Si vizuri kuleta utani mtu anapoomba kazi hapa jukwaani, inakatisha tamaa

255Capacity

Member
Jun 6, 2021
25
19
Habar Wana ndgu, tunaona vijana tofaut tofaut tukiwa wengi kwa namna Moja na nyngine kutafuta connection, na tenda mbali mbali, kwa wenye nazo.

Kwa upande mwngne kuna wenye fani zao na wengine wakiwa hawana fani yoyote zaid ya uwezo wa kufanya kaz ngumu zenye kutumia nguv na japo hvyo hukosa kazi kabisa.

Hayo yote ni kutokana na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira nchini ikichangiwa na ukosefu wa uaminif kwa waajili kwa watu wasio wajua..

Pia kwenye utafutaji ndan yake kumeibuka na kundi la watu kutumia fursa hyo kujinufaisha ikiwa kwa kuwatapeli wanao omba kazi hizo kwa kuwaimanisha kuwapa Kazi.

Kwa namna nyingine watu uleta sana utani pale mtu aombapo kazi hasa kwa jukwaa hili, hvyo upelekea kukatisha sana tamaa kwa waombaji.

NB: ukiwa umepewa japo kidog usiwe na choyo kwa wengine maisha ni
 
Ndy, na chngamot kam hzo zinakuwepo sana
Sasa hivyo ulivyoandika ni changamoto tayari. Hata sijaelewa umeandika nini...

Wakati mwingine mnajiharibia wenyewe halafu mnadhani watu wanafanya utani.... kumbe hawajaelewa.

Kwa uandishi huu ni mwajiri gani atakayejaribu hata kukufikiria?

Inasikitisha sana
 
Nakushauri usikate tamaa, ila jitahidi kushawishi watu namna unavyoweza kumuwezesha tajiri yako au taasisi kupata faida kutokana na uwepo wako; nadhani kufanya hivyo utaajirika kirahisi. Mfano mdogo;- unaweza kusema,unaweza kuuza barafu 500 kwa siku; hii itawashawishi wenye friza wakuchukue kwa haraka na kuanzisha hiyo biashara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom