utawala

  1. J

    Ushirikishwaji wa wananchi ni Msingi wa Utawala bora

    Ushirikiahwaji ni moja ya misingi ya Utawala bora hii ina maana kuwahusisha wananchi wa jinsia zote na makundi yote katika kupanga na kufanya maamuzi ya mambo yanayowahusu. Ushirikishwaji unaweza kuwa wa moja kwa moja au kupitia wawakilishi waliochaguliwa na wananchi. Mfano kuimarisha...
  2. J

    Umuhimu wa ushiriki wa Wananchi kwenye kujenga utawala bora

    Ushiriki wa kila mtu, wanaume na wanawake katika maamuzi inapelekea Serikali kufanya kazi kwa matakwa ya wengi. Husaidia kujenga uhuru wa kuzungumza pamoja na ushiriki katika ujenzi wa Taifa. Wananchi wanatakiwa kushirikishwa katika maamuzi ya Serikali na kupewa taarifa za mwendelezo wa...
  3. J

    Uwazi ni Kanuni muhimu ya Utawala bora

    Wananchi kuhusishwa katika maamuzi ya Kiserikali husaidia kuwajengea uwezo wa kuchukua jukumu katika uundaji wa Sera nzuri na utekelezaji kwa maendeleo ya nchi.
  4. M

    Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

    Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao (hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi. Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa Rais Samia tafadhali hakikisha...
  5. J

    Makinikia kusafirishwa nje ya nchi iliruhusiwa utawala wa Hayati Magufuli, Rais Samia analaumiwa bure

    Kumekuwa na mshtuko watu kusikia makinikia kusafirishwa nje ya nchi wakati msimamo wa awali ilikuwa kujengwe kinu hapa nchini na watu kumlaumu Samia kuwa kaharibu, lakini Magufuli ndio aliingia makubaliano mapya na Barrick na makubaliano hayo hayawalazimishi kuchenjua makinikia hapa nchini...
  6. Lord OSAGYEFO

    Najiuliza kama Spika aliapa kuilinda na kuitetea Katiba, kwanini anaivunja?

    WADAU Nawasalimu. Hakika Kati ya Vitu ambavyo Hayati BABA wa TAIFA alivisimamia na Kuvisemea Muda wote na Kwa Nguvu zake zote ni KATIBA ya NCHI. Hayati BABA Wa TAIFA alikuwa Anasisitiza VIONGOZI wote WALIOAPA Kuitii, Kuiheshimu na Kuitetea KATIBA. Katika UTAWALA wa AWAMU ya PILI kulikuwa na...
  7. T

    Uchambuzi Kitabu cha Mwinyi: Sitawasahau Maalim Seif, Mrema na Mtikila katika utawala wangu

    Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ametaja baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani waliompa shida katika utawala wake akiwamo Katibu mkuu wa zamani wa CUF na baadaye mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad. Wengine ni Mwenyekiti wa TLP, Augustine...
  8. Kipenzi Changu

    Utawala wa Rais Samia umetia aibu kubwa sana,usipewe msamaha

    KITENDO cha kuahirishwa kwa pambano la Simba na Yanga lililokuwa lichezwe jana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, kumewafanya wadau wa soka kucharuka na kudai ni aibu kubwa kwa soka la Tanzania, kwa mechi kuahirishwa kienyeji kwa sababu za kisiasa, huku wengine wakisema kuna kitu nyuma ya...
  9. Sky Eclat

    Mauwaji ya Wakatoliki chini ya utawala wa Mfalme Henry VIII, Edward I na Elizabeth I

    Catholic persecution in the reigns of Henry VIII, Edward VI and Elizabeth I: By: Elenah Zwiegers Without doubt, the Tudor monarch most associated with religious persecution is Queen Mary I. Popularly bestowed upon Mary, is the epithet “Bloody Mary”, a reputation which I feel is unfair (as...
  10. J

    Nini maana ya Uwajibikaji kama msingi wa Utawala Bora?

    Uwajibikaji ni hali ya kiongozi na mtendaji kuwa tayari kujibu, kubeba dhamana na kutoa maelezo kwa wananchi juu ya maamuzi au matendo aliyoyafanya katika kutekeleza dhamana aliyopewa. JE, KATIBA INASEMAJE? Kwa mujibu wa Ibara ya 8 (1) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977...
  11. Zanzibar-ASP

    Huenda adui Mkuu wa utawala wa Rais Samia akawa ni Spika Ndugai?

