utani

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kijana afanya utani wa kutaka kumuua Rais Magufuli, aambuliwa kifungo cha miaka 2 jela

    Rais John Magufuli. MAHAKAMA ya Mwanzo ya Ipembe mjini Singida, imemhukumu mkazi wa mtaa wa Minga, Bahati Martin (39), kifungo cha miaka miwili jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kutamka maneno ya kwamba atamuua Rais John Magufuli. Mshtakiwa anadaiwa kuropoka maneno hayo Novemba 26...
  2. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Mkuu wangu wa mkoa wa Tabora punguza utani hasa ukiwa kikaoni wa chini watashindwa kutekeleza uliyotoa

    Awali ya yote shikamoo afande WANGU mkuu WANGU WA mkoa Kiufupi tu nimekusikiliza kwa millardayo NAAMINI akuwepo kikaoni ila kama alikuwepo mwakiloishi nalo jema Kiufupi naomba nishauri tupunguze utani zaidi hasa pale unapokuwa na watu kama madiwani wakitoka hapo wanatakiwa kutimiza majukumu...
  3. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majirani watz mna dhiki kweli, yaani hamna utani kabisa, hata na wachekeshaji

    Yaani hii picha 'photoshop' ya kawaida sana ndio ilifanya vitengo vya usalama vikamkamata huyo mchekeshaji kwa jina Idris Sultan? Hadi akahojiwa kwa saa tano na nyumba yake ikapekuliwa na polisi wakaamrisha kwamba aripoti kwao siku ifatayo? Like seriously? [emoji15] IDRIS SULTAN AACHIWA KWA...
  4. Mstarabu kiona

    JamiiForums Tanzania TUNAWAONA WAZURI SABABU TUNAWAPENDA

    Kinachofanya wajione wao bora na wazurii ni Sisi wanaume tunapenda kuwasifu lakinii ukweli ni kwamba hawana uzuriii wowote ndo maana vitu vya urembo vimekuwa vingi kwao ili wapendeze waonekane wazurii. Ila Men tupo really bado tunapendeza na tunavutia
  5. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Wachuna Ngozi

    Watatu walikamatwa na wachuna ngozi. Wakaambiwa kuwa watauliwa kisha watachunwa ngozi na ngozi zitaenda kuuzwa Nigeria. Wale wachuna ngozi wakawaambia kila mmoja anapewa nafasi ya kuomba jambo moja tu la kufanya kama kuomba dua au kuandika wosia. Jamaa wa kwanza akasema ye aomba auliwe...
Back
Top Bottom