utamu

  1. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Jamani acheni kujihusisha katika kutoa mimba

    Mnaua kiumbe kilichoanza uhai ndani ya mfuko huo ambapo ndipo haki yake ilipo. Usitoe uhai kwa maana tu uliteleza Usitoe uhai kwa sababu unajisikiaga raha ukiwa haujavaa kondomu. ABORTION IS SATANIC
  2. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Kissa Sins anazeeka na utamu wake

    Wazoefu mtwambie, Huyu mwanamama KISSA SINS atakua anakula lishe ya namna gani, Maana ni amegoma kabisa kuzeeka. Miaka inaenda bado namuona yuko vile vile tu😊
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hizi Cruisers Mpya J300 na Prado J50 hakuna Manual Transmission. Sahivi na sisi Madereva wa Serikali tunaenjoy utamu wa Auto!

    Hatimae tumefikiwa. J250 Prado na J300 Cruisers zimekuja kazini na hakuna Auto, kuuliza wanasema hakuna model yenye manual transmission. J300 zimekuja za diesel zenye gear 10 zile za cc 3300 twin turbo V6. Prado zimekuja za 2.8L gear 8 diesel. Sasa mkono na mguu wa kushoto wacha vipumzike.
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga imshitaki Ahmed Ally kwa kusema Yanga inagawa Utamu

    Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa. Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. 😂😂😂 Mwisho nawatakia TP Mazembe ushindi hapo kesho
  5. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Utamu wa fimbo ya ukwaju

    Hii ni fimbo ya ajabu,kwanza ndefu si ndefu,nene si nene,inachapa kwa mbele na kwa nyuma,na inatema balaa,ukiruhusu ikutemee ni lazima utavimba,na inapochapa ni lazima utalia kwa raha,na inachapa kwa mbele na inachapa kwa nyuma na ukivimba ni lazima upate kichefuchefu,we fimboyaukwaju ni tamu...
  6. fimboyaukwaju

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utamu wa Mwanamke na wa Mwanaume

    Je mwanaume asema nini kuhusu utamu wa mwanamke,kwamba mwanamke mtamu ana sifa gani,na je mwanamke anasemaje kuhusu utamu wa mwanaume,kwamba mwanaume mtamu ana sifa hizi,naomba majibu
  7. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume waliotalaka wake zao, hutumia watoto wao kutongoza wanawake wapya? Je wanakuwa wanapenda au ni matapeli tu?

    Dada: money penny nisaidie Money penny: ndio boss Dada: nimekutana na kaka mmoja, juzi ijumaa, tukaanza kuchat akasema anatafuta mke wa kuoa Money penny: ndio boss Dada: tumeongea kwa simu for hours siku ya kwanza, jioni yake akampa simu mwanae anisalimie tukaongea na mwanae muda wa dk 15...
  8. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda Mishangazi yenye tumbo & michirizi ya utamu

    Binafsi napenda Mishangazi iliyoshindikana kama shishi, tumbo kubwa na michirizi ya utamu. Asanteni
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanaisha ila maisha yanaendelea na utamu wa maisha ni shoo za kibabe

    Shalom, Imeandaliwa na Chief Wadiz.a.k.a Chief Mapenzi. Leo nimewakumbuka Maex zangu mademu kama wanne hivi Aisha, Mariam, Win, Esther na Esther na Elizabeth. Jamani acheni maisha yaitwe maisha yaani hao mademu ilikuwa ni shoo shoo enzi hizo nawakatia mademu viuno kama vya Nyoshi wa FM...
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kamwe miti ya matunda ya kisasa haiwezi lingana na ya asili iwe utamu au kuzaliana

    Jf salaam Huwa nashangaa sana mtu kuanza kuinadi hii miti ya kisasa akiiponda ya kienyeji (asili). Ukweli ni kwamba miti ya matunda ya asili inazaa sana iwapo itatunzwa kidogo tu! Na daima ni mitamu sana na mivumilivu mno katika Hali zote! Hii yenu hii iliyoibuka hata nusu haiwezi fikia...
  11. Engager

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anazidi utamu kadri anavozidi kuwa mweusi

    Chukua hiyo mtu wangu, Usikione kidada cheusi tii kinapita ukakidharau. Hicho ndo kimebeba asali mbichi huko chini. Ile yenyewe kabisa ya nyuki wa kienyeji.
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Raha na utamu wa mapenzi viko Tabora, hiyo mikoa mingine mnateseka sana

