Naweka Utani wangu pembeni tafadhali wana Yanga SC wawapige Stop kwa muda Viongozi wao Kulizungumzia Sakata la Juzi la Haji Manara

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,865
"Haji Manara juzi alikuja katika Tamasha la Yanga SC na hakuja katika Shughuli za Kimpira za Klabu ya Yanga " Arafat Haji Makamu Rais wa Yanga SC.

Taarifa: EFM Sports Headquarters leo.

Makamu Rais wa Yanga SC Arafat Haji kumbe Siku zile ( Juzi ) Haji Manara ( Mfungwa Mkaidi ) alikuja Kutambulisha Wachezaji wa Tamasha la Yanga na siyo Wachezaji wa Yanga SC wa Msimu mpya ( ujao ) wa Ligi Kuu ya NBC na Klabu Bingwa Afrika?

Kitendo cha Uongozi mpya wa Yanga SC hii chini ya Rais Injinia Hersi Said kukosa Mseto wa Wazee naona kinaanza sasa Kuwagharimu na wasiposhtuka itakuja Kuwagharimu pakubwa na kuathiri hata 'perfomance' yao Uwanjani.

Na taratibu sasa GENTAMYCINE naanza kuamini kuwa huenda aliyekuwa CEO wa Yanga SC Mweledi Senzo Mbatha Mazingisa alishaona dalili za Matatizo ya Kiutawala na Watawala wapya wa Yanga SC ambao huenda Machoni wanatuonyesha ni Weledi ila Kiuhalisia kumbe ni Waswahili kama walivyo Waswahili wengine wanaoliharibu Soka la Tanzania ambalo sifichi au sioni Aibu kusema na Kukiri kuwa linaharibiwa na Wadau wa Yanga na Simba.
 
Usivute bangi kabla haujala madhara yake unaweza ukaudhuria mazishi ya marehemu usiemfaham na ukalia kwa uchungu kuliko wanandugu
20220723_172343.jpg
 
"Haji Manara juzi alikuja katika Tamasha la Yanga SC na hakuja katika Shughuli za Kimpira za Klabu ya Yanga " Arafat Haji Makamu Rais wa Yanga SC.

Taarifa: EFM Sports Headquarters leo.

Makamu Rais wa Yanga SC Arafat Haji kumbe Siku zile ( Juzi ) Haji Manara ( Mfungwa Mkaidi ) alikuja Kutambulisha Wachezaji wa Tamasha la Yanga na siyo Wachezaji wa Yanga SC wa Msimu mpya ( ujao ) wa Ligi Kuu ya NBC na Klabu Bingwa Afrika?

Kitendo cha Uongozi mpya wa Yanga SC hii chini ya Rais Injinia Hersi Said kukosa Mseto wa Wazee naona kinaanza sasa Kuwagharimu na wasiposhtuka itakuja Kuwagharimu pakubwa na kuathiri hata 'perfomance' yao Uwanjani.

Na taratibu sasa GENTAMYCINE naanza kuamini kuwa huenda aliyekuwa CEO wa Yanga SC Mweledi Senzo Mbatha Mazingisa alishaona dalili za Matatizo ya Kiutawala na Watawala wapya wa Yanga SC ambao huenda Machoni wanatuonyesha ni Weledi ila Kiuhalisia kumbe ni Waswahili kama walivyo Waswahili wengine wanaoliharibu Soka la Tanzania ambalo sifichi au sioni Aibu kusema na Kukiri kuwa linaharibiwa na Wadau wa Yanga na Simba.
Bora uwape ushauri yanga wenzio,
Sisi Mambo yetu ya Simba marufuku kuyajadili.
 
Kosa la Wallace Karia ni kujiingiza katika vita isiyo na kichwa wala miguu, na mtu kama Haji Manara.

Hakika dunia itamdharau mpaka kiwango cha chini kabisa.
 
Muache baba wa watu, mbna una mganda sana?? Hangaika na Malinzi huko, uwage unampelekea chakula lupango huko.

Anachezeshwa vanga na Manyapara.

Back
Top Bottom