utawala

  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wito rasmi kwa Marekani(USA)na Jumuiya ya Ulaya (EU): Hii ndo namna pekee mnaweza kutusaidia Watanzania dhidi ya Utawala mbovu wa CCM.

    Nawaandikia Marekani, Umoja wa Ulaya, Uingereza na Canada. Kama sehemu ya mamilioni ya Watanzania tunaodhulumiwa haki zetu za Utawala huu mbovu wa CCM napenda kwanza kuwashukuru sana Marekani na Nchi zote za Jumuiya ya Ulaya na Mataifa mengine ya Magharibi kama Uingereza na Canada kwa namna...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa kiwango cha Upumbavu kilichopo kwa wana CCM sasa, ni lazima litokee jambo zito dhidi yao kuwafanya Wajifunze maana ya Utawala Bora.

    Nimetoka kuangalia video fupi ya ugomvi baina ya Mbunge Msukuma na Mtu aliyeelezewa kama Muwekezaji. Katika video ile ukimsikiliza kwa makini msukuma na yale mazungumzo yake na yule anayeitwa muwekezaji utaelewa mambo yafuatayo; 1. Msukuma anaamini yeye ni sehemu ya Serikali na Serikali ndo...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Siku za utawala wa Ayatollah huko iran zinahesabika

    Baada ya utawala w Ayatollah Ali Khamenei kuua waandamanaji zaidi ya 16,000 utawala huo unabidi uanze kutia maji kichwani tayari kuanza kunyolewa wiki hii au wiki chache zinazokuja. Utawala huo lazima ushambuliwe maana umejaa damu katika mikono yake. Kulikuwa na mazungumzo mengi kuhusu...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Waajemi wanakaribia kujikomboa kutoka utawala wa wahuni wa Kiarabu

    Wakati waandamanaji wakijitokeza mitaani kila usiku nchini Iran, viongozi kutoka maeneo mbalimbali duniani wanakutana na hali ya kutokujua ikiwa Jamhuri ya Kiislamu inaweza kuangushwa — tukio muhimu ambalo litabadilisha siasa za kimataifa na masoko ya nishati. Utawala wa Kiongozi Mkuu Ayatollah...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tumshukuru Mungu mpaka sasa CCM imepasuka. Wanaopinga huu utawala ni wengi

    Mpaka warudi kuwa na umoja kama enzi zile itachukuwa muda sana. Kundi linalopinga rais Samia kupitishwa kugombea na msaafu Kikwete ni kubwa. Na hilo ndio mpaka sasa halikubali huu uongozi uliopo madarakani. Wanajifanya wapo kimya. Ila chini kwa chini hawamtaki mkuu aliyepo. Hii inaipa nguvu...
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tukubali utawala wetu umeshindwa, umetuangusha, umejiangusha na kutia aibu

    Kwa yaliyotokea Tanzania mwaka jana ambapo, kwa mara ya pilli, watawala wetu wachovu na hovyo waliua watu wetu tokana na maandamano ya Oktaba 29 na kinachoendelea kwa sasa, ni dhahiri utawala wetu umechoka, umeshindwa, na hata kufulia. Umejaribu kutulisha udini uchwara na kushindwa. Umejaribu...
  7. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Haki Huinua Taifa...na Utawala wa Samia...

    Mwandishi wa Mithali inasema hivi: Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu ya watu wote (14:34). Msemo huu ukiuangalia kwa haraka unaweza kukosa kuelewa una maana gani. Ila ukiangalia kwa karibu unaweza kuona ni kwanini "haki huinua taifa". Nimeandika hivi majuzi nikiendeleza tafakari iliyofanywa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je kuwaonea wivu Venezuela ni sawa! Utawala wao kama wetu tu

    Je kuwaonea wivu Venezuela ni sawa! Utawala wao kama wetu tu? Mimi ni bora tungekuwa kama Venezuela na kujenga nchi upya ya kidemokrasia kuliko kutawaliwa na watu kama tulionao na udikiteta wa kijinga jinga. Wizi na ufisadi , udini uliojaa , uzanzibari na ubara , utekaji na wizi wa kura. Ni...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Jinsi Marekani ilivyosaidia kuondoa utawala wa marais kadhaa duniani na mafanikio iliyoleta katika nchi hizo

  10. O

    JamiiForums Tanzania Je, Utawala wa Samia Unaielekeza Tanganyika Kwenye Njia Hatarishi Inayofanana na Mauaji ya Halaiki ya Darfur?

