utani

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naweka Utani wangu pembeni tafadhali wana Yanga SC wawapige Stop kwa muda Viongozi wao Kulizungumzia Sakata la Juzi la Haji Manara

    "Haji Manara juzi alikuja katika Tamasha la Yanga SC na hakuja katika Shughuli za Kimpira za Klabu ya Yanga " Arafat Haji Makamu Rais wa Yanga SC. Taarifa: EFM Sports Headquarters leo. Makamu Rais wa Yanga SC Arafat Haji kumbe Siku zile ( Juzi ) Haji Manara ( Mfungwa Mkaidi ) alikuja...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais Karia adhabu hii ya Manara imejumlisha na utani wetu?

    Hakuna ubishi kuwa Karia ni mwana Simba na mwana coastal Union. Lakini hakuna ubishi Manara amezikera sana Simba na coastal Union msimu huu kwa matukio tofauti. Adhabu aliyopewa Haji Manara ya kufungiwa miaka 2 na kulipa 20,000,000 ni sehemu ya ukweli huu wa Simba, coastal Union, Yanga, Karia na...
  3. Zee Korofi

    JamiiForums Tanzania Mzee wangu ameniharibu!

    Good afternoon brothers. Majukumu ya malezi yanakwendaje? Uhusiano wangu na jamii; Tangu nazaliwa na kuanza kujitambua, mzee wangu amenilea malezi ambayo naona magumu yake na athari zake muda huu. Nina 'traits' za kushangaza ila naomba mjikite kwenye kutoa ushauri na ufafanuzi tafadhali...
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama utani bwana, Wajahhckoya anaenda mjengoni.

    Ije mvua lije jua Wakenya wameamua kwenda na Wajahckoya. Vijana kwa wazee , watu wa mashambani na mjini, watu wa dini na kabila zote za Kenya wamesema tumechoka. Ruto na Raila kwa wakati Fulani kuwa serikalini kumewafanya kuwa na madoa na hivyo kufanya goli kuwa wazi kwa jamaa. Ruto na Raila kwa...
  5. bahati93

    JamiiForums Tanzania Sio kila ndio ina ukweli kiundani kuna baadhi ya ndio zaambatana na utani

    Jamii Hip #0p wozaa Nadhani sina haja ya kusema mengi kwani kuna baadhi ya mambo yanafanana na utani. Mambo yenyewe ni msanii kulalamika kuibiwa mistari. Msanii ni mtu muhimu sana katika jamii yeye anafanya kazi sawa na watu wa dini na mizimu kwa namna yake. Mtu msanii hutumiwa na jamii kama...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tathmini: Utani wa mtandaoni kati ya Pro Zelensky vs Pro Putin

    Tahtmini ya Utani wa hapa mtandaoni kati ya Wafuasi wa Zelensky (Pro Ukraine vs Pro Putin) Prow Ukraine ni watu poa sana, wengi ni wapenda amani wasiopenda uonevu wa kijinga Pro Ukraine hawashabikii mtu bali wanasimamia facts, wanasimamia haki, hawapendi uonevu. Wengi jata Zelensky hawamjui...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Utani ni mzuri na mtamu lakini angalia unayemtania

    UTANI NI MZURI NA MTAMU LAKINI ANGALIA UNAYEMTANIA. Anaandika Robert Heriel. Sisi wengine tumezoea matani, tumezoea kutaniwa, kudhihakiwa, kukejeliwa, hata kuzomewa piah. Mtu aliyebobea kwenye matani hayo kwake ni mambo madogo kabisa. Sisi tuliozoea utani tunamiiko yetu, tunajua mipaka yetu...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete achaguliwa kuishinikiza Taliban kurudisha watoto wa kike shule

    Ndio maana mataifa makubwa kama US huwa wanaidharau hii United Nations na mpaka kutishia kuacha kuchangia... Sasa Kikwete masikini ya Mungu eti anatumwa aka negotiate na Taliban kurejesha watoto wa kike shule akiwa kama mwenyekiti wa Global Partnership for Education. Mtu atakaepata mkanda wa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanin watu wanaoitwa jina la utani BIG huwa wanaheshimika sana mtaani?