    Hakika mapenzi ya Tabora hawa wanawake wa kinyamwezi ni kiboko. Kuishi ama kufika ama kupita Tabora ni raha sana, mapenzi tele na raha zake na utamu wa mapenzi ya Tabora hakuna mkoa pinzani. Wanawake wa kinyamwezi na hata walofundwa unyamwezini ni watamu sana wanajua mpaka basi hadi wana utamu...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Hivi ubikira wa mwanamke una utamu gani? Maana naona watu wanaahidiwa hata peponi

    Kuna hii video sheikh anaeleza kuhusu wanawake walioandaliwa kwa ajili ya wanaume waislamu kule peponi, yaani mabikira. Hapa najiuliza, kwa nijuavyo uzuri wa kumla mwanamke bikira ni kwa sababu unajua kakuheshimisha na kwamba wewe ndiye wa kwanza kumuingia, ila shughuli yenyewe huwa usumbufu na...
  14. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Usafi huko chini fanyeni lakini msizidi hadi mkaondoa ile harufu ya asili sababu ndio utamu wenyewe huo

    Hii kero nimekua natafuta njia ya kuifikisha kwa pisi husika lakini nashindwa naifikishaje. Unakuta pisi kali na safi lkn papuchi haina ile natural smell hata kidogo, msinielewe vibaya simaanishi 'kitilapia' hapa, namaanisha kale kaarufu fln ambako nadhan ndo wale bacteria wanakatengeneza...
  15. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utamu wa pesa, kwako ni upi?

    Siku zote pesa inatakiwa ikupe mahitaji ya msingi, ndio maana tunatumia nguvu nyingi katika kuzitafuta. Tunaamini na imethibitika, hatuwezi kuishi miaka 150; mara nyingi tumezidi sana tena kwa wale wachache sana wanaweza kubahatisha miaka 100. Sasa, maisha ni nini, Je ni kuishi kwa furaha...
  16. Nizhneserginsky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

    Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada. Mapenzi yana nguvu sana pale unapopenda kisawasawa unaweza tembea umbali mrefu kufuata penzi bila kujali umbali, gharama zozote ili mradi ufanikishe jambo Binafsi nina visa viwili. 1. Niliwahi kusafiri toka Moshi kwenda Tanga kufata penzi...
  17. KENZY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utamu wa maisha..

    Ni pale unapovuta hewa safi yenye rutuba ambayo inapita kwenye mapafu yenye afya njema, huku moyo wako ukidundadunda kwa shangwe na mwili wako ukiwa tulivu bila kashkash!.. no stress, no harmful idea in you also no devil emotions!. Utulivu fulani hivi Hadi unausikia uti wa mgongo ume relax...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba yangu kinachoniuma tunautaka utamu halafu tunautafuta kulee?

    Mimi ni mmoja wa watu ambao nimeipigania sana Simba huku mitandaoni ila ikafika wakati nikaamua kupumzika maana kuna mambo yanakatisha tamaa sana ndani ya Simba yangu. Simba ina wachezaji bora sana shida ni jinsi wanavyotumika. Kuna mentality inabidi ibadilishwe pale kuanzia kwa viongozi...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi JF hakuna tunaokula utamu wa mapenzi?!

    Kuna siku humu kuanzia asubuhi mpaka jioni ni nyuzi za kutendwa tu. Wengine usiku...wanakuja na kataa ndoa. Ni mwendo wa kupigana matukio tu. Lakini tupo sisi tunaokula utamu wa mapenzi. Tunakula utamu kuanzia asubuhi mpaka jioni. Hapa napoandika nimetoka kupigiwa video call, nimeambiwa...
  20. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anasema ameokoka, lakini anataka nimpe utamu, je nifanyaje?!

    Mpendwa: Money Penny, Mimi nipo na Mpenzi wangu, anasema ameokoka na tunasali, tunaomba, tunafunga, kanisani anakuja fresh Tu, Money Penny: Hongera Mpendwa: hakuna cha hongera ndio maana nipo kwako hapa Money Penny; nambie mpendwa Mpendwa: Yani mpenzi huyu ameonyesha dalili zote za kunitaka...
Back
Top Bottom