Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 2,552
- 2,990
Maisha wanayoyataka Taasisi za kidunia ni aina ya maisha ya utumwa ambapo wanaforce kila jambo liwe fursa na kwa sababu hii ndiyo ugumu wa maisha unazidi kuongezeka.
Imagine zamani mtu anatoka home saa 12 asubuhi halafi anarudi 5 kutoka shamba, anapata muda na familia yake, muda wa kupata stori za Yanga na Simba, labda kusaidia kazi za nyumbani N.K.
Imekuwa tofauti kabisa katika zama hizi za Noti, kuna uharibifu mkubwa wa maadili huku tunajisifu kuwa ndiyo maendeleo, watu wanatembea uchi uraiani mpaka mtandaoni, MAGONJWA ya kusababishwa ili tu, zitengenezwe fursa, afya zinakuwa mbovu.
Kazi zinatutenganisha na familia zetu watoto wanakosa malezi sahihi, na upande wa bidhaa utengenezaji mbovu wa bidhaa umekuwa mwingi mpaka kuathiri afya za watumiaji lakini kwa kuwa tumeruhusu sera za kigeni na umasikini wetu wa akili unachangia bado tunaendelea kuwa watumwa kwenye nchi yetu.
NAWASILISHA