Kwa kauli hii, Rais Magufuli anakiri kuna mabaya yanafanyika chini ya utawala wake?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,993
144,327
Hii hapa chini ni tweet ya leo ya East Africa Tv wakimnukuu Raisi Magufuli:

'Tutaendelea kujenga barabara za mtaani kwa lami kwasababu tumepanga katika mapato tunayokusanya ni lazima asilimia 40 itumike kujenga miundombinu yetu, ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri na sio mabaya kwasababu nimejitoa maisha yangu kwaajili yenu' - Raisi Magufuli.

1584346365211.png
 
Uyu msela anapiga kazi sana... Sema kuna raia wake wanamuangusha yani viongozi aliowachagua ni wa vivu balaa na wanapenda kuiga mambo wakiona mkuu kasema ivi kesho yake na wao wanaamka nakutoa matamko ambayo hawaeleweki... Lakini JPM namkubali na sisi vijana tuchape kazi ili kulijenga taifa letu na ipo siku walai tutamkumbuka uyu mzee
 
Uyu msela anapiga kazi sana... Sema kuna raia wake wanamuangisha yani viongozi aliowachagua ni wa vivu balaa na wanapenda kuiga mambo wakiona mkuu kasema ivi kesho yake na wao wanaamka nakutoa matamko ambayo hawaeleweki... Lakini JPM namkubali na sisi vijana tuchape kazi ili kulijenga taifa letu na ipo siku walai tutamkumbuka uyu mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa sana bwashee!
 
Salary Slip,
Hizi ni dalili za mtu anaye karibia kukata roho, watu wanaokaribia kufariki hupayuka hovyo hovyo. Hivi ni kwa kitu gani Magufuli amefanya mpaka YEYE ajione amejitoa MAISHA MUHANGA!! Historia itamkumbuka Rais Magufuli kama DICTATOR na Rais wa HOVYO kuwahi kutokea Tanzania.

Subiri usifiwe na wewe mjinga. Unajua upuuzi na mabaya unayofanya ndio maana unaanza kujipigia pigia debe kuwa utakumbukwa!! Machozi, hofu, vifo na umaskini uliouleta ndio utakumbukwa navyo zaidi
 
Hizi ni dalili za mtu anaye karibia kukata roho, watu wanaokaribia kufariki hupayuka hovyo hovyo. Hivi ni kwa kitu gani Magufuli amefanya mpaka YEYE ajione amejitoa MAISHA MUHANGA!! Historia itamkumbuka Rais Magufuli kama DICTATOR na Rais wa HOVYO kuwahi kutokea Tanzania.
Subiri usifiwe na wewe mjinga.....unajua upuuzi na mabaya unayofanya ndio maana unaanza kujipigia pigia debe kuwa utakumbukwa.....machozi,hofu,vifo na umaskini uliouleta ndio utakumbukwa navyo zaidi
Dah Comment imekaa Kibrigedia........
 
Uyu msela anapiga kazi sana... Sema kuna raia wake wanamuangusha yani viongozi aliowachagua ni wa vivu balaa na wanapenda kuiga mambo wakiona mkuu kasema ivi kesho yake na wao wanaamka nakutoa matamko ambayo hawaeleweki... Lakini JPM namkubali na sisi vijana tuchape kazi ili kulijenga taifa letu na ipo siku walai tutamkumbuka uyu mzee
Jombaa kazi bila Demokrasia ni sawa na kuwa na demu alafu humli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyu msela anapiga kazi sana... Sema kuna raia wake wanamuangusha yani viongozi aliowachagua ni wa vivu balaa na wanapenda kuiga mambo wakiona mkuu kasema ivi kesho yake na wao wanaamka nakutoa matamko ambayo hawaeleweki... Lakini JPM namkubali na sisi vijana tuchape kazi ili kulijenga taifa letu na ipo siku walai tutamkumbuka uyu mzee
Cha ajabu ni kipi hapo?Mbona hata JK na BM walijenga barabara?!
 
