Akimbia utamu wa mama na binti zake

Rose Bud

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
252
256
Mkasa mkasaaa. Mkasa huu nilisimuliwa zamani kidogo na jamaa yangu mmoja lakini umenikaa kwa kichwa hadi leo. Haya mkasa huu ulimtokea kaka mmoja akitokea moja ya nchi za Afrika ya mashariki, alipoenda kutafuta maisha katika moja ya nchi za mashariki ya kati.

Bwana huyu alipata kazi ya udereva huko, kuendesha familia, basi bana kazi ikaenda fresh tu, kimbembe kikaanza baada ya baba wa familia kusafiri na hapo nyumbani akabaki mama.

Siku moja asubuhi mama akamwambia kaka dereva anataka mpeleke sehemu (tupaite mchangani ingawa nchi nzima ni jangwa) basi kufika mchangani mama akamwambia kaka dereva ampe mambo ya kidunia, heee kaka dereva akashtuka tuh!

Hakutegemea hii kitu, akamwambia mama hapana, sijui blah blah gani, mama akamwambia aisee usiponipa vitu napiga kelele unataka kunibaka, mmmmh kaka dereva akaona hatari tupu, kisa cha kuuawa nini, akampelekea moto mama kwenye gari wakamaliza hao wakarudi home.

Siku moja baadae akaja binti ya mama (hapa sikumbuki kama mabinti walikuwa wanakaa hapo au la, ) asubuhi akamwambia kaka dereva ampeleke mchangani, kufika huko binti akamwambia nifanyie kama ulivyomfanyia mama, kaka dereva akampelekea moto binti kama mama yake wakarudi home.

Basi kaka dereva anasema kuanzia hapo ikawa ndio mchezo mama na binti zake wanapeana zamu kwenda mchangani, hadi kuna siku binti mmoja wapo akauliza hivi kwenu mnakula nini hadi mashine inakuwa kubwa hivi!!??

Siku zikaenda kaka jambazi kengele za hatari zikawa zinamjia kichwani, mwisho wa huu mchezo ni mwisho wangu, yaani baba mwenye nyumba akijua hapa ni kifo. Mtu akipata mimba, kifo. mtu akikatch feelings, kifo. magonjwa yakitokea, kifo.

Kaka dereva akasema hapa ni kukimbia ili kujiokoa, lakini hakuweza sababu baba mwenye nyumba ana passport yake, wakati anasubiri baba mwenyewe arudi akasuka sababu ya kuomba likizo ya haraka. Mchezo wa mchangani ukawa unaendelea hadi baba akarudi, alivyorudi tu kaka dereva akaenda kumlilia baba kuna tatizo nyumbani inabidi arudi haraka (mama mgonjwa sana, anaitwa) anaomba kabreak kadogo, basi baba akampa passport yake akatoka mbioooo, ndege hadi kwao, ndio kusimulia yaliyompata.

Kaka dereva alikaa kidogo kwao akatafuta kazi tena hukohuko lakini mambo ya udereva wa familia hataki tena, akawa dereva wa kampuni kusafirisha vitu na si watu.

Haya ingekuwa wewe angekabiliana vipi na changamoto hii, ukiweka akilini watu wa mchangani kutenganisha roho na mwili kwao ni chap tu.
 
Hao wa kupelekwa mchangni si ndio hao wamepewa bandari yetu!?

Kaka jambazi akamatwe kisha ahojiwe.
 
Siku hizi kuna watu wanakula mama na mtoto, wanadai kila mmoja ana yake. Mtu anakuwa na wapenzi wawili mama na mwanae hawajuani kama wana share penzi
 
Hawa madogo sijui wanaionaje JF? Yaani amekaa kabisa katunga hadithi ya kitoto na kipuuzi anakuja post humu. Hawa watu ni wa kunyongwa tu.
Mimi si madogo, na hiki kisa kimemkuta mtu kweli. Unaweza ona ni kama utani, lakini imetokea
 
Back
Top Bottom