Cut off point ya GPA Utumishi ya kuitwa kwenye interview ni ngapi?

Dogo12

Member
Oct 5, 2022
45
140
Habari wanajamvi,

Nilikua naomba kuuliza je cut off point ambayo utumishi na tasisi zingine wanaconsider wa kifanya shortlisting ili waite watu kwenye interview ni GPA ya ngapi (ukiachana na kazi za academicians)
 
Habari wanajamvi nilikua naomba kuuliza je cut off point ambayo utumishi na tasisi zingine wanaconsider wa kifanya shortlisting ili waite watu kwenye interview ni GPA ya ngapi(ukiachana na kazi za academicians)

Hongera! Uzi mzuri sana.
 
Dogo12 jibu ni kwamba Utumishi tofauti na ajira za tutorial assistants na lecturers hawaangalii mambo ya GPA bali wanatumia passmark ya kuanzia 50 kwenda juu, both kwenye Written na Oral. Kuhusu taasisi nyingine ni lazima watoe muongozo unaojitegemea au waweke wazi kwenye tangazo la ajira husika.

Angalizo
1. Sio kila aliyepata 50 ataitwa kwa ngazi ya written inategemea na ushindani wa usaili husika. Watu wakifaulu sana inaweza kupanda zaidi.

2. Kikubwa uwe na GPA yoyote ambayo TCU wameruhusu upewe cheti, kwa Utumishi inawatosha.

3. Usisahau kupitia sheria, kanuni na miongozo ya Utumishi utapata majibu ya maswali mengi zaidi ya hili.
 
Back
Top Bottom