    Kuna hawa watu ambao wanaitwa jina la utani "BIG" huwa kuna kaheshima fulani wanakuwa nako kwenye jamii. Mfano nimepita mitaa fulani ya survey hapo karibu na Mlimani City, kuna jamaa fulani wanamuita BIG machapati. inasemekana huyu jamaa ndiye bingwa wa kutengeneza chapati tamu jiji zima la Dar...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tuache utani TTCL hawako serious kwenye biashara ya internet

    Kwa kweli mimi nimeinua mikono kwa internet ya TTCL. Ni internet ya hovyo sijawahi kuona. Kuna mtu aliwahi kuandika humu kwamba mshikaji wake anaishi Tabata, anatumia mtandao wa TTCL, akilalia ubavu wa kulia anapata mtandao ila akibadilisha akalala ubavu aa kushoto ama akalala chali hakuna...
  11. Candela

    JamiiForums Tanzania Comment Jina lako la utani na maana yake

    Naanza na langu, Wananiitaga Tembo maana nna mkonga. wewe je.
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Utani wa jadi: Jezi ya Simba yaongezewa vikorokoro vitatu vipya

  13. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Admini wa Dodoma Jiji FC ana utani na nani kwa hili Fumbo alilolitoa baada ya Wazambia kutupa raha wana Simba SC leo?

    "Mchezaji unamvalisha Jezi ina Watu kibao halafu unataka awabebe wote na Kukimbia nao hizo nguvu atazitolea wapi?" Chanzo: Ukurasa wa Dodoma Jiji FC. Akhsante mno Admini kunywa Soda tu.
  14. 2

    JamiiForums Tanzania Si vizuri kuleta utani mtu anapoomba kazi hapa jukwaani, inakatisha tamaa

    Habar Wana ndgu, tunaona vijana tofaut tofaut tukiwa wengi kwa namna Moja na nyngine kutafuta connection, na tenda mbali mbali, kwa wenye nazo. Kwa upande mwngne kuna wenye fani zao na wengine wakiwa hawana fani yoyote zaid ya uwezo wa kufanya kaz ngumu zenye kutumia nguv na japo hvyo hukosa...
  15. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Jinsi Watanzania tunavyoumia huku tukitanguliza Utani

    Moja ya vitu vinavyo wapa Watawala nguvu ni kuona utani wa wabongo, Mambo serious tuna weka utani sana mbele. Ilitangulizwa makato ya kupokea na kutoa pesa, Utani ukawa mwingi sana Mtaani kama vile; Mbele kwa mbele, Mama anaupiga Mwingi, tuko Burundi, tunaisoma namba wote, Kazi eendelee na...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Huko Afghanistan Taliban siku si nyingi watatawala Afghan yote, na kwa mara nyingine Marekani imefeli tena

    ilifeli Vietnam, Iraq, na sasa Afghanistan Over 1,000 Afghan troops flee Taliban into Tajikistan More than 1,000 Afghan troops fled into neighbouring Tajikistan on Monday following clashes with the Taliban, as the insurgents amassed momentum on the battlefield. © ASSOCIATED PRESS Afghan...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Utani wa CCM na Vyama vya Upinzani unachekesha na kuleta hasira

    Wapinzani tunataka Katiba mpya, wana CCM Katiba mpya no haiko kwenye ilani ya CCM Wapinzani tunataka Demokrasia : ccm demokrasia ipo wewe fanya kwenye jimbo ulipo chaguliwa kwa mwenzio no. Fomu za wagombea wa upinzani, ofisi zina fungwa , mkurungezi kakimbia ofisi, nimevamiwa nyumbani...
  18. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Fred Vunja Bei ateuliwa kuwa Mwenyekiti kamati ya Uchumi na fedha UVCCM Taifa

    Mfanyabishara Wa Nguo na Kijana Wa Kikinga Fredy Ngajiro Maarufu Kama Vunjabei ameteuliwa Kuwa M/kiti Wa Kamati Ya Fedha Ya Uvccm... Vijana Tafuteni Njuruku Hakuna Namna ---- Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei jana tarehe 23 May 2021 amepitishwa na Baraza kuu la UVCCM kuwa...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo; mama amejiandaa hataki utani

  20. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mijadala Bungeni haina afya kwa Taifa. Tufanye kazi kama Bunge linavyotakiwa kufanya kazi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu Wabunge tunatakiwa kupitisha Bajeti za Sekta mbalimbali za Serikali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Naomba jikiteni sana...
Back
Top Bottom