Tottenham yamtimua Pochettino na benchi lote la ufundi. Jose Mourinho ateuliwa kuinoa Klabu hiyo

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
10,498
17,127
Klabu ya Tottenham Hotspurs imemfuta kazi Kocha wake Mauricio Pochettino mwenye miaka 47, baada ya kuiongoza timu hiyo kwa miaka mitano

Taarifa ya timu inasema matokeo ya mwishoni kwa ligi za ndani msimu uliopita na matokeo ya msimu huu si ya kuridhisha

Pochettino aliyeiongoza timu hiyo kufika Fainali ya Klabu Bingwa msimu uliopita, ameondoka klabuni hapo pamoja na Msaidizi wake, Jesus Perez huku Wakufunzi wengine, Miguel d'Agostino na Antoni Jimenez nao wakiondoka klabuni hapo

1.jpg

UPDATE
Jose Mourinho amechaguliwa kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Tottenham Hotspurs ya England hadi mwisho wa msimu 2023

Kocha huyo wa zamani wa Klabu za Manchester United na Chelsea za England pia anachukua nafasi ya Mauricio Pochettino

2.jpg
******

Tottenham have sacked head coach Mauricio Pochettino after five years in charge of the Premier League club.

The former Southampton boss, 47, was appointed in May 2014 and led the club to the Champions League final last season, where they lost to Liverpool

But Spurs have made a disappointing start to the current campaign and are 14th in the Premier League.

"We were extremely reluctant to make this change," said Spurs chairman Daniel Levy.

"It is not a decision the board has taken lightly, nor in haste. Regrettably domestic results at the end of last season and beginning of this season have been extremely disappointing.

"It falls on the board to make the difficult decisions - this one made more so given the many memorable moments we have had with Mauricio and his coaching staff - but we do so in the club's best interests."

Pochettino's assistant Jesus Perez, and coaches Miguel d'Agostino and Antoni Jimenez have also left the club.

Tottenham said in a statement that they would provide an update on new coaching staff "in due course".

Pochettino guided Tottenham to the League Cup final in his first full season while two third-placed finishes sandwiched a runners-up spot in the Premier League in 2017.

UPDATES
Jose Mourinho has been named Tottenham head coach until the end of the 2023 season. The former Manchester United and Chelsea boss replaces Mauricio Pochettino, who was sacked on Tuesday.

Negotiations between Spurs and Mourinho - who had been out of work since leaving Old Trafford in December - intensified over the last few days and concluded in the early hours of Wednesday morning.
 
Tottenham have relieved Mauricio Pochettino and his coaching staff of their duties following a disappointing start to the season.

Mauricio Pochettino has been sacked as manager of Tottenham, the Premier League club have confirmed.
Nikweli hata mie nimeona
 
Tottenham are considering José Mourinho as new manager, after sacking Pochettino. And José would be open to start a discussion with Spurs. Daniel Levy will decide on next hours. ️ #THFC #Tottenham #Spurs #Pochettino
 
Baada ya jana Pochetinho kutupiwa virago jana pale White Hartlane, anaetajwa kuchukuwa mikoba ni the special one; najiuliza kwa vipaji vilivyosheni pale Spurs, je Mourinho akitua ndio mwisho wa utawala wa Klopp na Gurdiola pale EPL? Squad ya Spurs ni bora kuliko ya Man Utd, Liver, Arsenal wala Lecester City, na Guardiola pale City anaonekana kachoka.

Je, utawala wa Mourinho utarudi?

Ngoja tuone Spurs ya Mourinho itakavotawala EPL kwa misimu mitatu ijayo!
 
Kocha Jose Mourinho akabidhiwa timu ya Tottenham Hotspurs kwa mkataba wa mpaka mwaka 2023....

Kama naiona vile LONDON DERBY
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom