Mama yake Feisal Salum 'Fei Toto' Kamaliza Utata na Kutema Nyongo dhidi ya Yanga SC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,037
"Mwanangu Fei Toto Kanyanyasika sana, tumevumilia mengi, kuna mengine ya Siri tunayajua ila tunaomba Kamati itende Haki kwa Mwanangu Fei Toto. Wanafamilia wote tuko nyuma ya Feisal Salum Fei Toto juu ya hili Suala lake na Mimi kama Mama yake Mzazi nasema hapa yaje Maamuzi yoyote ila Mwanangu hatoichezea tena Yanga SC kwani Wamemnyanyasa na Kumdharau mno" amesema Mama yake Mzazi Feisal Salum ( Fei Toto ) leo Asubuhi akizungumza na EFM Radio katika Kipindi chao cha Michezo cha Sports Headquarters.

GENTAMYCINE ninachowapendea Wazanzibari ni tabia yao ya kuwa na Misimamo Kimaamuzi hata kama watapigiwa Simu za Vitisho na Wastaafu, Mdhamini na Viongozi wa Wizara, Bunge na Mikoa.

Kuanzia sasa hatutaki tena Kusikia Kelele za Wapuuzi na Washamba kuwa Fei Toto anarejea / atarejea Mafurikoni Madimbwini Jangwani kwani tayari Mama yake ameshaufunga Mjadala.
 
Hajamalza utata hapa anataka haki isitendeke kwa kisingizio Cha unyonge mfano mzuri juve amekatwa point kwasababu alichokua nalipa na kwenye mikataba inasoma havikua sawa sasa Fei na Yanga hatukatai alilipwa mshahara mdogo kuliko anao staili lakini huo ndio ulio kua unasoma kwenye mkataba na huo ndio serikali ilikua inakata Kodi hivyo hajamaliza utata wala nini
 
Hajamalza utata hapa anataka haki isitendeke kwa kisingizio Cha unyonge mfano mzuri juve amekatwa point kwasababu alichokua nalipa na kwenye mikataba inasoma havikua sawa sasa fei na yanga hatukatai alilipwa mshahara mdogo kuliko anao staili lakini huo ndio ulio kua unasoma kwenye mkataba na huo ndio serikali ilikua inakata Kodi hivyo hajamaliza utata wala nini
Mama yake ameshaamua endeleeni sasa Kudanganyana, kulishana Ujinga na Kupoteza muda.
 
"Mwanangu Fei Toto Kanyanyasika sana, tumevumilia mengi, kuna mengine ya Siri tunayajua ila tunaomba Kamati itende Haki kwa Mwanangu Fei Toto. Wanafamilia wote tuko nyuma ya Feisal Salum Fei Toto juu ya hili Suala lake na Mimi kama Mama yake Mzazi nasema hapa yaje Maamuzi yoyote ila Mwanangu hatoichezea tena Yanga SC kwani Wamemnyanyasa na Kumdharau mno" amesema Mama yake Mzazi Feisal Salum ( Fei Toto ) leo Asubuhi akizungumza na EFM Radio katika Kipindi chao cha Michezo cha Sports Headquarters.

GENTAMYCINE ninachowapendea Wazanzibari ni tabia yao ya kuwa na Misimamo Kimaamuzi hata kama watapigiwa Simu za Vitisho na Wastaafu, Mdhamini na Viongozi wa Wizara, Bunge na Mikoa.

Kuanzia sasa hatutaki tena Kusikia Kelele za Wapuuzi na Washamba kuwa Fei Toto anarejea / atarejea Mafurikoni Madimbwini Jangwani kwani tayari Mama yake ameshaufunga Mjadala.
IMG-20230302-WA0016.jpg
 
Leo wanasimba mnafurahia. Lakini kumbukeni huyu dogo anatengeneza precedent mbaya sana kama atashinda. Kesho wachezaji watakuwa wanajiondokea kiholela tu kwenye timu
Leo mtasema yote. Mama yake kamaliza Ubishi na Wazanzibari Kimaamuzi na Kimsimamo huwa hawarudi nyuma na hawatishwi na Mpuuzi yoyote yule hata kama ni Mstaafu au Mdhamini.
 
Unakula ugali na sukari

Alafu.

Unaweza kurudisha mil 112 kwa Yanga.
Unaweza kusafiri kwenda Dubai na kumlipa trainer binafsi.

Asee tusifanyane wajinga.
Shida watu wanaparamia tu af hakuna sehemu ya mkataba imesema fei asile ugali na sukari unajua duniani kila mtu anakitu chake chakijinga anapenda ko huwenda anapenda Ivo yeye ila sasa wehu ya simba ndo wamesimamia apo
 
Leo wanasimba mnafurahia. Lakini kumbukeni huyu dogo anatengeneza precedent mbaya sana kama atashinda. Kesho wachezaji watakuwa wanajiondokea kiholela tu kwenye timu
Mchezaji hawawezi kujiondokea kama kwenye mkataba hakuna kipengele kinachomruhusu kuvunja mkataba kwa kutoa kiasi fulani cha pesa.

Yaani mlimdharau Feisal hadi mkadhani hawezi pata milioni 100 za kuvunja mkataba.
 
Mke ukiwa mcharuko, mme atatafuta kwingine ambako atapewa heshma yake.

Unakula ugali na sukari

Alafu.

Unaweza kurudisha mil 112 kwa Yanga.
Unaweza kusafiri kwenda Dubai na kumlipa trainer binafsi.

Asee tusifanyane wajinga.
 
"Mwanangu Fei Toto Kanyanyasika sana, tumevumilia mengi, kuna mengine ya Siri tunayajua ila tunaomba Kamati itende Haki kwa Mwanangu Fei Toto. Wanafamilia wote tuko nyuma ya Feisal Salum Fei Toto juu ya hili Suala lake na Mimi kama Mama yake Mzazi nasema hapa yaje Maamuzi yoyote ila Mwanangu hatoichezea tena Yanga SC kwani Wamemnyanyasa na Kumdharau mno" amesema Mama yake Mzazi Feisal Salum ( Fei Toto ) leo Asubuhi akizungumza na EFM Radio katika Kipindi chao cha Michezo cha Sports Headquarters.

GENTAMYCINE ninachowapendea Wazanzibari ni tabia yao ya kuwa na Misimamo Kimaamuzi hata kama watapigiwa Simu za Vitisho na Wastaafu, Mdhamini na Viongozi wa Wizara, Bunge na Mikoa.

Kuanzia sasa hatutaki tena Kusikia Kelele za Wapuuzi na Washamba kuwa Fei Toto anarejea / atarejea Mafurikoni Madimbwini Jangwani kwani tayari Mama yake ameshaufunga Mjadala.
Huyo mama hajui anachoongea.Ni mawazo Yale Yale kutoka kwa watu walewale wapenda sifa bil kujua athari zake.Anatoaje msimamo wa atacheza wapi wakati hukumu hajaiona?
 
Back
Top Bottom