Utawala wa Hayati Dkt. Magufuli ulijaa kiburi, majigambo na uonevu, ufitinishi na visasi

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,405
30,908
Huo ndio mtazamo wangu ukiniuliza juu ya utawala wa HayatiMagufuli.

Kaburi kilikuwa kikubwa aliogopewa na kila kiumbe Cha Tanzania alizungumzwa sirini watu waliogopa hata kuta za nyumba zao wakihisi magufuli atakuwa anawasikia.

Ufitinishi wa kina Cyprian Musiba ulifikia kiwango cha kutisha, Musiba aliweza kumfitini yeyote na wakati wowote bila woga akijua kwamba genge lao ndio lenye sheria na bosi wao ndio sheria yenyewe aliamua nani atoweshwe nani akirimiwe.

Kina Makonda waliishi kama miungu watu, kina Polepole walijirekodi mpaka video wakicheza kwa kejeli kwenye mazulia mekundu kwenye majumba ya Serikali sisi wengine tulikaa kimya tukiamini mpanda ngazi hushuka.

Spika alimnyanyasa Lissu kama jambazi yaani Lissu alilia akanyamaza Mungu wake alimfuta machozi na nyie kina Ndugai mliyekuwa mnamtetemekea kafa sasa anaitwa mwendazake subirini na nyie mlipe yale mliyoyafanya enzi zenu mkiwa miungu watu.

Mama Samia Suluhu Hassan jitenge kabisa na hawa watu

Polepole
Cyprian Musiba
Bashiru Ally
Makonda
Ayoub Ryoba - Mkurugenzi wa TBC

Nk

Imeandikwa amelaaniwa amtegemeae binadamu.
 
Huo ndio mtazamo wangu ukiniuliza juu ya utawala wa marehemu Magufuli.

Kaburi kilikuwa kikubwa aliogopewa na kila kiumbe Cha Tanzania alizungumzwa sirini watu waliogopa hata kuta za nyumba zao wakihisi magufuli atakuwa anawasikia.

Ufitinishi wa kina cyprian musiba ulifikia kiwango Cha kutisha musiba aliweza kumfitini yeyote na wakati wowote bila woga akijua kwamba genge lao ndio lenye sheria na bosi wao ndio sheria yenyewe aliamua Nani atoweshwe Nani akirimiwe.

Kina makonda waliishi Kama miungu watu kina polepole walijirekodi mpaka video wakicheza kwa kejeli kwenye mazulia mekundu kwenye majumba ya serikali sisi wengine tulikaa kimya tukiamini mpanda ngazi hushuka.

Leo hii kiburi kimeisha polepole na makonda plus bashiru wanaongea huku mikono ikiwa kwenye korodani zao.

Spika alimnyanyasa Lissu Kama jambazi Yani Lissu alilia akanyamaza Mungu wake alimfuta machozi na nyie kina ndugai mliekuwa mnamtetemekea kafa sasa anaitwa mwendazake subirini na nyie mlipe yale mliyoyafanya enzi zenu mkiwa miungu watu.

Mama Samia Suluhu Hassan jitenge kabisa na hawa watu

Polepole
Cyprian Musiba
Bashiru Ally
Makonda
Ayoub Ryoba
Mkurugenzi wa TBC

Nk

Imeandikwa amelaaniwa amtegemeae binadamu.
 
Asilimia kubwa ya Watanzania waliona mema yake, Binafsi namshukuru Allah kwa kumleta Magufuli kaniachia funzo kuwa nikiamua naweza.

Watu aina ha Magufuli ua ni wachache sana, kwangu alikuwa Rais bora kuwahi kuona.

Pumzika Salama JPM.
 
Hakuna kama Magufuli
Kabisa hakuna kama yeye.
20210328_185237.jpg
 
Asilimia kubwa ya Watanzania waliona mema yake, Binafsi namshukuru Allah kwa kumleta Magufuli kaniachia funzo kuwa nikiamua naweza.

Watu aina ha Magufuli ua ni wachache sana, kwangu alikuwa Rais bora kuwahi kuona.

Pumzika Salama JPM.
Mwendazake alikuwa rais mbaya kuwahi kutokea tanzania na aliowalinda ndio walimwangusha zaidi video za kina musiba akifitinisha watu unazikumbuka? Eti musiba alijiita mwanaharakati wa Magufuli pumbaaaav kabisa .
 
Back
Top Bottom