uvccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya ajenda ya UVCCM kuwa na jogging clubs?

    Siku hizi Kila ukifungulia Chanel Ten habari utaona eti viongozi wakuu wa wilaya wakihamasisha vijana kukimbia mchakamchaka jogging clubs kuimarisha afya. Swali la kujiuliza mikusanyiko hii Tena hawavai barakoa ni ya nini kipindi hiki cha maambukizi ya korona? Pamoja na kwamba kufanya mazoezi...
  2. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Polepole uwe na nidhamu na adabu kama ulivyokuwa Awamu ya Tano

    Katibu mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi amemtaka Mbunge Humphrey Polepole awe na nidhamu na adabu katika serikali ya awamu ya 6 kama alivyofanya kwa serikali ya awamu ya 5. Hiyo ni baada ya Polepole kupinga chanjo, jambo linalochukuliwa kama kupingana na Rais. Una maoni gani kwa wana CCM hao...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa UVCCM Kenani Kihongosi akiongea na Wanahabari Agosti 03, 2021

    ALIYOYAZUNGUMZA KATIBU MKUU WA UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI AKIONGEA NA WANAHABARI AGOSTI 03, 2021. Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Kenani Kihongosi alianza kwa kumshukuru Mwenyezimungu na kutoa salamu za pole kwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Mhe...
  4. The Assassin

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184

    Rais Samia amefanya uteuzi wa wakurugenzi 184.
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rais kuteua makada UVCCM kuwa Wakurugenzi ni kuvuruga Utumishi wa Umma

    Hawa ni baadhi ya vijana wadogo kabisa toka UVCCM walioteuliwa kuwa makurugenzi. KWA MUJIBU WA MEMORANDA YA FEDHA SERIKALI ZA MITAA(LGA) HAYA NDIO MAJUMKUMU MAZITO YA DED 1. Ensuring the existence of a formal and satisfactory system of financial administration; 2. Securing compliance with the...
  6. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Kituko cha mwaka: Kupinga Katiba Mpya huku ukiwa umevaa T-shirt za kuhamasisha Katiba Mpya

    Hivi kwa nini hawa vijana wa CCM ni debe tupu kichwani?Hivi ni lazima ukishakuwa CCM ni lazima akili zipeperuke? Hawa vijana wa CCM juzi walijifanya kuwa ni BAVICHA wanaopinga katiba mpya huku wakiwa wamevalia T-shirt za kuhamasisha katiba mpya[emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna mtu yeyote ambae...
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Onyo: CCM msijaribu kufanya vurugu Agosti 5, 2021

    Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM. Mipango yenu yote tunayao, tunajua vijana mnaowatuma na pesa mnazowapa ili wafanye vurugu then mpate ajenda yenu. I warn you...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa UVCCM Taifa azindua Vijana Jogging club aliyoianzisha mkoani Dodoma

    KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA AZINDUA VIJANA JOGGING CLUB ALIYOIANZISHA MKOANI DODOMA. 31.07.2021 Katibu mkuu wa Uvccm Taifa Ndugu Kenani Kihongosi amezindua rasmi VIJANA JOGGING CLUB MKOANI DODOMA. Amelekeza Mikoa yote kuwa na Vikundi Vya JOGGING VYA VIJANA lengo ikiwa kulinda afya pamoja na...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi Kuzindua Vijana Jogging Club

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi Kuzindua VIJANA JOGGING CLUB. VIJANA JOGGING CLUB. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi unapenda kuwaalika Vijana wote wa Tanzania katika Uzinduzi wa “Vijana Jogging Club” utakaofanyika tarehe 31 Julai 2021 kuanzia Nyerere...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero. Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti. Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
  11. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania UVCCM: Viongozi CHADEMA hawajui tofauti ya Uhuru wa Mahakama, Utawala Bora na Uongozi wa Kiimla

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mtwara, Nasibu Kanduru amesema kuwa matamshi ya Tundu Lissu akiwa nje ya Nchi yanaonyesha wazi Viongozi wa CHADEMA hawajui kutofautisha kati ya Uhuru wa Mahakama, Utawala Bora na Uongozi wa Kiimla. Kanduru amesema: "TunduALissa anaonyesha fika anajua Mashitaka...
  12. mshale21

