uvccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Kenani Kihongosi ni somo; hii ndiyo safari yake Kiongozi

    JE, WAJUA? Maisha ya Kenani yanatupa Somo - Amekuwa Waziri Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa - Amekuwa Katibu Mkuu Mtendaji wa Jumuiya ya vyuo vikuu Tanzania TAHLISO - Amekuwa mjumbe wa Kamati ya Siasa Tawi. - Mjumbe wa Kamati ya siasa Kata. - Mjumbe halmasahuri Kuu ya Wilaya. - Mjumbe wa...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania G Malisa: Kamati Kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao ndani ya chama viongozi wa UVCCM waliokubali teuzi mpya

    Kamati kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao viongozi wakuu wa umoja wa vijana baada ya viongozi hao kukubali uteuzi wa nafasi nyingine. Viongozi hao ni Mwenyekiti Kheri James, Makamu Mwenyekiti Tabia Maulid na Katibu mkuu Raymond Mangwala. Wamevuliwa vyeo vyao kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi za...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania UVCCM mjirekebishe vinginevyo mtazidi kusugua benchi

    UVCCM mnatakiwa kubadili mitazamo yenu. Ndugu zangu nawasalimu. Leo tena nimeona nitumie haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa maoni. Leo nitaongelea kuhusu Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) na kushauri machache. Toka uteuzi wa wakuu wa wilaya utangazwe siku chache zilizopita kumekuwa na...
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi awa Katibu Mkuu UVCCM

    Ni Wazi sasa hawa Vijana wamechoka. Kenani Kihongosi DC wa Iramba ateuliwa kuwa Katibu Mkuu UVCCM. Yule Msanii aliyekua Arusha wananchi wakamlalamikia. ==== Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Kenani Kihongosi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)...
  5. Chee4

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ukuu wa Wilaya sio mali ya UVCCM

    Baada ya taarifa rasmi ya Uteuzi wa MADC kutoka hadharani kumekuwa na miluzi mingi kutoka kwa wanaharakati wa mitandaoni, CHADEMA na UVCCM wenyewe. Something is wrong somewhere, hivi ni nani aliyewahi kusema nafasi za MADC ni za UVCCM? Ni nani aliyewaambia CHADEMA sisi wanajumuiya Ultimate...
  6. Determinantor

    JamiiForums Tanzania UVCCM: Wapinzani walikwamisha upatikanaji wa KATIBA mpya

    Kwa kumbukumbu zangu, sikumbuki ni lini na kwa namna gani Mbowe, Lipumba na Mbatia walikwamisha "nia njema ya CCM" ya kuunda katiba mpya. UVCCM hebu mjifunze kusoma matukio hata kama mlikua hamjapevuka bado. Msiwe wajinga kupitiliza, siasa ni sayansi na sio uropokaji. Ile sherehe mliyofanya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nawashauri vijana UVCCM warudi kusoma siasa

    Nawashauri vijana UVCCM warudi kusoma siasa badala ya kukimbilia kutoa MATAMKO kwenye mitandao ya kijamii. Vijana UVCCM wamekosa Elimu ya siasa ambayo ilikuwa inawaanda kuwa viongozi wa baadae. Wamekimbilia kutoa matamko mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii ambayo yanaonekana kama...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wanaotajwa kurithi mikoba ya Katibu Mkuu UVCCM Taifa Raymond Mangwala

    WANAOTAJWA KURITHI MIKOBA YA Katibu Mkuu UVCCM TAIFA (SG) Raymond Mangwala Baada ya uteuzi wa viongozi wakuu wa UVCCM - Taifa kupewa UDC. Chombo hicho kimebaki bila uongozi wa juu. Ukiachilia suala la Mwenyekiti wake Kheri James ambaye alichaguliwa kwa kura kupitia Mkutano mkuu, UVCCM kwa sasa...
  9. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Vyeo ndiyo sababu ya UVCCM kutotaka Katiba mpya

    UVCCM wanajua kabisa kua katiba mpya hasa mchakato ulioanzishwa na tume ya Jaji Warioba na ile Pendekezwa hautambui kabisa nafasi za Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa sababu ni Makada wa Chama tawala na pia ni mifumo ya enzi za Nyerere ambako kulikosa na CHAMA NA SERIKALI, wakati huo ilikua ngumu...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James...
  11. T

    JamiiForums Tanzania UVCCM msilalamike, saidieni taifa kwa njia nyingine

    Na Thadei Ole Mushi. 1. Kuwa Mwigizaji au Msanii Hakukunyimi kuwa na sifa za kuwa Kiongozi. Tena Mwigizaji anaweza kuwa Kiongozi mzuri. Kinachoangalia ni uwezo wake katika kufanya vitu. Nilisema wiki Chache hapa zilizopita ni vigumu Sana kufanya vetting kwa vijana wanaosifia tu kuanzia January...
  12. MKEHA

