Katika Kuonyesha kuwa Mahakama za Wenzetu hasa huko Marekani ( Mamtoni ) na Ulaya ( Majuu ) kuwa linapokuja Suala la Maadili kwa Watendaji wake pindi wawapo Kazini hawana Mzaha ( Masihara ) kabisa ni kwamba Jaji Mmoja aliyekuwa akisikiliza Kesi ya ' Ubakaji ' kwa Mwanamke Mmoja amejikuta...
Miaka iliyopita nilikuwa muhuni sana, kuna mrembo mmoja hivi alikuwa mwanachuo nikatokea kuvutiwa naye, nikaanzisha naye mahusiano huku nikimpiga jeki mahitaji yake madogo madogo. Mbaya zaidi, nilipokwa nikimuomba gemu alikuwa ananizungusha huku akinifariji ipo siku utafurahi. Ikabidi niwe mpole...
Wandugu mnaweza kuniita jina lolote baya mnaloweza kujisikia kuniita. Iwe zezeta, zoba, Boya, punga, mwanaume suruali, hanithi vyovyote mimi nitakubali tu.
Ni baada ya jana ambapo nilipanga na mpenzi wangu tukutane ktk hotel moja ya kifahari hapa jijini Dar baada ya muda kama mwaka hivi...
MAPENZI ni matamu, mapenzi yana raha yake haswa ukimpata mtu anayekupenda kama ambavyo wewe unampenda. Kinyume chake, mapenzi hugeuka kuwa shubiri. Yanaumiza lakini suala la msingi, hupaswi kukata tamaa pindi unapokutana na penzi kuwa chungu. Chukulia ni changamoto, usikubali kuishi kwenye...
Uteuzi wa wanasiasa katika nafasi ya Ukurungezi wa Halmashauri, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Katibu Tawala, Viti Maalumu, WABUNGE, Ubalozi wa nchi mbalimbali utasaidia kukutana na wanasiasa wenye jeuri ya FEDHA na Dharau ya maamuzi...
Utamu WA Siasa upo hapa mwenye maoni atume Kwa makamu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.