Malisa GJ: Mchanganuo wa Fedha za Simba na Yanga una utata

Dalton elijah

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
207
453
Mechi imeingiza 410M then mwenyeji anapewa 100M na ushee? Karibu 240M zimepotelea kwenye makato. Yani makato ni makubwa kuliko mtaji. Biashara kichaa.!

Hata mchanganuo haueleweki. Uwanja 47M, gharama za mechi 22M, ticket 22M. What the difference? Kama uwanja na ticket vimelipwa hizo gharama nyingine za mchezo ni zipi nyie vishohia?

Hiki ki-TFF cha Karia ni cha hovyo zaidi kuwahi kutokea tangu ikiitwa FAT. Bora hata enzi za Ndolanga na "wapigaji" wenzie kuliko hili genge la sasa.

Mwaka juzi Karia aliulizwa mafanikio ya TFF akasema Simba kufika robo fainali klabu bingwa Afrika. Yani jibu la ki-tabularasa kabisa. Timu ligi kuu ziko ngapi? Kwanini ujipime kwa Simba pekee? Na so far TFF imefanya nini specific kwa Simba ambacho ni tofauti na vilabu vingine?

Bila shaka saivi akiulizwa swali hilo atasema mafanikio ya TFF ni pamoja na Yanga kufika robo fainali shirikisho. Wakati anajua hakuna chochote specific ambacho TFF imefanya kwa Yanga wala Simba. Ni juhudi zao binafsi, uongozi, wachezaji na benchi na ufundi.

TFF hawajachangia chochote zaidi ya kula pesa za viingilio, kumfungia Haji manara na kutoa adhabu za ki-imla kwa yeyote mwenye maoni tofauti na genge lao.

Kwa kifupi TFF ya Karia inadidimiza soka kuliko kuendeleza. Timu inapata 410M unapiga panga 240M, halafu ikifanya vizuri kimataifa unajikomba kwayo. Idiot.!

@shaffihdauda_ amepigania sana soka la mtaani kupitia #NdondoCup. Alistahili Nishani ya heshima, lakini anaishia kupigwa majungu na haohao wanaojifanya kuendeleza soka. Soka gani mnaendeleza wakati kila mdau mnampiga vita?

Tar 26 April 2021 Karia aliliambia gazeti la The Citizen kuwa FIFA imewapa TFF $5M sawa na TZS 11 Bilioni kwa maendeleo ya soka nchini. Jiulize wamefanyia nini? Wameshindwa kuweka hata digital screen pale kwa Mkapa. Wameweka board za mabati ambapo mchezaji akijigonga anapata tetenasi. Azam hawana pesa za FIFA lakini uwanja wao wameweka digital screen.

Wanalipana mishahara mikubwa lakini wameshindwa kufunga screen? Ukihoji unafungiwa kujihusisha na soka. Upuuzi!

Hii iwe chachu kwa vilabu vikubwa kama Simba na Yanga kujenga viwanja vyao. Huu upigaji umezidi. Kati ya TFF na andazi, nachagua andazi. Stupid (in SSH's voice).!

via Gmalisa
 
Mechi imeingiza 410M then mwenyeji anapewa 100M na ushee? Karibu 240M zimepotelea kwenye makato. Yani makato ni makubwa kuliko mtaji. Biashara kichaa.!


via Gmalisa
Mchanganuo huo huwa ni shirikishi hata kabla mashindano hayajaanza. Vilabu vilikubali kama ambavyo viliikubali udhamini wenza wa MSG wa ligi kwa sh. bilioni 2 kugawanywa kwa timu zote, ni Simba tu iliukataa huo udhamini.

Kwa hiyo hapo wala Karia asilaumiwe, kuna Bodi ya Ligi (TPLB) ambayo ni chombo cha vilabu vinavyoshiriki ligi kuu, viongozi wanayoiunda ni viongozi wa vilabu shiriki, kwa hiyo kumsingizia Karia ni kutafuta tu malumbano yasiyo na msingi. Anayetafuta mtu wa kumlaumu basi awalaumu viongozi wa vilabu
 
Nilitegemea atafute taarifa, auelewe mchanganuo, halafu ndio aje na hoja au shutuma. Mtu umekiri kwamba haujauelewa mchanganuo, kwa nini sasa unatoa shutuma? No research, no right to say!
Unawateta TFF ila ukweli ni wanyonyaji timu inapata 188M out of 410M inaingia akilini?
 
Karia na wapambe wake, ni wapigaji tu pale TFF. Hilo halina ubishi.

Ila inasikitisha pia kuona miaka nenda timu kubwa na kongwe kabisa nchini za Yanga na simba kukosa viwanja vyao binafsi. Yaani timu za juzi tu kama Azam Fc, Ihefu Fc, Namungo Fc, Mtibwa Fc, JKT Tanzania, nk. Vina viwanja vyao

Lakini ukija kwa hivi vilabu vikuu na vikongwe nchini! Kila siku viongozi wao wanaleta tu porojo. Viwanja kama hivyo vya Taifa, Huru, nk. Vilitakiwa kutumika kwenye timu za Taifa, nk.

Kama Yanga na simba wangekuwa wanamiliki viwanja vyao vya michezo, huo wizi na hayo makato yasiyo na kichwa wala miguu; yasingekuwepo.
 
b1a156d486b34e4aad619d4f0188f85a_342371240_755334156211414_2386442664128384758_n.jpg

f35ce829a37e4ac4893f13ddfb74536b_342218072_157336130616925_2633144593672186839_n.jpg

Tz kuna watu wana mamlaka ila kichwani ni nafuu ya tikiti
 
TFF hii wapo vizuri maendeleo ya mchezo wa mpira wa miguu yanaonekana ngazi ya vilabu. Huwezi beza kidogo ulichokuwa nacho.

Waimarishe timu ya TAIFA. Marisa ni mpuuzi aliyekosa adabu
 
Nilitegemea atafute taarifa, auelewe mchanganuo, halafu ndio aje na hoja au shutuma. Mtu umekiri kwamba haujauelewa mchanganuo, kwa nini sasa unatoa shutuma? No research, no right to say!
Alipogombega kule kijani kijani na njano nikamuona tabulasa tu
 
Hii nchi ya hovyo sana, utampaje Msomali kazi kama hiyo hapa wakati wewe kule Mogadishu huwezi kuruhusiwa hata kuajiriwa kama muosha choo cha stendi.

Wasomali wote ni wapigaji tu na tumeona hata kwa yule Msomali mwingine alivyopora wanyama wetu na kuwapeleka uarabuni. Hawa watu ni bure kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom