Wanawae wanautani sana mfano
Mtu na wifi yake unakuta wanaitana mume wangu au mke wangu
Ila mwanaume kukuta wanataniana mke wangu au mume wangu na shemeji yake ngumu sana
Wanawake anaweza mwambia mwenzie nakupenda au akamuita mwezie mpenzi wangu
Mwanaume ukithubutu mwambia ivyo mwanaume...
Sa huyu mwamba alikuwa anaimbaje...😅😂
Na alivuma dah! Mi nafikiri aina yake ya uimbaji haikuwa bongo flavor hii ilitakiwa ipewe jina lake jengine!.. by the way napenda muziki wanyumbani haswa zile za zamani..
Tulipo
1. Diarra screen protector
2.djuma shaban soda ya bemba
3.lomalisa wazir wa water
4.job big brain
5.mwamnyeto super captain
6. Bangala mzee wa kaz chafu
7.moloko Ak47
8.aucho doctor wa ⚽️
9.fiston mayele predator
10.aziz ki mwamba wa wagadugu
11.morrison toto tundu
12. Kibwana carterpiller...
Nimeona taarifa ya TFF kuwa Kocha wa Makipa wa Timu ya Mashujaa aliyempiga ngumi ya usoni Kocha wa Mbeya City kuwa amefungiwa mwaka Mmoja na Faini ya Milioni 2.
Niseme tu kuwa, natamani siku karia au kiongozi yeyote wa TFF apigwe ngumi ya pua na mchezaji au kiongozi wa timu.
Kama tu Haji...
Hoja hii ni nzito sana ambayo mimi mwenyewe kama mwanaJF sina mamlaka ya ku-dictate thread hii kwa maana ya unyeti wake, kwa uchache tu ninachoweza kueleza ni kwa nini nimefikia kufikiri hivyo;
1. Jamii Forums ninayoijua mimi ni ile iliyojaa wanazuoni na wabobezi wenye uwezo na weledi wa kila...
Amani kwako.
Ramadan Mubarak.
Hakuna haja ya maneno mengi, huyu ni raia wa nchini Nigeria, aliamua kubadilisha mfumo mzima wa maisha ya kijijini kwao na kujenga (satellite city) kwa fedha zake bila kumdai mwanakijiji apeleke yai au kilo ya mahindi.
Kijiji hiki cha Nigeria kiligeuzwa kuwa mji...
Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza hayo baada ya Simba kushinda magoli 7-0 dhidi ya Horoya katika mchezo wa Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kwenye Uwanja wa Mkapa.
Haijalishi weee hapa tunazunguzmia Mfyooonyo yaani unasikia mfyuuuuu mtu katoa yake na imevutwa kama mpira wa manati, yaani inaanza mbali na ikimalizika lazima utaona cha mtema kuni😂
🤪Wee acha tu
ngoja nikuvalie njuga.... qqmmk mfyuuuuuu😂
enzi hizo njuga ilikuwa kiatu chochote oversize...
Paa la Afrika.
Nilikuwa nimesikia mengi juu ya Kilimanjaro, mlima mrefu kuliko wote barani Afrika. Hali kadhalika, nilisoma mengi na kutazama picha nyingi zilizoonyesha mlima huo. Lakini katika yote hayo niliyosikia au kuona kwenye picha hakukuwepo lolote lililoniacha nisiweze kupigwa na butwaa...
Wakuu, plani yangu kesho ni hiyo kwa ajili ya EX wangu. 😂
Mwenye plan nyingine anipe tafadhali!
---------------👇--------------
This's for (Jokes). If you want a serious post, go and write what suits you! 🙌
Sometimes we need to be funny, so kila muda umekunja tu sura! Utakuwa na matatizo ya...
Kwa kweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu .
Nikiri wazi kwamba nimekuwa nikishiriki kulifananisha jiji la Mwanza na Jiji la Arusha nikisema kuwa Mwanza na Arusha ni Sawa tu na mara nyingine huwa naenda mbali hadi kusema Arusha ni jiji zuri kuliko Mwanza.
Ilifikia kipindi hadi nikawa nasema...
Wakuu wa jukwaa heri ya mwaka mpya.
Mnauonaje mwendo wa Arsenal kwenye mbio za ubingwa pale EPL.
Arsenal kama utani, anakimbiza mwizi kimya kimya, ligi ilivyoanza tukasema hafiki krisimasi atakuwa kashatoka kileleni.
Krisimasi pamoja na mwaka mpya umefika, naona kasi yao inazidi...
Sasa Taifa gesi wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania masikini na Tajiri. Ila tuwe positive jamani Rostam ni mwamba yeye anafit kwa kila Rais.
Sasa wizara nzima ya Nishati ni Rostam. Rostam oyee. Tujifunze kwa huyu mwamba.
Tuna kitu cha kujifunza kwa Rostam Aziz. Binafsi...
Kwangu mimi jina langu la mwanzo limekosa umaarfufu kabisa, ni jina ambalo lipo kwenye vyeti tu na vitambulisho.
Jina langu la ziada ni la kijijini lakini hili halipo kwenye cheti cha kuzaliwa
Shule ya msingi nimeitwa jina la ukoo
Sekondari nimeitwa jina la ukoo
mtaani na nyumani naitwa jina...
Salam wanajamii hasa jukwaa hili la michezo, niende kwenye mada moja kwa moja.
Timu zetu pendwa watoto wa kariakoo wako kimataifa wameshacheza mechi tatu kila mmoja na matokeo tunayo yote. Tukiwa kama mashabiki wa hizi timu utani wetu unaenda hadi huko kimataifa hakuna wakumshangilia mwenzake...
Siku chache tu baada ya mtoto wake kuzua dhoruba kwa msururu wa ujumbe wa Twitter uliozusha mgawanyiko, Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba msamaha kwa Rais wa Kenya William Ruto.
Akitishia kuivamia Kenya na kuiteka Nairobi, Jenerali Muhoozi Kainerugaba alidai operesheni hiyo ingechukua si...
Dejan ni straika mpya wa Simba ,ni straika kweli kama umefuatilia timu alizochezea na magoli aliyofunga. Kacheza timu kubwa Ulaya na anafunga magoli mazuri sana, lakini mashabiki wa nchi hii wana mambo ya kitoto sana.
Hicho mnachomfanyia Dejan sio ushabiki ni upumbavu ,na ni ubaguzi wa rangi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.