    JamiiForums Tanzania UVCCM: CCM imchukulie hatua Askofu Gwajima kwa kuhamasisha Watanzania kukataa chanjo ya Uviko-19

    Dodoma. Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM) umekitaka chama chao kumchukulia hatua Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima kwa kitendo chake cha kuhamasisha watanzania wakatae chanjo ya Uviko-19. Katibu Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi ameyasema hayo leo Jumanne Julai 28 2021 mara baada kumalizika kwa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wabunge bila kumuondoa Spika/Naibu Spika hamtaheshimika kwa wananchi na hata Rais

    Waheshimiwa wabunge mmekuwa mkiburuzwa na kiti cha Spika bila kujua yeye hana chakupoteza 2025. Kwani ni automatic ni mstaafu. Hivyo anajikomba kwa Rais kuwa mstaafu mtarajiwa mwema huku akiwaharibia ninyi. Ushauri: Pigeni kura za siri zakutokuwa na Imani na kiti cha Spika/Naibu wake ili...
  14. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania UVCCM Shinyanga: Rais Samia angalia upya suala la tozo za miamala ya simu kwa maslahi ya wananchi wa hali ya chini

    Baraza Kuu la UVCCM Mkoa wa Shinyanga chini ya Mwenyekiti Baraka Shemahonge limemtaka Rais Samia Suluhu kuliangalia upya suala la Tozo za Miamala ya Simu kwa manufaa ya wananchi wa hali ya Chini na Vijana wengi wasio na Ajira. Baraza limeonya kuwa Mzunguko wa Fedha utapungua
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PEMBA: Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi

    PEMBA ZANZIBAR Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde. Alisema moja ya changamoto katika jimbo hilo ni uvuvi wa kisasa na wenye tija zaidi na mtatuzi wa changamoto zote ni kumchagua...
  16. Mkyamise

    JamiiForums Tanzania UVCCM ni wakati wa kusema lolote kuhusu tozo mpya za miamala ya kwenye simu

    Kundi hili limekuwa likitoa matamko mbalimbali yahusuyo siasa na mengine yanayotokea Bongoland. Sasa hivi issue inayotrend ni makato ya gharama za kutuma na kutoa fedha kwenye mitandao mbalimbali ya simu. Wajitokeze ili wapongeze au kuponda makato haya kama ambavyo wanafanya kwa mambo mengine!
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbeya Vijijini: Ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi

    MBEYA VIJIJINI - MBEYA SIKU YA PILI Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi akizungumza katika Kikao Wilaya ya Mbeya Vijijini Mkoani Mbeya ambapo alizungumza na wanachama katika Shina namba 1, pamoja na kuzindua shina la wakereketwa pia kukagua mradi...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Watoto wa UVCCM watuachie chama chetu cha kutovumilia unafiki

    Alichosema na kugusia Mwenyekiti wa CCM Mwanza ndg Diallo majuzi juu ya baadhi ya mapungufu ya utawala wa Awamu ya Tano yanaungwa mkono na sisi wapenda chama. Chama ni mawazo ya wanachama na si mtu. Hivyo mtu akikosea, kuchambuliwa ni lazima na ndio kukijenga chama. Moja ya imani ya chama ni...
  19. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Anthony Diallo anazeeka vibaya

    ANTONY DIALLO ANAZEEKA VIBAYA Kwanza kabisa nianze kwa dhati ya moyo wangu kumpongeza katibu wetu wa Umoja wa Vijana wa CCM Tanzania (UVCCM) ndugu yetu, na kaka yetu Kenani Labani Kihongosi kwa jinsi anavofanya kazi kwa weledi mkubwa kama kijana mwenye maono na anaonesha kwa namna gani ni...
  20. BAK

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamemtishia nini Anthony Diallo?

    UVCCM WAMEMTISHA DKT. ANTHONY DIALLO NA AMEKUBALI KUTISHIKA! Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Mheshimiwa Dkt. Anthony Diallo alizungumza na kutoa maoni yake na ulimwengu umemsikia. Alipokuwa akiongea alionekana kuwa timamu. Alionekana alikuwa na agenda na alionekana alijiiandaa vema...
Back
Top Bottom