    JamiiForums Tanzania Heri James karibu Ubungo. Kwa kadri ya uwezo wako umeifanyia mengi UVCCM

    Ilikuwa ni lazima upishe urekebishaji wa chama kwa mwenyekiti mpya wa CCM na hiyo ni kawaida sana kwa kila REGIME kupanga safu yake. Baada ya Bashiru Ally na Humphrey Polepole wing ya vijana kwa maana ndani ya CCM ilikuwa lazima iguswe kama ulikuwa bado hujajianda basi ulikuwa bado mchanga...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya Heri James kuwa DC, Mwenyekiti Mpya wa UVCCM kutokea tena Zanzibar?

    Ikumbukwe kwamba Kabla ya Heri James kuwa Mwenyekiti wa UVCCM nafasi hiyo ilishikwa na Hamad Masauni, japo baadaye aling'olewa kwa kashfa ya kufoji umri, baada yake akaja Sadifa, ambaye rekodi yake ya lugha chafu sidhani kama itakuja kuvunjwa. Hawa wote walitoka Zanzibar. Sasa swali langu ni...
  14. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Fred Vunja Bei ateuliwa kuwa Mwenyekiti kamati ya Uchumi na fedha UVCCM Taifa

    Mfanyabishara Wa Nguo na Kijana Wa Kikinga Fredy Ngajiro Maarufu Kama Vunjabei ameteuliwa Kuwa M/kiti Wa Kamati Ya Fedha Ya Uvccm... Vijana Tafuteni Njuruku Hakuna Namna ---- Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei jana tarehe 23 May 2021 amepitishwa na Baraza kuu la UVCCM kuwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ampongeza Kheri James na UVCCM, awataka watani wao (Chadema) wakajifunze siasa CCM

    Mbunge wa Mtama ndugu Nape Nnauye amehudhuria baraza kuu la UVCCM na kumpongeza mwenyekiti wake Khery James kwa kazi kubwa wanayofanya ya kukilinda chama. Nape Nnauye amewataka Bavicha na Chadema kwa ujumla wakajifunze siasa CCM. Kazi Iendelee
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Kiongozi Mshamba wa UVCCM Tarime atangaza kipigo kwa wapinzani, wala hajaguswa na Polisi

    Ushahidi huu hapa .
  17. J

    JamiiForums Tanzania UVCCM wako kimya sana Eid El Fitr hawajaenda hospitalini kutoa zawadi kwa wagonjwa kama ilivyozoeleka, kwanini?

    Kila kona wanasikika Bavicha tu mara wamepeleka tende kwa wale Uamsho kwa ajili ya sikukuu mara wanasindikiza malori ya TBL yanayopeleka bia wilayani Hai, lakini wenzao wa UVCCM hawasikiki kabisa sikukuu hii. Ni kawaida ya UVCCM kutembelea wagonjwa na watoto yatima wakati wa Eid El Fitr na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania CCM ujana ni sifa ya ziada lakini CHADEMA ujana ni maisha yao. Sijajua UVCCM wanafeli wapi?

    Ni kawaida sana kumuona diwani, mbunge au Waziri wa CCM akitamba kwamba sasa kazi itafanyika kwa sababu yeye ni kijana. Na unaweza kukuta hata Kigwangalla au Shinza akijinasibu kwamba yeye ni kijana. Lakini Chadema vijana hawanaga hizo swaga wao utawatambua kwa matendo yao tu kuwa ni vijana na...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Vijana wa Tanzania hawaaminiki, wakiachiwa biashara bila kuiba wanajiona wajinga

    Wakati Waziri Mkuu akiahirisha Bunge baada ya hotuba ya Waziri Mkuu, Spika Ndugai ameongelea suala la uaminifu wa watanzania hasa kwa vijana na kudai wawekezaji wengi wamekuwa wakilalamika. Ndugai amesema mtu anaeanzisha mradi atajikuta tu amefilisika asipokuwa makini. '' Mtu akianzisha labda...
  20. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania UVCCM tuacheni unafiki kama kweli sisi ni wazalendo. Mwenyekiti James kaonesha njia

    Ndugu zangu vijana wangu na wanaccm tuache unafki na ubishi usiokuwa na sababu. Hivi anayoyasema mwenyekiti Heri James kuna kipi kipya hapo? Tunabisha kitu gani kama kweli tunataka kulijenga taifa kwa pamoja? Tuache ujinga, tusitake kulazimisha mambo wakati tunajua kabisa kuna uwezekano wa...
Back
Top Bottom