utafutaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta maombi 2648 ya utafutaji wa madini kwa kutokidhi vigezo vya Sheria ya Madini

    Maombi 2648 ya utafutaji wa madini yafutwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba 2023 hadi Julai 2024 kutokana na kutokidhi vigezo vilivyowekwa kwa mujibu wa Sheria ya Madini Sura 123. Hayo yamesemwa leo Agosti 14 , 2024 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde wakati akiwasilisha taarifa kwa...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake kutoka makabila mbali mbali kwenye vigezo vya utafutaji, wife material, pisi kali, maisha ya ndoa, mapishi, support, n.k

    N:B..Vipimo ni wastani / Average katika kundi kubwa, hatuangalii moja moja kwamba Kuna mzaramo flani ulimkuta hapendi ngoma, kuna wachaga uliwakuta nyumba flani hawapenda pesa, n.k. Pisi kali – Ni kweli nchi ina pisi kali kila kona lakini komesha ipo kwa Wanyaturu wa Singida, Wa iraqw tuliozoea...
  3. navigator msomi

    JamiiForums Tanzania Ilkuwaje baada ya kubadilisha mazingira ya utafutaji na ukajutia kutoka sehemu ulipokuwepo? Toa ujuzi wako hapa tupate nguvu

    Wakuu ni takribani wiki kadhaa nilkuja na uzi wa kuhamia mwanza, niseme tu ukweli tangu nimefika hapa jijini sijawahi kupaelewa katika harakati zangu. Mbaya zaidi sehemu nilipokuepo mwanzo nishaondoa rasilimali zote nikahamishia huku. Kila kitu naona hakiendi, mtaji niliokuja nao naona unazidi...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ni kinara wa utafutaji fedha za kuimarisha elimu Afrika

    JK KINARA UTAFUTAJI FEDHA ZA KUIMARISHA ELIMU AFRIKA Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) ameshiriki Mkutano wa Mwaka 2024 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB 2024 Annual Meeting) unaofanyika jijini Nairobi, Kenya...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shirika la Bima la China (SINOSURE) kuisaidia Tanzania kutafuta Fedha za ujenzi wa SGR Lot 5

    Shirika la Bima la China - SINOSURE linaendelea na taratibu za upatikanaji fedha za kugharamia ujenzi wa Kipande cha Tano cha Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Isaka hadi Mwanza chenye urefu wa Kilomita 341 na kuonesha nia ya kusaidia upatikanaji fedha za ujenzi wa kipande cha sita cha ujenzi wa Reli...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maisha na Chuki

    Wazima jamani! Hivi hili suala la kuchukiana bila sababu ni kwa wanawake tu ama na Nyie wanaume mnakutana nalo? Unaenda sehemu ukiwasili tu kama wewe ndo jini mkata kamba! Ni kwamba chuki za ghafla zinaanza, ukijitathmini hakuna cha tofauti Umefanya. Kwenye vitabu vya dini vimeandikwa kuwa...
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Utafutaji wa pesa unaathiri afya za watu, mfumo sahihi wa maisha unabadilika

    Maisha wanayoyataka Taasisi za kidunia ni aina ya maisha ya utumwa ambapo wanaforce kila jambo liwe fursa na kwa sababu hii ndiyo ugumu wa maisha unazidi kuongezeka. Imagine zamani mtu anatoka home saa 12 asubuhi halafi anarudi 5 kutoka shamba, anapata muda na familia yake, muda wa kupata...
  8. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Utafutaji wa pesa hapa duniani kuna wengine ni kama gereza na wengine happy day

    ule msemo toka kwenye biblia Maneno ya Paulo “Asiyefanya kazi, asile” (3:10).ulilenga watu fulani humu duniani kwakeli yani kuna wengine kuanzia January mpaka December yeye ni kutafuta mkate wa kila siku. utafutaji hapa duniani wengine kwao ni gereza watabaki kuwa watumwa wa pesa mpaka kifo...
  9. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Utafutaji maisha ndio chanzo kupoteza mahusiano, marafiki, ndugu na wapenzi

    Harakati za kutafuta huku na huku zinatufanya kupoteza watu wengi kwenye maisha yetu usitegeme usafiri mbali kutafuta maisha alafu mpenzi wako utadumu naye. Maisha ya utafutaji ni kipingamizi tosha cha kupishana muelekeo, mtazamo na n.k. Hivi konde boy anaweza kumrudia demu wake wa Mtwara au...
  10. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

    Habari WanaJamiiforums, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Imekuwa kawaida Wanawake kulalamika kwamba wanaume hawaangalii wala kutilia mkazo kikamilifu kuhusu shida zao. Lakini ukweli ni kwamba kuna mambo ambayo wanaume nao wanatamani wanawake wajue baadhi ya mambo:- |-• Wanaume wengi...
  11. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kwanini fresh graduate au wanamda mfupi ujiona wajanja sana kwenye life za maisha na utafutaji?

