Hamas yavunja utawala wake Gaza

Hamas yavunja utawala wake Gaza

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
23,418
Reaction score
35,421
Kundi la Hamas limetangaza kuvunja serikali yake ya utawala wa Gaza ili kupisha kamati ya wataalamu wa Kipalestina itakayosimamia shughuli za kiraia katika Ukanda wa Gaza. Hatua hiyo ni sehemu ya mpango wa mpito uliokubaliwa katika mazungumzo ya kusitisha mapigano.

Swali: Nani aliwapa Hamas ushauri wa kuishambulia Israeli?. Leo wamepoyeza udhibiti
 
Yahudi mweusi mbona unaleta habari nusu nusu😂

Hamas inasema haitaondoa silaha hadi Israeli itakapojiondoa kikamilifu kutoka kwa 53% ya Gaza ambayo bado inaimiliki na utawala wa Palestina utakapokuwepo.
 
Mimi naongelea utawala wa Hamas. Silaha watajua wenyewe. Halafu Israel inashikilia asilimia 63 ya eneo la Gaza.
 
Kundi la Hamas limetangaza kuvunja serikali yake ya utawala wa Gaza ili kupisha kamati ya wataalamu wa Kipalestina itakayosimamia shughuli za kiraia katika Ukanda wa Gaza. Hatua hiyo ni sehemu ya mpango wa mpito uliokubaliwa katika mazungumzo ya kusitisha mapigano.

Swali: Nani aliwapa Hamas ushauri wa kuishambulia Israeli?. Leo wamepoyeza udhibiti
Walicheza kete mbaya sana.
 
Hawataki Tena kuvamia Israel, kuuwa Mayahudi na Kuwateka ili wafurahie maisha ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom