utata

Utata (Russian: Утата) is a rural locality (an ulus) in Zakamensky District, Republic of Buryatia, Russia. The population was 653 as of 2010. There are 10 streets.

View More On Wikipedia.org
  1. Ubalozi wa Marekani wahoji utata wa kifo cha kijana wa Ki-Tanzania nchini Urusi

    Ubalozi wa Marekani kupitia taarifa waliyoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, Wamehoji juu ya utata wa kifo cha kijana wa raia wa Tqnzania aliyefariki akipigana vita Urusi. Ubalozi huo umehoji pia kama Urusi inawalazimisha wafungwa wenye asili ya Afrika kupigana vita yake na Ukraine.
  2. Kifo kingine chenye utata kwa tajiri wa Urusi Pavel Antov

    Paavel Antov tajiri katika baishara ya Sausage amekufa kifo cha utata akiwa nchini India, inasemekana kifo chake kilitanguliwa na kifo cha rafiki yake. Chakushangaza ni kuwa wote wawili miili yao ilichomwa moto na hivyo wajuaje wa mambo wanashanaa kwanini miili yao ilichomwa moto ilihali wao ni...
  3. Tetesi: Utata kifo cha Mchungaji Mnigeria 'pusha' anaedaiwa kufa Segerea

    Ni bwana Oezeama kama sikosei. Mwamba huyo ni Mchungaji lakini 2019 alikamatwa kwa tuhuma za kukutwa na zaidi ya kilo 20 za unga wa cocaine na pamoja naye pia walikamatwa wazungu wawili aliokutwa nao. Inasemekana bwana yule kafia Gerezani Segerea kwa shinikizo la damu. Duru za eneo lile...
  4. Leo namaliza rasmi Utata wa Manzoki kuja Kuichezea Simba SC Dirisha hili Dogo

    Wana Simba SC Wenzangu kuanzia leo anzeni Kumsahau na kuachana nae kabisa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki kwa nina Uhakika wa 100% na najiamini kabisa kuwa hatokuja tena Kuichezea Simba SC hasa kwa Dirisha hili Dogo labda itokee tu kwa Msimu ujao. Hivyo basi niwaombe Mwenyekiti wa Bodi ya Simba...
  5. J

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Sheria TFF amaliza utata: Asema Fei Toto amekosea, mkataba hauvunjwi kienyeji vile

  6. Utata kuhusu kifo cha mwanafunzi aliyedaiwa kupigwa na mwalimu

    Utata umeibuka kufuatia kifo cha mwanafunzi wa shule ya sekondari Sabasaba, baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara kutoa taarifa iliyoonyesha kuwa kifo cha mwanafunzi huyo kilitokana na ugonjwa saratani ya damu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 22, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  7. Maswali yenye Utata Kifo cha Balozi C. Mushi. Nini kipo nyuma yake?

    KUTOKA KWA MALISA GJ Nimejiuliza maswali kadhaa nikakosa majibu; 1. Balozi Mushi alikua anajiendesha mwenyewe? Tena usiku wa manane? Protocal za kidiplomasia zinasemaje, Balozi anapokua na safari binafsi? Je alikua peke yake? 2. Kama ajali ni uso kwa uso means lori lilikua linatoka ielekeo wa...
  8. Utata wa Mabehewa 'Mapya' ya SGR yaliyowasili ulishamalizwa kitambo na Rais Samia, msiwe na shaka hatujapigwa!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Dunia nzima, issues za Afya, Elimu, Maji, Umeme, Gesi, Usafiri na Usafirishaji ni issues zenye maslahi makubwa sana kwa taifa, hivyo leo tunaendelea na ile issue ya mabehewa yetu yaliyowasili hivi...
  9. Rais Ruto akataa Scotland Yard kusaidia uchunguzi mauaji yenye utata

    Ni majibu ya Rais William Ruto kwa Raila Odinga aliyetaka wapelelezi hao kuchunguza mauaji ya aliyekuwa Meneja wa Mifumo ya TEHAMA wa Tume ya Uchaguzi IEBC mwaka 2017. Ruto amesema "Hatuhitaji ushauri kutoka Scotland Yard kuondoa na kuvunja vitengo vya mauaji katika jeshi letu la polisi...
  10. Idadi ya wanaofeli Law School of Tanzania yazua utata

    Idadi iyo ni sawa na 4.1% pekee kati ya wote waliofanya mtihani, huku wengine 484 wakitakiwa kurudia mtihani na 265 wakiondolewa kabisa baada ya kufeli. Hali hiyo imefanya Wanasheria na wadau wengine kutaka iundwe Tume ya kuchunguza sababu akiwemo Jaji wa Mahakama Kuu Gabriel Malata aliyesema...
  11. Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

    Wakuu kuna habari mbaya Huko Tabata-Dar Es Salaam. Anasimulia Ndugu wa Marehemu. Piariz Charles Hizza ni mdogo wangu, alikuwaga humu Friends of Solo Mnamunga kipindi fulani simu yake ilipopata matatizo akatoka sikukumbuka kumrudisha tena. Leo mida ya mchana nikapokea simu nikaambiwa dogo...
  12. Dar: Utata vifo vya vijana watatu, kuna nini vituo vya polisi?

    Utasikia mtuhumiwa alijinyonga. Utasikia alikimbia na pingu akapigwa risasi. Utasikia alitii bila shuruti... Sasa hawa nao ilikuwaje? 👇
  13. Utata wa maelezo juu ya kifo cha Katibu na motive ya Mkandamizaji

    Wadau, leo kumesambaa taarifa kwenye vyombo vya habari kutoka kwa kamanda wa polisi Muliro akielezea sababu za kujiua katibu wa Feel Free Church kutokana na uchunguzi wa awali. Maelezo ya kamanda yanapeleka kwenye hitimisho moja kuwa, Mama Mchungaji (Monica) na marehemu hawakuwa na mahusiano na...
  14. Kwanini mazishi ya Kiserikali ya Shinzo Abe yana utata?

    Wiki moja iliyopita, viongozi wakubwa wa kimataifa walikusanyika London kwa ajili ya mazishi ya kiserikali ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza. Sasa wengi wao wanaelekea upande wa pili wa dunia kwa mazishi mengine ya kiserikali ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan aliyeuawa, Shinzo Abe. Lakini...
  15. Waajiriwa mafunzo ya uchunguzi wakutwa na vyeti bandia

    Waajiriwa wapya 6 kati ya waajiriwa 553 wa mafunzo ya maafisa uchunguzi pamoja na maafisa uchunguzi wasaidizi wamekutwa na vyeti vyenye utata huku wawili 2 wakikutwa na vyeti vya kufoji Akizungumza wakati wa kutamatisha mafunzo hayo Mkurugenzi wa kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Hamduni...
  16. Utata baada ya Serikali kusitisha uwindaji kwa mwaka mzima

    Katika hali inayoonyesha vita vya kampuni za uwindaji nchini, Serikali imeingia katika lawama ya upotevu wa mapato na kuzisababishia hasara kampuni sita zilizoshinda zabuni ya uwindaji kwa wenyeji na wageni wakazi iliyoendeshwa Agosti, 2021. Taarifa ilizozipata Mwananchi zinaonyesha kampuni...
  17. N

    Mtatiro amaliza utata ishu ya Manara ya jana. Atoa ufafanuzi kisheria

    Huyu jamaa ni genius sana halafu si kala bachelor degree ya sheria juzijuzi tu? hii nchi ina wasomi wakali sana wa sheria
  18. Alfa na Alfu: Mapacha walio kufa kifo chenye utata jijini Dar Es Salaam

    Tukio hili limetokea Yombo jijini Dar Es Salaam siku mbili zilizopita. Inasemekana waliugulia tumbo na kupelekea mauti yao. Hakuna taarifa yoyote kama kuna uchunguzi wowote uliofanyika. Upo uwezekano mkubwa kwamba vijana hawa walinyweshwa sumu. Kama kuna waandishi humu ndani wafuatilie hilo...
  19. Rais wa Ukraine amuondoa balozi wao Ujerumani baada ya kauli yenye utata

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy amemuondoa Balozi wa taifa lake Nchini Ujerumani, Andriy Melnyk siku chache baada ya kutoa kauli yenye utata. Pamoja na kusema kuwa hayo ni mabadiliko ya kawaida lakini balozi wao wa Ujerumani hivi karibuni alinukuliwa akiishutumu Serikali ya taifa hilo kwa...
  20. Mionekano ya vijana wa kiume huko tiktok mbona ina utata sana

    Huu mtandao Nimeujua muda mrefu ila nilikuwa sijawahi kabisa kuingia kuna clip nyingi nilikuwa naona zinasambazwa kwenye mitandao mingine kiukweli kama mtu siku hiyo upo bored ukikutana na clip za tiktok zitakufanya ufurahi Sasa leo ndio nimepakua hiyo app nimeingia kwenye huo mtandao nimeona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…