Kwa sisi wazee wa imani . ukisoma Yoshua 23: 12- 13. wana wa israel waliambiwa na joshua . wasirudi nyuma ,wasonge mbele kuwaondoa wale wana wa kanaani wote . wakiwaacha itakuwa mtego na kitanzi kwao .
Hoja yangu ni kuwa kwa kuwa wao waliamua kummaliza lissu na ikashindikana . sasa hii imekuwa...