    Sudan inakabiliwa na moja ya majanga mabaya zaidi ya kibinadamu duniani. Tangu Aprili 2023, zaidi ya watu 400,000 wameripotiwa kuuawa na takribani watu milioni 12 wamekimbia makazi yao. Kikosi cha Rapid Support Forces (RSF) kimeshutumiwa vikali kwa mauaji ya kimfumo dhidi ya raia wa makabila...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hadi Sasa utawala wa Kiislamu katika nchi ya Irani umeanguka kwa asilimia 75%. Tanzania tutafanya kama wairani

    Ndugu watanzania, najua mnafuatilia kwa karibu kinachoendelea Irani. Waandamanaji wameshakamata maeneo muhimu ya utawala wa kiislamu wa Irani mfano. Vituo vikuu(headquaters) vya polisi, airport na sehemu nyingine nyeti karibia miji yote ya Irani. Khomenei ameukimbia mji mkuu wa Irani(Tehran)...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi

    Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi. Wizi wa uchaguzi ni mapinduzi pia, sio tu jeshi lipundue na kushika madaraka jeshi linaweza kusupport mwanasiasa kufanya mapinduzi na kumpa madaraka kinyume cha sheria hata kwa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Maridhiano yatafanyika baada ya wauaji kuwajibishwa, yatakuwa Maridhiano ya kuhakikisha hakuna utawala shetani utakuja tena

    Huwezi kuua watu, miili ya watu umetupa porini, mingine umefukia makaburi ya halaiki, unaendelea kuteka na kuwabambikia watu kesi, halafu ukasema unataka maridhiano!! Ni upuuzi wa hali ya juu. Mauaji ya kiharamia yaliyofanywa na kmkm wa Zanzibar, polisi na UvCCM, hayahitaji maridhiano...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Utawala wa JPM umeleta matunda haya kwa kufungia maduka ya kubadilisha pesa

    Kuna kitu kinaitwa catalyst kwa kikemia sawa na mfano wa viuongo vinavyafanya haraka kuchochea kitu kiwe tayari kwa matumizi,mfano vitunguu swahumu na tangawizi kwenye mishikaki. Sasa kwa utawala uliyopita magufuri ndio chanzo ya yote haya kuanzia utekaji,kubaka uchaguzi,kuua vyama vya...
  15. Emekha Ikhe

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Thadey Kweka: Utawala wa sheria, hauruhusu vyombo vya uchunguzi na mahakama, kuvunja haki za kikatiba na sheria, katika utoaji hukumu zake

    Nimesoma HUKUMU ya Kesi ya THADEY KWEKA ambayo imetolewa jana kinyemela hata bila yeye mwenyewe kujitetea au kutetewa na Mawakili wake tangu kukamatwa kwake, Ninasikitika Kuona kwamba hata Mahakama kupitia Hakimu imejielekeza Vibaya Kutoa HUKUMU husika Raia Wanategemea Mahakama itende Haki na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Utofauti wa Maandamano ya Sasa huko Iran, na Maandamano yaliyotangulia dhidi ya Utawala wa Kiayatollah?

    Baada ya Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, Utawala wa Kiayatollah umekumbwa na maandamano mwaka 1999, 2009-2010; 2017-2018; 2019 na 2022-2023. Katika maandamano hayo yote sababu kubwa zimekuwa madai ya Haki za Msingi kwa Wananchi na Mabadiliko ya Mfumo wa Kisiasa. Kwa sehemu kubwa maandamano hayo...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Maaskofu, Mapadre, Hawatayumbishwa na Waumini Kama Ludovivk, Walioamua Kumtumikia Shetani

    Jambo lililo dhahiri, na kwa mafundisho ya kiimani, shetani huwatumia wanadamu kufanikidha malengo yake. Sio wote waliopo makanisani au waimbao Bwana Bwana, au wenye majina ya Kikristo, ni waumini na wafuasi wa Kristo na Kanisa. Wengine wapo makanisani kwaajili ya kulivuruga na hata kuliangamiza...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo dume, chuki wivu na udini ni baadhi ya sababu kwa watu kueneza chuki dhidi ya utawala wa awamu ya sita

    Binafsi sioni kama Rais Samia ana makosa ambayo yeye ndiye Rais wa kwanza kuyafanya, Kama ni mambo ya kutekwa yalikwepo toka enzi ya Dr Ulimboka Kama ni uchaguzi wenye udanganyifu ccm haijawahi kushinda bila wizi ndiyo tabia yake Ufisadi upo toka kipindi cha nyerere Maisha magumu toka...
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wanaotetea huu utawala hauyumkiniki ni miongoni mwa waliobeba silaha na kuua raia Okt 29+

    Nyie wote ni mashahidi namna ambavyo humu jukwaani kumejaa hoja za kutetea utekaji, mateso, ufiraji na hata mauaji yanayotekelezwa dhidi ya raia wa Tsnanzania. Mmeshuhudia namna wanavyojenga hoja za chuki dhidi ya wakosoaji na watoa maoni mbadala kwa Viongozi (waliohaini Oktoba 29) Wanajua...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu ya utawala mbaya wa CCM kila atakayefurahi Taifa stars ikifungwa weka comment hapa

    Utekaji, uuaji na ufisadi unaokwamisha maendeleo ya nchi yetu yameifanya tuichukie CCM. Taifa Stars wapigwe tu Wapigwe tu
Back
Top Bottom