafanya kampeni na kumtaka kurudi Lindi mara moja akawasaidie wenzie...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Husna Mwambiko wa UVCCM aliyegombea Ubunge asema anaamini hajarogwa ila amepata ajali ya kisiasa

    Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Husna Mwambiko aliyeshindwa kujieleza kwenye kura za maoni za ubunge anasema anaamini tukio lile halikutokana na kurogwa au uchawi bali ni ajali ya kisiasa. Husna amesema yeye ana tatizo la kigugumizi na ndio kilichomtokea ila anamshukuru Mungu kila alipotaja CCM...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini UVCCM wa leo mnaudharau sana Ubunge tofauti na enzi za akina Amina Chifupa?

    Nimefuatilia zoezi la kura za maoni za viti maalumu upande wa UVCCM nimechoka kabisa. Naipenda sana CCM lakini kiukweli UVCCM wa zama hizi wanafeli sana. Yaani wadada wote waliojazana CCM wenye elimu tofauti tofauti mnashindwa kupata wagombea makini hadi mnatuletea magarasa. Haishangazi...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo amuondoa kwenye nafasi yake Meneja wa TARURA jijini Arusha kwa kushindwa kuita Wananchi kushuhudia ufunguzi wa barabara

    Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amemuondoa kwenye nafasi yake Meneja wa TARURA Jijini Arusha, Podia Mwankenja kwa kushindwa kukusanya Wananchi kushuhudia barabara zilizokamilika alizokuwa akizitembelea. Waziri Jafo amesema, “Mnataka Serikali ionekane haijafanya kitu wakati Wananchi ndio...
  13. mbinguni

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

    Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari na mbunge wa sasa wa Karatu, Willy Qulwi Qambalo wameondoka rasmi ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wamepokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pamoja na viongozi wengine wa Chama mkoa wa...
  14. I

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wilhelmon Mayo, Mtia nia wa ubunge jimbo la Babati Mjini, Manyara

    Maendeleo na mabadiliko ya Babati yataletwa na kijana wa Babati ambaye anajua ni nini wanababati wamekosa kwa muda mrefu. Pamoja na kuwa anafanya kazi Babati mjini pia ni kijana mzalendo na anayeshirikiana na wananchi katika maisha ya kila siku. Mtu kama huyo ndio anayehitajika na anayetafutwa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwita Waitara na mwenzake watoa milioni 30 kwa viongozi UVCCM Tarime kuwasaidia kushinda kura za maoni, hali zao ni mbaya

    MWENYEKITI UVCCM TARIME APEWA MILIONI 30 KUFANYA ZIARA KUMBEBA MWITA WAITARA NA GERALD MARTIN KUELEKEA KURA ZA MAONI TARIME MJINI NA VIJIJINI Uongozi wa UVCCM Tarime umeamua kuchukua mkondo wa kuegemea kwa watia nia, na tayari wameunda timu yao wanayoiita chaguo la vijana kuelekea mchakato wa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

    Dkt. Magufuli ambaye ndiye Rais wa Tanzania leo atarudisha fomu ya maombi ya kugombea urais kupitia CCM kwenye makao makuu ya chama jijini Dodoma. === Updates: Rais Magufuli anarudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Makao Makuu ya chama, Dodoma. Hadi sasa ni...
  17. Kidugu

    JamiiForums Tanzania UVCCM Wilaya ya Iramba wamvaaa Membe, wampa onyo kali

    Jumuiya ya umoja wa vijana WA CCM Wilaya ya Iramba mkoani singida Imemtumia salamu aliyekuwa mwanachama wa CCM Bernard Membe na baadae kufukukuzwa uanachama na Kamati Kuu. Jumuiya hii kupitia kwa mwenyekiti wake comrade Joseph Mnemba imesema kuwa haitamvumilia mtu yeyote anaepingana na...
  18. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Vijana wa UVCCM tunaongoza kwa furaha Tanzania, hatutazeeka mapema

    Habari ndio hiyo, yaani hata huku jukwaani nyuzi za vijana wa BAVICHA ni zakinyonge mno, mara hawaiamini tume hii iliyowatangaza Sugu, Mbowe, Lema, Msigwa na wengine kuwa wabunge. Mara hawawaamini polisi wanaolinda raia na mali zao mara wanadai katiba😂😂😂😂 Kwakifupi hawa machalii wa BAVICHA...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao wakizeeka watakuwa Wachawi!

    RC Gambo amewaomba vijana wa CCM washirikiane na kupendana. Gambo amesema UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao kazi yao kubwa ni kupiga majungu na kuendeleza fitina. Hata RC Makonda alipokuwa anashambuliwa na wapinzani hapa DSM vijana hawakujitokeza kumtetea. Gambo amesema vijana wanafiki...
Back
Top Bottom