John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,060
- 1,957
Habari wanajukwaa,
Leo naona tumalize utata wa nani zaidi kati ya viungo hawa wawili. Wote ni viungo wazuri, ila mmoja ana uwezo zaidi anapokuwa kulia na mwingine anapokuwa upande wa kushoto.
Kitakwimu za ufungaji wa magoli tofauti si kubwa sana katika idadi ya magoli. Ukija katika uwezo wa kumiliki mipira na kudrive Moloko ana uwezo binafsi wa kuwapita mabeki na si kutegemea kuwekewa mipira ya kupenya kama ilivyo kwa mwenzake.
Je, unawazungumziaje wachezaji hawa?