Mpendwa: Money Penny, Mimi nipo na Mpenzi wangu, anasema ameokoka na tunasali, tunaomba, tunafunga, kanisani anakuja fresh Tu,
Money Penny: Hongera
Mpendwa: hakuna cha hongera ndio maana nipo kwako hapa
Money Penny; nambie mpendwa
Mpendwa: Yani mpenzi huyu ameonyesha dalili zote za kunitaka...