    Nimeona niliandike hili sasa hapa JF na kwa uwazi ili kutoa angalizo mapema kwa mwelekeo wa siasa za Tanzania huko tuendako. Watanzania kwa sasa wametega macho na masikio kuona ni namna gani Rais mpya wa Tanzania, mama Samia Suluhu anaweza kuivusha Tanzania inayopitia kwenye mikwamo mikubwa wa...
  12. beth

    Maandamano ya kupinga utawala wa kijeshi yaibuka Chad

    Maandamano yameibuka Nchini Chad ambapo Waandamanaji wanataka Utawala wa Kiraia kurejeshwa baada ya Jeshi kuchukua madaraka kufuatia kifo cha Rais Idriss Deby. Imeripotiwa watu wawili wamepoteza maisha katika maandamano hayo. Msemaji wa Baraza la Jeshi amesema amesema Vikosi vya Usalama...
  13. B

    Wazee wa CCM wanasema, Mhe Rais tunakupa chama ila tambua ukiangaika na walioaribu utawala uliopita utaleta matabaka, wasamehe.

    Nikijadiliana na wazee wa chama Tawala wenye ushawishi ndani ya chama na serikali kuhusu hatma ya chama nadhtushwa na mawazo yao japo yapo sahihi. Wanasema kisiasa endapo Rais na Mwenyekiti wa Chama ataamua kwa dhati kuisafisha serikali atambue atakuwa ameamua kuiua ccm. Wazee Hawa wanasema...
  14. Crimea

    Frederick Sumaye: Magufuli anatekeleza sera za CHADEMA

    Hawa ndio wapinzani bwana! Wakati wapinzani wakikesha mitandaoni kumchafua na kumkejeli Magufuli, kiongozi wa ngazi za juu wa CHADEMA ameibuka na kusema anayoyafanya Magufuli ni sera za CHADEMA! Sasa sijui nae ataitwa msaliti? Maana yule ndio mwenye chama hasa.
  15. Binti Abdullah

    Sarafu za malipo ya ngono enzi za Utawala wa Warumi

    Sarafu hizi zilitumika enzi za utawala wa dola ya rumi,na hasa zilitumika katika malipo ya ngono na ulilipwa tokana na aina ya mtindo uliotumia katika uasherati.Mfano mzuri ukitazama katika movie ya SPartacus. Because they show exactly what they were ment for - to pay a prostitute. Those coins...
  16. Mzalendo2015

    Kwa Utawala huu wa Spika Ndugai, Bunge linazidi kupoteza mwelekeo

    Moja kwa moja kwene hoja. Kile kinachoendelea Bungeni kwa sasa baada ya kifo cha Hayati Magufuli ni aibu tupu. Utawala(siyo Uongozi) wa Spika Ndugai unazidi kuliaibisha na kushusha hadhi ya Bunge la JMT. Nitaeleza: Kile ambacho Watz walikuwa wanakiona wakti wa uhai wa Hayati kwamba alikuwa...
  17. Replica

    Askofu Gwajima: Tanzania inashindwa kuendelea mbele kutokana na kutokuwa na muendelezo wa utawala mmoja kwenda mwingine

    Mbunge wa Jimbo la Kawe Josephat Gwajima akitoa mchango kuhusu hotuba iliyotolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema nchi nyingi za Kiafrika zimekuwa haziendelei kwa kasi ya maendeleo kutokana na kushindwa kutumia rasimali kwani inaendana na 'manpower'. Pia ameeleza kuwa Tanzania...
  18. warumi

    Tofauti ya Utawala wa Hayati Rais Magufuli na Rais Samia

    Uhuru naona umezidi sana, na siku zote uhuru ukizidi sana Adabu hupungua, naona viongozi wengi sasa hivi wanajitutumua kila mtu anajionyesha yeye ndio yeye wakati kipindi cha Magufuli hawakua hivyo. Sijui ndio wanaita freedom of speech ila Naona hii freedom itatupeleka pabaya sana kama nchi...
  19. Yoda

    Mafunzo makuu matano kutoka utawala wa Hayati Magufuli

    1. Katiba imara na taasisi imara peke yake ndio zinaweza kuwa ukuta na vizingiti kati ya demokrasia na uimla. Sio nia njema, mazoea, mila wala tamaduni za kisiasa zinazoweza kuhakikisha uhuru stahiki wa wananchi. 2. Sio wafanyabiashara tu ambao ni wasaka fursa bali asilimia 90 ya binadamu wote...
Back
Top Bottom