Hajatoa maisha yake kwa mtu yeyote yule mbwembwe tu muendelee kumuona wa maana, dili zinapigwa balaa na kampuni zilizoandikishwa kwa majina ya ndugu. Hadi anamaliza atakua billionaire in dollars sio tzs maana tayari tzs ashavuka hiyo status zamani sana
 
Hii hapa chini ni tweet ya leo ya East Africa Tv wakimnukuu Raisi Magufuli:
' ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri na sio mabaya kwasababu nimejitoa maisha yangu kwaajili yenu' - Raisi Magufuli.
Kanuni ya karma inasema kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake, hivyo kama umefanya matendo mabaya fulani, halafu ukaja kufanya matendo mengi kuliko yale mabaya, yale mema yako yanafuta mabaya yote na unaingia mbinguni peponi kwenye raha ya milele.

Hivyo kuna watu humu nikiwaeleza ukweli kama huu, hawaamini.
Kwa Uamuzi Huu, Pongezi Sana Rais Wetu Magufuli, Utabarikiwa na Mungu, na Taifa Pia Litabarikiwa!

Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had!. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana!, Tanzania itabarikiwa!.

Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
P
 
Hakuna watu wanafiqi Kama raia wa Tanzania wakati wa Utawala wa JK walikuwa wakilalamika kuwa anawakumbatia mafisadi ameingia mchapakazi na kiboko ya mafisadi JPM bado wanalalamika.

Na hakuna Raisi ambaye hana kasoro na asiefanya mabaya.
Mfano wakati wa JK alibariki mauaji ya Wananchi wasio na hatia Mtwara
Mkapa kifo cha Nyerere hayo ni kwa uchache
JPM piga kazi achana na kelele za wanafiqi wa Tanzania.
 
Kasome comments wa watu twitter ndio utapata picha ni jinsi gani atakumbukwa.
 
Kanuni ya karma inasema kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake, hivyo kama umefanya matendo mabaya fulani, halafu ukaja kufanya matendo mengi kuliko yale mabaya, yale mema yako yanafuta mabaya yote na unaingia mbinguni peponi kwenye raha ya milele.

Hivyo kuna watu humu nikiwaeleza ukweli kama huu, hawaamini.
Kwa Uamuzi Huu, Pongezi Sana Rais Wetu Magufuli, Utabarikiwa na Mungu, na Taifa Pia Litabarikiwa!

Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had!. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana!, Tanzania itabarikiwa!.

Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
P
Ukiacha mabaya na kufanya mema ndio kuna hiyo ahadi kwenye imani zetu. Ila sio kweli ulichosema kwamba mabaya na mazuri huwekwa mizanini kuangalia "uzito" upande upi ni mkubwa zaidi
 
Ila barabara za mitaani hasa za Dar ni ufadhili wa world bank na mchakato ulianza wakati wa JK
Hii hapa chini ni tweet ya leo ya East Africa Tv wakimnukuu Raisi Magufuli:

'Tutaendelea kujenga barabara za mtaani kwa lami kwasababu tumepanga katika mapato tunayokusanya ni lazima asilimia 40 itumike kujenga miundombinu yetu, ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri na sio mabaya kwasababu nimejitoa maisha yangu kwaajili yenu' - Raisi Magufuli.

View attachment 1389711

Jr
 
Hajatoa maisha yake kwa mtu yeyote yule mbwembwe tu muendelee kumuona wa maana, dili zinapigwa balaa na kampuni zilizoandikishwa kwa majina ya ndugu. Hadi anamaliza atakua billionaire in dollars sio tzs maana tayari tzs ashavuka hiyo status zamani sana
Baada ya miaka yake juni ya utawala atakua ana karibu a Donal Trump kwa ukwasi.
 
Uyu msela anapiga kazi sana... Sema kuna raia wake wanamuangusha yani viongozi aliowachagua ni wa vivu balaa na wanapenda kuiga mambo wakiona mkuu kasema ivi kesho yake na wao wanaamka nakutoa matamko ambayo hawaeleweki... Lakini JPM namkubali na sisi vijana tuchape kazi ili kulijenga taifa letu na ipo siku walai tutamkumbuka uyu mzee

True. Ukweli utatuweka huru. Na a mob Ni tofauti na watu makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kila utawala kuna ya mabaya na mazuri yanafanyika, tofauti inakuwa kwenye viwango
 
Back
Top Bottom