Utafutaji ni mgumu nawashanga watumishi wa serikali wenye uhakika wa kuvuta mshahara kila mwisho wa mwezi japo ni kiduchu wanashindwa kushukuru

Nyamwage

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
633
1,536
Habari ya sikukuu

Mtoko wangu wa leo sikutaka kwenda kuponda raha niliingia hapo mbezi stendi kuangalia hawa ndugu zetu walio jiajiri ili nijifunze vitu vipya ambavyo sivijui hawa watu wanaamka saa kumi za usiku na kulala mida mibovu sana middle of the night aisee utafutaji wao ni mgumu sana hata ukiwaangalia usoni sura zao zimekosa nuru siuoni umilionea katika nyuso zao

Mazingira yao ni magumu mama ntilie wako juani maji ni changamoto kwao nifupishe tu story kujiajiri bila ya kuwa na mtaji wa kueleweka ni kugumu sana imagine mpiga debe a.k.a MD anavyo mshawishi na kumshobokea mtu mpaka akubali ili muongozane katika office ukakate nae ticket ili na yeye apate chochote kitu wengine hua hawafanikiwi wanaambulia kauri chafu toka kwa abiria
 
Ukiwa mvivu, lazima utaona tu hao watu wanateseka. Jambo la muhimu ufahamu wafanyabiashara hawaishi kwa msongo wa mawazo kama wategemea mishahara.

Hata kama wanalala masaa mawili, lakini utawakuta wana amani ya moyo. Muhimu hesabu isome. Halafu kutolea mfano wa mama ntilie wa stendi, bado hakuwezi kuwa case study ya wafanyabiashara wote nchini/duniani.
 
Ina depend na ajira mkuu

Huwa huoni waajiriwa wa bank wanazungushwa mtaan na jua Kali kutushawishi tusiokuwa hata na mia mfukoni ili tufungue account?

Ana tofauti ndogo sana na huyu mkatisha tiketi wa stand, anachomzidi ni urahisi wa kukopesheka tuu
 
Ukiwa mvivu, lazima utaona tu hao watu wanateseka. Jambo la muhimu ufahamu wafanyabiashara hawaishi kwa msongo wa mawazo kama wategemea mishahara.

Hata kama wanalala masaa mawili, lakini utawakuta wana amani ya moyo. Muhimu hesabu isome. Halafu kutolea mfano wa mama ntilie wa stendi, bado hakuwezi kuwa case study ya wafanyabiashara wote nchini/duniani.
Wafanyabiashara hawaishi kwa msongo wa mawazo.
 
Ukiwa mvivu, lazima utaona tu hao watu wanateseka. Jambo la muhimu ufahamu wafanyabiashara hawaishi kwa msongo wa mawazo kama wategemea mishahara.

Hata kama wanalala masaa mawili, lakini utawakuta wana amani ya moyo. Muhimu hesabu isome. Halafu kutolea mfano wa mama ntilie wa stendi, bado hakuwezi kuwa case study ya wafanyabiashara wote nchini/duniani.
Hapa umepuyanga!!! ”Kwamba Wafanya biashara hawaishi kwa msongo wa mawazo?”
 
Habari ya sikukuu

Mtoko wangu wa leo sikutaka kwenda kuponda raha niliingia hapo mbezi stendi kuangalia hawa ndugu zetu walio jiajiri ili nijifunze vitu vipya ambavyo sivijui hawa watu wanaamka saa kumi za usiku na kulala mida mibovu sana middle of the night aisee utafutaji wao ni mgumu sana hata ukiwaangalia usoni sura zao zimekosa nuru siuoni umilionea katika nyuso zao

Mazingira yao ni magumu mama ntilie wako juani maji ni changamoto kwao nifupishe tu story kujiajiri bila ya kuwa na mtaji wa kueleweka ni kugumu sana imagine mpiga debe a.k.a MD anavyo mshawishi na kumshobokea mtu mpaka akubali ili muongozane katika office ukakate nae ticket ili na yeye apate chochote kitu wengine hua hawafanikiwi wanaambulia kauri chafu toka kwa abiria
Kweli kabisa ila kuna mda inabidi icho kidgo ndicho utumie kupata kingine kwa ajili ya kesho ata ikiwa mia mbili usiile leo ikaisha kesho utakula nn ?? Jasho na damu na mateso
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom