UTATA: Ufanye Kazi ambayo huipendi ila inakulipa sana au ufanye kazi unayopenda ila inakulipa wastani?

Beberu

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
3,945
7,947
(Eneo la salamu na utangulizi )

Mfano, ufanye kazi ya ukonda, kwa siku uweke mfukoni 30-50k kwa mwezi hio ni 900-1.5M ila huipend wala haikupi amani ya moyo (Yan kwa kifupi unaichukia kazi)

Au ufanye kazi yenye mshahara wa wastani ila inakupa amani na unaipenda, eg Ualimu hapo unachukua zako 500K kwa mwezi

Wewe binafsi unaprefer option ipi?
 
Mods mnakatwa 😂
Nani kawaambia mlete hii mada huku ? Hiv kwann msiwe mnatuuliza kwanza kwann tumeweka tulikoweka ?.
 
Back
Top Bottom