Haiwezekani mtanzania kupata huduma ya kulala kwenye nyumba ya wageni lazima awe na NIDA tofauti na hapo inahesabika mhalifu. Haiwezekani mikutano ya kisiasa inazuiliwa tena na waziri wa mambo ya ndani bila kutoa sababu za msingi.
Tangazeni hali ya hatari ili tujue tunabanana vipi maana maisha...
Kwa wale mliofanikiwa kuongea na wazee wa Ki-zanzibar walioishi chini ya Utawala wa Sultan wanauzungumziaje huo utawala?
Nikiitazama Oman nahisi inawezekana tumelishwa matangopori sana kuhusu utawala wa Waarabu wa Oman wa Kisultani huko Zanzibar kwa sababu hata maendeleo chini ya Sultan...
KERO
Mimi kama mzazi na mdau wa elimu shule ya sekondari mchungaji mwema iliyoko chini ya dayosisi ya Kagera nakelwa na mambo kama haya
1. Walimu KUNYIMWA MKATABA ambao ni silaha ya kulinda ajira yao Kwa mujibu wa SHERIA.
2. Mishahara ya kusuasua Kwa WAFANYAKAZI na kulipwa kinyume na SHERIA...
Anonymous
Thread
changamoto
mchungaji
mishahara
mwema
sekondari
utawala
walimu
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi...
Inawezekana kizazi chake kilikuwepo Zanzibar na ndio kinaendelea kufanya haya kwa taswira ya znz inaonyesha kulikuwa na waganda wengi mpaka kuwepo mapinduzi.
Tuje kwenye mada sasa.
Ukifatilia matendo ya idd amin ni yale yale kama hapa.
Kuna kipindi alitaka kuwa rafiki mzuri wa urusi.
ukuangalia...
Jordan ina watu 11m. Tanzania 65m.
Ukubwa wa Jordan ni kilomita za eneo 80, 000 na kidogo. Tanzania ni kilomita za eneo 950,000. Jordan inaingia kama mara 12 kwa tz.
Mto pekee Jordan ni mto Jordan wanaoshare na Israel. Ni nchi kame. Maji wanategemea ya visima. Hawana ardhi ya kulima. Tanzania...
Wana jamvi, naomba mnisaidie tofauti ya CCM na makaburu walau kwa mambo yafuatayo;
1. Ni jambo gani baya sana mkoloni mweupe alitufanyia watanganyika ambalo CCM hajatufanyia?
2. Ni mambo gani mazuri CCM inafanya ambayo mkoloni alishindwa kutufanyia mpaka ikatubidi kumfukuza?
Binafsi maswali haya...
LHRC: KUREJEA KWA KASI KWA MATUKIO YA UTEKAJI NI TISHIO KWA UHURU WA RAIA NA UTAWALA WA SHERIA NCHINI
Tarehe 22 Mei 2026, Dar es Salaam
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kupinga vikali kurejea kwa kasi matukio yenye sura ya utekaji nchini. Katika siku za hivi karibuni...
Matajiri wote wanaopigania demokrasia maana yake wawe na uhuru wa kupanga bei za bidhaa bila hata kuangalia mnyororo wa udhalishaji. Moja wapo ya njia hizo ni kutengeneza cartels. Matajiri wanakubalia bei ya soko ili kusiwe na ushindani makampuni ya mtandao ya simu ni mfano mzuri.
Nimezungumza humu JF kuhusu Serikali kupiga Marufuku Dini. Basis kubwa ya dai hilo ni Unabii wa Biblia tafadhali soma Ufunuo Sura 17. Sura hiyo kwa lugha ya mfano inamtambulisha mwanamke kahaba na pia inamtaja kuwa ni Babilon Mkuu (kitovu cha mafundisho ya uongo yanayokinzana na Mungu).
Ingawa...
Tanzania imekuwa mfano wa kuigwa barani Afrika kwa kuwa na umoja wa kitaifa unaovuka mipaka ya makabila zaidi ya 120. Hata hivyo, hivi karibuni kumeanza kujitokeza viashiria vya hatari ambapo baadhi ya wanasiasa wenye madaraka wanatumia nafasi zao kujenga mtandao wa upendeleo unaozingatia asili...
Utawala wa Kiislamu nchini Iran leo umemnyonga Mwanamieleka (wrestler) wa miaka 19 aitwaye Saleh Mohammadi ambaye alikua mpingaji wa wazi wa utawala huo, pia alikua akihamasisha maandamano kupinga utawala huo.
Iran imetekeleza hukumu ya kifo kwa wanaume watatu siku ya Alhamisi baada ya kutiwa...
Uthabiti wa kimfumo na kiutawala ndani ya serikali ya jamuhuri ya Iran. Uthabiti huo utawawia vigumu mno Marekani na mshirika wake Isarael kubadili kabisa utawala wa sharia za kiislam unaotumika na kuimpose utawala wa kidemokrasia. Ili kufanikisha hilo, ni sharti kwanza pawepo na vikosi vya...
ardhini
bila
imara
iran
irani
israel
kidini
kubadili
kutoka
kutokana
kuweka
marekani
marekani na israel
mfumo
mfumo wa utawala
ndani
sharia
utawala
vikosi
Kwanini wanawake na mademu wa Sasa wanapenda utawala na 50/50 muda huo wanataka kuhudumiwa
Nini maana ya 50/50 utamtawalaje mtu ambaye unataka akuhudumie
Yaani mwanamke anataka mpaka pesa ya pedi lakini muda huo huo anataka urudi mapema nyumbani
Shame!!
Bunge kama la Tanzania huwa na maana pale nchi inapokuwa ni ya kidemokrasia na mihimili mitatu ya utawala iko huru.
Unapokuwa na mfumo wa utawala ambao serikali inaloamua ndilo linakuwa huku bunge likiwepo kugonga muhuri tu bila kuwa na uwezo wa kuiwajibisha serikali kunakuwa hakuna sababu ya...
Bahati mbaya kwakuwa sasa maendeleo aliyoyafanya Samia yako wazi kabisa wanaomtukuza Magufuli wanaishia tu kusema angekuwa hai mpaka sasa tungekuwa mbali sana.
Ahahaha 😂 😂 😂 😂
Huu ni uwendawazimu kabisa.
Ukimchallenge kidogo tu anaweza kukupiga kirungu kichwani. Jamaa mmoja kutoka Kanda ya...
Wangapi wanajua kuwa leo ni siku ya sheria?
Wachache maana hakuna mvuto kwa vile hapa tunaishi bila sheria. Sheria ni Samia, Mafwele, Mulilo na watu wao!
Tafiteni historian mzuri, actually awe historian wa chama. Aweke rekodi madhubuti ya madhura mnayopitia.
Kwa.mfsno, mna.list ya watu waliouawa na ccm / serikali wakipigania uhuru wa TANGANYIKA?
2. Matendo ya ukatili mliopitia
3. Historia ya chaguzi mlizopitia
4. Kufungwa jela mlikopitia
5. Etc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.