    nimeleta hii mada tuwa tafakari hawa vijana wamalizapo chuo au kama wamemaliza chuo mda zaidi ya miaka miwili na zaidi ujiona kila kitu kwao wapo zaidi ya walio mtaani kimaisha. maana hayashauriki
  12. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Muige panya katika harakati za utafutaji, utatoboa

    Nadhani wote tunamjua mnyama panya, sasa bwana panya anajua kabisa akisema amkimbie binadamu kwa kuogopa kifo na kuhamia porini, atakufa njaa. Tena kabla ya njaa huenda akauliwa na wanyama wakali zaidi. Anachofanya panya ni kusoma ratiba ya binadamu ndani ya nyumba, saa ngapi anaenda kazini...
  13. DON YRN

    JamiiForums Tanzania Vijana tunapitia wakati mgumu sana kwenye utafutaji. Chukua hii, itakufikirisha zaidi

    Nipo hapa kwa kitanda usiku huu wa manane nikiwa na msongamano wa mawazo na kutafakari mambo mbalimbali kuhusu haya maisha hasa kwa sisi vijana ambao tunajitafuta na bado hatujajipata. Haya maisha ya utafutaji yamejaa vitu vigumu na vizito ambavyo siyo rahisi mtu kukuelezea ni namna gani...
  14. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Utafutaji ni majaribu kwa wanawake

    Kwa sasa wanawake wameamka vilivyo katika ujasiriamali. Sokoni, stendi, barabarani wamechachamaa. Wake zetu wanasema maisha kusaidiana. Kwa uwezo mdogo wa kuhimili vishawishi walionao ni rahisi mno kuvuliwa na wavuvi. Kwa mfano mama wa watu asubuhi asubuhi anatembeza vitafunwa majumbani mwa...
  15. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Utafutaji ni mgumu nawashanga watumishi wa serikali wenye uhakika wa kuvuta mshahara kila mwisho wa mwezi japo ni kiduchu wanashindwa kushukuru

    Habari ya sikukuu Mtoko wangu wa leo sikutaka kwenda kuponda raha niliingia hapo mbezi stendi kuangalia hawa ndugu zetu walio jiajiri ili nijifunze vitu vipya ambavyo sivijui hawa watu wanaamka saa kumi za usiku na kulala mida mibovu sana middle of the night aisee utafutaji wao ni mgumu sana...
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Unaamini nini katika utafutaji katika kukimbia umasikini

    Hi Mimi kwa upande wangu naamini katika kuanza na kidogo na kukithamini naamini hakuna alie anza na kikubwa na kama yupo wengi walishindwa kukithamini kikubwa Vijana now days wanataka kuanza na mshahara mkubwa kuliko elimu yao na uwezo wao najiamini katika kazi na kipaumbele changu siku zote...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua kuhusu maisha ya utafutaji usiombe mtu hela muombe connection

    Nilichogundua Kama upo na circle ya watu waliofanikiwa Kama ukiwa mtu wa kuwaomba hela Basi Fahamu watakupa bloko au watakuchukulia Kama msumbufu tu. Yaani haijalishi mtu analipwa sh ngapi au anaingiza sh ngapi usithuhubutu kumjengea mazoea ya kumuomba hela ni hatari Sana. Labda uwe unafanya...
  18. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Jobless mwenzangu, unafanyaje kupata nguvu mpya baada ya akili na mwili kuchoka na mapambano ya utafutaji maisha?

    Umeshatuma maombi ya kazi miezi mpaka unahesabu miaka lakini hupati kazi. Unatafuta vibarua vya kujishikiza navyo inakuwa ni mtihani. Unafanya kila kitu kujaribu kujinasua na mkwamo wa maisha ikiwemo mambo ya kiimani ila bado hupati matokeo. Uvumilivu, kupambana, ubunifu, experience, knowledge...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa hujui hii ndio mikataba ya Utafutaji wa mafuta na gesi na ugawanaji mapato

    Dhana ya Mkataba wa Utafutaji wa mafuta na Ugawanaji Mapato - wazo la nchi la utafutaji wa mafuta na gesi na mgawanyo wa mapato na makampuni kama sehemu ya biashara lilianzishwa kwenye miaka ya 1950. Kwanza kabisa, wazo hili lilianzishwa Indonesia mwaka 1966. Mikataba ya Utafutaji wa mafuta na...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ukraine hapumui kwa sasa, silaha mpya za wa Magharibi zinawahitaji wapate muda mwingi wa kujifunza

    Ukraine kama Nchi ilotokana na USSR, Hawa Hadi Leo hii Asilimia kubwa ya Silaha zao ni za Kisovieti . Ukraine hapumui Kwa Sasa, Silaha Mpya za wa Magharibi zinawahitaji wapate muda mwingi wa kujifunza. CIA kupitia washirika wake Duniani kote, Kwa Sasa wanaendesha Operesheni Dunia nzima hasa...
Back
Top Bottom